Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Sasa kila nikiuliza naambiwa kutoa govi umri huu kuna madhara na inachelewa kupona .Kama kuna sehemu naweza kutoa govi kirahisi na kupona haraka ndani ya week mnisaidie nipo dar g/mboto.Asanteni sana
seriously
saidhaonga@yahoo.com
Tatizo ni kupona haraka na hapa kitaa aibu watu wakijua si itabidi niwe najifcha ndani .any way ngoja nijaribu
si unakua kama unalimenya kama ndizi wakati wa kuduu
Fika hospitali za karibu upewe ushauri wa kitabibu...umri wowote govi linatolewa kwani ni operation ndogo tu hiyo.
Nunua msuli na baragshia....zuga nao kitaa kama wiki nzima watu wakuzoee kukuona nao...akitokea mwizi mkimbize na msuli wako...watoto kitaa wakicheza Mpira piga danadana...baada ya wiki kakate govi lako...endelea kupiga msuli wako...ila watoto wakikurushia Mpira upige danadana jifanye umestaafu....hapo utakuwa umeficha aibu yako
Tatizo ni kupona haraka na hapa kitaa aibu watu wakijua si itabidi niwe najifcha ndani .any way ngoja nijaribu
Nunua msuli na baragshia....zuga nao kitaa kama wiki nzima watu wakuzoee kukuona nao...akitokea mwizi mkimbize na msuli wako...watoto kitaa wakicheza Mpira piga danadana...baada ya wiki kakate govi lako...endelea kupiga msuli wako...ila watoto wakikurushia Mpira upige danadana jifanye umestaafu....hapo utakuwa umeficha aibu yako
sasa iyo rahisi nenda hospitali tu unakatwa fasta au ukishindwa ni pm nkukate ata na panga.....then hujaoa ngono ya nini unalitesa govi bure then ntumie whatsap nilifanyie analysis........uwe unalifanyia make up si uso wako tu unatengeneza
hata wiki 3 inawezekana ila ushinde na ulale kama mbwa(uchi)na ukipona usi doo kwa wiki tatu zaid.
kuna rafiki yangu baada ya kupona fasta akapata ka dem akakafinya ile kumaliza tu,akatoka na damu. akajisalimisha kwa mtu mzima,kucheki kitu kimefumuka tena palepale uzi ulipopita,daa akarudishwa tena hosp.akashonwa tena,sisi tukawa tumepona yy kwa raha ya usku mmoja akauguza donda kwa mwez moja tena.