baby boy17
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 297
- 116
jackline 1 unapenda govi nauliza tuuwala usihangaike,akitoka mungu wanafuata wazungu,na wala hawaangaiki na gov na maisha yanaenda mswano,liache tu kwanza mtu mwenye gov anachelewa kukojoa na sisi akina dada ndio tunapenda
mpaka sasa sijalitoa mkuu ,naogopa hata kwenda kusema nina govi
Mimi miaka 20 ila nilipona bada ya wiki. Nilikula mbuzi wa maana. Ukimwona demu unakaba/nyonga katikati kama shingo ya kuku. Usiku ukiota unagonga mpaka ushtuke damu kitanda yote. Hapo ndo shida. Ukataji wewe na Dr mnasaidiana kushika mkasi bila shida.
Kakate bila wasiwasi mademu wanyonye wenyewe siyo unawasaidia kukaza ngozi kwa kuvuta nyuma. Wakijua wananyonyaga uchafu watakusema mpaka uhame mtaa. Nakuomba sana.
Nime gundua magovi yako mengi sana humu jf!
mpaka sasa sijalitoa mkuu ,naogopa hata kwenda kusema nina govi
Miaka 25 bado nina govi nimekuja kushtukia nimekua mkubwa koz sisi kabila letu hatutoi magovi .Lakini sasa napata taabu kwanza kuliosha mara kwa mara nisipofanya hivyo linanuka sana ,kiujumla sina raha kabisa nikifanya mapenzi huwa najizuia sana mwanamke asijue .Sasa kila nikiuliza naambiwa kutoa govi umri huu kuna madhara na inachelewa kupona .Kama kuna sehemu naweza kutoa govi kirahisi na kupona haraka ndani ya week mnisaidie nipo dar g/mboto.Asanteni sana
seriously
saidhaonga@yahoo.com

Nyie Wahaya na watu wa mikoa ya kanda ya kaskazini huu utu uzima (govi) unawasumbua sana. Yaani miaka 25 bado una puto? Kwa kabila la kwetu wewe ilibidi ukamatwe kwa nguvu na kutahiriwa kwani bila hivyo huruhusiwi kuoa na kuchafua dada zetu kwani kimila na desturi zetu wewe unahesabika bado mtoto kwa kuwa bado ni mtu mzima (govi).
Mie mwenzio niliamua kulitoa baada ya dada mmoja kunifanya gari la mshahara ,unajua ilikuwaje
Nilimpata demu ,katika harakati za kutaka kumgegeda nikataka nizime taa akakataa taa isizimwe yeye mda huo kashasaula mie nimevaa bucta ,wakati napotezea kumbe machale yakawa yameshamcheza akanifanyia timing ,wakati yeye kakaa kitandani nikawa nimemsogelea akaishika ile bucta kwa chini na kuivuta kwa ghafla lolo govi langu silikaonekana,akagoma kugegedwa na mimi kwa aibu nikamsihi asimwambie mtu ila sasa yeye akaanza kuninyanyasa kila akiwa na shida ya pesa ananiomba kwa mikwara na kusema usiponipa nauza issue baada ya kuvumilia kwa muda nikaona ni utumwa ndipo nilipoamua kulitoa
Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums