Govi langu linanitesa sana

Govi langu linanitesa sana

wala usihangaike,akitoka mungu wanafuata wazungu,na wala hawaangaiki na gov na maisha yanaenda mswano,liache tu kwanza mtu mwenye gov anachelewa kukojoa na sisi akina dada ndio tunapenda
jackline 1 unapenda govi nauliza tuu
 
Last edited by a moderator:
Mimi miaka 20 ila nilipona bada ya wiki. Nilikula mbuzi wa maana. Ukimwona demu unakaba/nyonga katikati kama shingo ya kuku. Usiku ukiota unagonga mpaka ushtuke damu kitanda yote. Hapo ndo shida. Ukataji wewe na Dr mnasaidiana kushika mkasi bila shida.
Kakate bila wasiwasi mademu wanyonye wenyewe siyo unawasaidia kukaza ngozi kwa kuvuta nyuma. Wakijua wananyonyaga uchafu watakusema mpaka uhame mtaa. Nakuomba sana.
 
Mimi miaka 20 ila nilipona bada ya wiki. Nilikula mbuzi wa maana. Ukimwona demu unakaba/nyonga katikati kama shingo ya kuku. Usiku ukiota unagonga mpaka ushtuke damu kitanda yote. Hapo ndo shida. Ukataji wewe na Dr mnasaidiana kushika mkasi bila shida.
Kakate bila wasiwasi mademu wanyonye wenyewe siyo unawasaidia kukaza ngozi kwa kuvuta nyuma. Wakijua wananyonyaga uchafu watakusema mpaka uhame mtaa. Nakuomba sana.

Nime gundua magovi yako mengi sana humu jf!
 
mpaka sasa sijalitoa mkuu ,naogopa hata kwenda kusema nina govi

Ungeshapona na kusahau kabisa.
Omba likizo nenda hosp ufanyiwe. Hata watu wakijua baadae wanasahau.
Wadogo zangu walifanyiwa wakiwa wakubwa kabisa kama wewe. Walitaniwa tu kipindi wanajiuguza, baadae watu wakasahau maisha yanaendelea.
 
yan wazungu hawatairi na wanamaendeleo balaa, cc na matatizo yetu 2nahangaika na kutahir, mi sitail ng'o na nina miaka18 We Kama Unapenda Kutahir Nenda Ucsumbue Wa2, Ila Kaa Ukijua 70% World Wide We Are Intact/uncut/uncircumcised/anatomicaly Complete/, Tenx God,
 
jackline 1 unapenda govi nauliza tuu
mwanzoni nilikuwa siyapendi.baada ya kuzunguka kwa walioendelea nikaona sisi tunakuza mambo bure-wenzetu huko duniani ambao wametuzidi kilakitu hiyo wala haiwasumbui na hayo magonjwa wala hakuna
 
Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Lakini sasa napata taabu kwanza kuliosha mara kwa mara nisipofanya hivyo linanuka sana ,kiujumla sina raha kabisa nikifanya mapenzi huwa najizuia sana mwanamke asijue .Sasa kila nikiuliza naambiwa kutoa govi umri huu kuna madhara na inachelewa kupona .Kama kuna sehemu naweza kutoa govi kirahisi na kupona haraka ndani ya week mnisaidie nipo dar g/mboto.Asanteni sana
seriously
saidhaonga@yahoo.com

Da, week tu ili umpge shem sound ,,apo mwez unakuusu,aga unaenda salimu kjjn
 
Govi mjini ni dili maana kina dada wengi hawajakutana nalo watakusua kweli
 
Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Lakini sasa napata taabu kwanza kuliosha mara kwa mara nisipofanya hivyo linanuka sana ,kiujumla sina raha kabisa nikifanya mapenzi huwa najizuia sana mwanamke asijue .Sasa kila nikiuliza naambiwa kutoa govi umri huu kuna madhara na inachelewa kupona .Kama kuna sehemu naweza kutoa govi kirahisi na kupona haraka ndani ya week mnisaidie nipo dar g/mboto.Asanteni sana
seriously
saidhaonga@yahoo.com



Nyie Wahaya na watu wa mikoa ya kanda ya kaskazini huu utu uzima (govi) unawasumbua sana. Yaani miaka 25 bado una puto? Kwa kabila la kwetu wewe ilibidi ukamatwe kwa nguvu na kutahiriwa kwani bila hivyo huruhusiwi kuoa na kuchafua dada zetu kwani kimila na desturi zetu wewe unahesabika bado mtoto kwa kuwa bado ni mtu mzima (govi).
 
Nyie Wahaya na watu wa mikoa ya kanda ya kaskazini huu utu uzima (govi) unawasumbua sana. Yaani miaka 25 bado una puto? Kwa kabila la kwetu wewe ilibidi ukamatwe kwa nguvu na kutahiriwa kwani bila hivyo huruhusiwi kuoa na kuchafua dada zetu kwani kimila na desturi zetu wewe unahesabika bado mtoto kwa kuwa bado ni mtu mzima (govi).

izo ni mila zenu, ila ukija kwe2 ulaya kama umetahari 2nakukamata kwa nguvu, then 2nakufanyia foreskin restortation, teh
 
Mie mwenzio niliamua kulitoa baada ya dada mmoja kunifanya gari la mshahara ,unajua ilikuwaje
Nilimpata demu ,katika harakati za kutaka kumgegeda nikataka nizime taa akakataa taa isizimwe yeye mda huo kashasaula mie nimevaa bucta ,wakati napotezea kumbe machale yakawa yameshamcheza akanifanyia timing ,wakati yeye kakaa kitandani nikawa nimemsogelea akaishika ile bucta kwa chini na kuivuta kwa ghafla lolo govi langu silikaonekana,akagoma kugegedwa na mimi kwa aibu nikamsihi asimwambie mtu ila sasa yeye akaanza kuninyanyasa kila akiwa na shida ya pesa ananiomba kwa mikwara na kusema usiponipa nauza issue baada ya kuvumilia kwa muda nikaona ni utumwa ndipo nilipoamua kulitoa

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums

Ha ha ha ha...Aliyokufanyia binti inaitwa "black mail". Baada ya kulitoa alikubali ukamgegeda?!
 
Mmii nina govi na sasa nina miaka 29. Nimesoma boarding skuls nyingi tu na mpaka sasa nimefanya degree na nipo kazini.

Kiukweli mwanzo nlikuwa najutia sana kuwa na govi coz shule walikuwa wananicheka sana ila tangu nlipoweza kujitambua sijawahi kabisa kuwaza hata kukata hii kitu. Katika wanawake wote nliowahi kukutana nao hapa Dar na mikoani kila mwanamke anapagawaga kimpango wake na sijawahi kufanya sex na mwanamke yeyote akanipiga chini. Sana sana huwa sijui wanasimuliana maana marafiki zao naonaga nao wanajigonga mpaka washkaj zangu wananiambiaga nina dawa za kishirikina kumbe hata!

Kuna wakati unafanya sex na mdada mpaka unaona kweli kachanganyikiwa hajielewi wakat huo huo anakwambia ashakuwa na wanaume wengine b4 lakini huu mziki ni mpya. Wengi sana ninaokutana nao huwa wanapagawa ila nahisi ni kwa sababu hiki wanachopataga kwangu hawakuwahi kukipata sehem yyte coz govi kwa hapa mjini ni one in thousands!

Kuna mdada niliwahi kuwanae mwaka juzi alisema tangu anaanza kuwajua wanaume hakuwahi kupata orgasm inside vagina yaani hakuwahi kukojozwa na mwanaume kwa pennis penetration ya kawaida mpaka labda kwa masturbation ya critoris ila suprisingly I did it for da first time na alishasahu kufikishwa kileleni kwa njia ya kawaida bt alinishangaa jinsi nlivyomkuna mpaka akafika. Alinipenda kama ndo nmemtoa bikra ya pili vile. Alikuwa ana mchumba na alitaka kumuacha bt mimi sikuwa interested nae kuwa mke wangu so tukaishia kuwa partners tu akijisikia alikuwa ananitafuta namtuliza.

I really love my pennis coz kuna muda wakt nipo chuo iliwahi kuniweka mjini kwa mwaka mmoja na nusu nakula nakunywa na pesa napewa na nalindwa mi kazi yangu ni kupiga show za maana tu. Utaanzia wapi kuniambia nikate!?

Kitu kingine nahisi mimi huwa naenjoy sana sex. Sidhani kama wenzangu waliotahiriwa huwa wanafikia hii raha ninayoipata coz nahisi kwao hakuna friction ya kutosha ni kama ni kuchomeka na kuchomoa tu bt nadhan kwangu friction ni kubwa huenda ndo maana na girls huwa wanaenjoy.

Ila kukaa na govi kuna changamoto zake. Usafi ni muhimu sana katika mwili wako. Mfano mimi nikiwa home naoga 3 to 4 times a day ila si kwa sababu ya govi pia napenda sana kuoga na kuwa msafi. Sasa kwa wenzangu wa kula lazima kuoga hiyari ni balaa. Pia kuna jinsi ya kuuweka uume wako ili ukae unapata hewa kama uliotahiriwa. Hii inasaidia kuonekana mzuri unavutia pia ngozi ya ndani inakaa nje mda mrefu hivyo inakuwa ngumu na hivyo kuhimili frictions bila kuleta michubuko haraka hii husaidia kuzuia maambukizi ya magonjwa kirahisi. Inasaidia pia kuuweka uume katika shape ya kutahiliwa na kwa sababu inakaa hivi mda wote inakuwa automatically ipo katika shape hiyo hata ukiitoa inarudi tu na ni ngumu sana mwanamke kujua kama hujatahiriwa coz inavutia kama nyingine tu. Pia siwezi kufanya sex na mwanamke yeyote mpaka nioge kwanza nijisafishe vizuri hii inaniweka vizuri psycologically na kumset free mwanamke kucheza na dushe langu bila wasiwasi.

Some of girls washaninyonya cone several times bt sijawahi kuona wakishtuka au wakiniuliza kitu ila naona kama wanaishangaa mashine yangu huenda wanaifananisha na wanazoonaga kwenye movie na sio wanazoonaga live kwa wengine bt otherwise huwa wanaenoy nami nawa set free kuchezea dushe langu bila wasiwasi.

Kiafya naamini ina madhara lakini sio kama tunavyokaririshwa. Usafi ni muhimu sana ukiwa na govi na tuelewe kuwa govi halisababishi magonjwa ila kama haliko sterilized linachangia transmission kirahisi tu especially kwa STDs na UTI.

Tusipotoshane, wazungu wanaowaambia muyakate wao hawayakati ingia google usome % ya wanaume wa kiingereza waliotahiri utashangaa! Haifiki hata nusu! Sio kwamba tuwaige kwa kutotahiri ila tujue kuwa kutahiri sio kila kitu. Wao wanaenjoy na wake na waume zao kwa hayo hayo magovi na tunawaona wana akili ila sisi akionekana mwenye govi ni sheedah!

All in all I really love my pennis and I feel lucky kuwa nalo mpaka leo. Nawashukuru walionilea kuliacha mpaka leo na siwezi kumsikiliza ----- yeyote aniambie nilikate. Tena nahisi tutagombana kabisa na huyo mtu maana faida yake naiona mimi.

Wewe kama umeshalikata ujue ndo halirudi tena ila mimi ninalo bado na silikati coz naona faida zake kwangu ni nyngi kuliko hasara zake na hizo hasara zake pia nshajua jinsi ya kuziepuka/kuzicontol kwa hiyo ni kama hazipo tena.

Kwa maoni binafsi au kutaka ushauri njoo PM kwa maoni ya kawaida we endelea hapa hapa wala usijali. Hata ukitaka kutukana we tukana tu ila ndo ivo ushakuwa na mkosi ulikata lako mi sikati.
 
Back
Top Bottom