GPA ya 5 - Anazurura mtaani; we are not serious!

Umepiga mule mule - ndivyo wanadamu walivyo. Uzoefu wangu ni kama wako.
 
Nafikiri tumechelewa sana kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Hapa wengi ndio wanapokosea,Kama una uwezo msaidie
usimcheke wala kumdhihaki binadamu ambae bado anaishi
Msaidie mtu kipindi unaona ana hali ngumu,hana pakutokea,atakukumbuka zaidi,hata akikusahau hicho kitu kitakua moyoni mwake sana.

Usisubiri mtu kawa mambo safi ndio uanze kumsapoti

Utakuja kunishukuru badae
 
Mi nafikiri waajiri wachukue wenye ufaulu wa wastani(ambao wanafundishika) ili kusudi hawa wanaopata ma GPA makubwa waje watufundishe huku kitaa kwamba elimu inawezaje kukukwamua kimaisha
 
Tesla yupi jmn tena?
 
Hiyo GPA ya 5 kwa vyuo vya dunia nzima inaweza patikana chuo cha UDOM tuu, na huyo mhitim asikubalike kwenye soko la ajira!
 
Leo nilikua namwambia kijana wangu kwamba....
Shule itampa maarifa, lakini kusoma hakumpi guarantee ya kufanikiwa.
Lakini nilimwambia kwamba.....
Akishaipata elimu, atakua namaarifa. Ili afanikiwe anapaswa kuwa mwenye bidii na nidhamu
Ili afanikiwe anapaswa kuwa mwenye bidii na nidhamu

Maneno kuntu
 
Nafahamu!
But GPA ya 5! Yaani kwamba tangu anaanza mwaka wa Kwanza Hadi anamaliza chuo mwaka wa tatu au wa nne, alikuwa akipata [emoji817]% Kwa masomo yake yote?

Au ni wale ukipata "A" iwe ya 80 au 90 basi hiyo ni GPA ya Tano?

I wonder!
GPA hazicount marks, bali grades, ie "A" inaanzia 70 and above.
 
... Hongera boss.....

Ila usiwafungie vioo wenye uhitaji, wasaidie tu ikiwezekana..

Usiogope kulipa ubaya kwa wema....give it a try.
 
Jinsia ina umuhimu hapo, kama mwenye hiyo GPA ni mwanamke ujue RUSHWA YA NGONO ilihusika ndio waajiri hawaiheshimu sana. Tupambane sio lazima tuajiriwe..maisha yanaenda kwa kazi yeyote...lialia haisaidii
Je una taka kusema na kama ni mwanaume rushwa ya pesa inahusika???
 
Sasa mtu Kama Mbunge musukuma anatunukiwa Doctorate unataka tumpeleke wapi ?

Vyuo vyenyewe ndio hivi vya Global college na udom.

Na wanafunzi ndio Hawa tuko nao mtaani hawawezi hata kuandika barua za kazi.

Elimu yetu ni mbovu sana mtu anafaulu kwenye makaratasi ila kwenye maarifa hamna kitu. Chukua wanafunzi walau 10 waliomaliza degree waambie waandike CV na Barua ya kuomba kazi halafu urudi hapa.
 
Jinsia ina umuhimu hapo, kama mwenye hiyo GPA ni mwanamke ujue RUSHWA YA NGONO ilihusika ndio waajiri hawaiheshimu sana. Tupambane sio lazima tuajiriwe..maisha yanaenda kwa kazi yeyote...lialia haisaidii
We sisi 2009-2012 tulisoma na mdada flani uchumi alikuwa ni kichwa balaa.
Kuna tutorial flani hadi alipokuwa akiingia darasani anakuwa hayuko na confidence maana dada alikuwa akitufundisha anamlima maswali sometimes kama anamsahisha.
Dada yani alikuwa pointed out na taasisi kubwa ya serikali hata kabla hatujamaliza.
Kuna jamaa mwingine naye alikuwa anapata alama za juu alichukuliwa na TBL mapema sana, sema jamaa kwenye presentation na kumwaga english ya kuzungumza alikuwa 0 kabisa.
Ila kwenye makaratasi alikuwa anatukimbiza balaa.
 
Nafikiri tumechelewa sana kujua umuhimu wa pass za juu katika kupaisha Taifa kiuchumi nk
Hivi inakuwaje mwanafunzi amemaliza Chuo amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
GPA ya 5????
 
Tatizo sio gpa, tatizo lipo kwenye mitaala yetu, elimu inayofundishwa ni ya kuajiriwa sio kujiajiri ndo maana hata wew umejaa huohuo ujinga unauliza kwann hajapata ajira na sio kwann hajajiajir, hakuna serikal dunian ikaweza kuajir watu wake wote bali elimu ya kujiajiri ndipo tulipo feli
 
Inatakiwa ajiajiri atumie elimu yake kuzifata fursa ili wadogo zetu wasikate tamaa ya kusoma awaonyeshe elimu ni mkombozi hata ukikosa ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…