GPSA: Tuhuma za ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na mengineyo

Basi wewe ni mzalendo, hii taasisi nasikia inanyanyasa sana wafanyakazi wake ni kweli?Kuna jamaa zangu wako halmashauri walikuwa kwenye process za kuhamia huko Baada ya kuona huu uzi wameona isiwe tabu naona kila mmoja amegeuza gia angani
 
Nakazia hapa...na haya ndiyo madili ya DBSS hapa Sina uhakika Kama CEO nae yumo ila huyu DBSS asilimia zote ndio fundi mitambo mkuu kwenye haya madili...
 
Duuuh Hawa jamaa wa GPSA wamewafanya nini wakuu aisee mmeamua kuchomoa betri
Hili sio la kuuliza, ndio maana nilisema GPSA sio taasisi mbaya tatizo ni watu walio kwenye management, Wana roho mbaya za manyanyaso hasa huyo DBSS
 



Government Clearing-GPSA Haina Tabia ya Kuchelewesha Mizigo Ukiona Mizigo Inacheleweshwa ni Changamoto ya Taasisi ya Serikali Kushindwa Kulipwa Kwa Wakati ....


Ugomboaji Wanafanya Kazi Kubwa Sana Kwa Maslahi ya Taifa Unavyoona Madawa,Vifaa Tiba,Miradi ya Umeme na Vitu Mbalimbali Vinavyoagizwa na Taasisi ya Serikali Ni Kazi ya Government Clearing-GPSA ....Meneja Jimmy ni Moja ya Viongozi Ambaye Ana Misimamo Mikali na Hata Utendaji wake Ni Mzuri Sana ...Hali ilivyo Ugomboaji ya Mwanzo na Hii ya Sasa Ni Vitu Tofauti Kwa Sasa Kuna Mabadiliko Makubwa sana ya Kiutendaji ....Huwezi Kuona Malalamiko Kwa Meneja Huyu Jemhe
 
Mkuu sidhani Kama unamjua jimmy vizuri ama umeamua kupotosha ukweli kwa namna unayoijua mwenyewe...hapa hatuonei mtu ila kwa uhai wa taasisi na watumishi wa GPSA inabidi haya yasemwe.

Na uzuri ni kwamba wafanyakazi walio wengi GPSA wamechoka na upigaji/unyanyasi unaofanywa na viongozi wa taasisi hii mmoja wapo ni huyo DBSS anayezungumzwa mara nyingi hapa..ukifanyika uchunguzi au special audit wachunguzi hawatapata tabu kupata taarifa maana tayari watumishi hawana la kuficha kwa kuchoshwa na maonevu isipokuwa wachache wale wanaonemeka pamoja na wakubwa.

KAMA ULIKUWA HUELEWI VIONGOZI WA GPSA WANA TABIA HII.
1.Wakiongozwa na DBSS hawawezi kumuweka meneja Smart na mwenye uwezo wa kuhoji sehemu au kitengo chochote kile ambacho wao wanaona kina maslahi na hii imesababisha vitengo vingi kwenye hiyo taasisi kuwa na watu wanaokaimu waliowaweka wao baada ya kuwaondoa mameneja halisi kwa zengwe ...Hapa nakupa mfano wa Mwanahamisi aliyekuwa finance Manager, Hamza aliyekuwa Manager Masoko.. na pale HR yanayoendelea pale sitaki kuamini maana wanafanya Kama ni mtu anaongoza kampuni yake na Wala si taasisi ya umma.. Kile kitengo Anaekaimu umeneja kwa miaka sasa ni mtu anaeitwa Ally huyu ni afisa wa kawaida, Utumishi walileta HR kutoka TAKUKURU (Principal) Hawa jamaa wakaona hawajamzoea kwenye kufanya mambo yao, wakamuweka pembeni, Utumishi wakatuma tena HR ambae ni kamishna wa uhamiaji (Principal nae)bado wakaona hawataweza kumumudu..wakampangia awe Afisa Utumishi mkoa wa Dar ( Haijawahi kutokea kwa GPSA ambayo mfumo wake wa uongozi uko Centralized na isitoshe Mkoa wa Dar una wafanyakazi wasiozidi 5 na ofisi zao ziko ndani ya makao makuu) utaona hapa ni namna gani wanamuweka Ally akaimu ili waendelee kufanya mambo yao na kinachotokea wale wanaoneemeka na uongozi watajipandisha madaraja kwa kujuana wengine wakiachwa mfano ni huyuhuyu Ally..angalia wenzake alioajiriwa nao wenye sifa sawa Kama zake bado wako na cheo kimoja ndani ya miaka 10 ya ajira lakini yeye ni senior Sasa.

Ukiona DBSS wa GPSA amekubali wakupe nafasi sehemu yenye mifereji ya pesa basi jua anakumudu hata Kama huna uwezo utakaa pale la jimmy ni Kama la Ally wote hawana uwezo wenye uwezo pamoja na elimu zao kubwa wametolewa wanabaki wao hata kwa kukaimu kwa vile hawawezi kupinga maovu ama nao wanashiriki ndio maana bado wapo kwenye hizo nafasi kwa mbeleko..hili hupaswi kulipinga na liko wazi kabisa Clearing nako kuna shida.

Lingine ni mikataba ya manunuzi pale FRAME - WORK hili nitalielezea nikipata mda kwa uhuru Kuna shida kubwa sana pale...

Nakiri kweli Ugomboaji ya zamani ilikuwa ni Kama imekufa baada ya akina DBSS ku-divert kazi za taasisi kwenda kwenye kampuni zao, kwa Sasa baada ya maagizo ya raisi magufuli taasisi zote za umma zinapitisha huko mizigo yao..na hapa baada ya taasisi zao kushindwa kujipenyeza Kama zamani wamegundua mianya mipya ya ulaji na ndio hiyo iliyozungumziwa hapo juu na sio suala lingine ambalo wewe umelizungmza hapa bado nashangaa kwa nini CEO anamkumbatia huyu mtu na anatembea kwenye nyao zake je nae ni mpigaji? Ama DBSS kamzidi akili?..ni ukweli ugomboaji inatakiwa kuwa na mtu akili kubwa kwa mazingira ya sasa...Kuna watu walikuwa pale na akili kubwa walitolewa na mwisho wa siku baada ya majungu kuzidi wakahama kabisa taasisi..mmojawapo ni Werema Sasa yuko TASAC..

Mkuu nikutakie jioni njema...tuipende nchi yetu tuzuie maovu..Ila nikuambie tu GPSA ni taasisi inayonyanyasa sana wafanyakazi wake wakaguzi wakienda pale kupata ukweli Wala hawapati shida...kwa hiyo usisumbuke hata kuficha kuficha kwa maneno matupu mkuu
 

Peleka TAKUKURU habari yako, na weka vizuri ili TAKUKURU wawasaidie, huku JF haina maana sana, ila sehemu sahihi ni TAKUKURU
 
Eyeson Property Hawa jamaa walishawahi kumfukuza kazi mfanyakazi mmoja anaitwa Mng'ong'o kwa walioko watanisaidia Kama hili jina liko sawa...huyu mfanyakazi alishawahi kuwa meneja wa Mkoa.., na sio kwamba alikuwa fisadi ila aliundiwa majungu na kesi za kubambikiwa baada ya kuwa anahoji pale anapoona mambo hayafuati utaratibu..Kama ilivokuwa kwa David aliyefukuzwa kihila alienda mahakamani na akashinda kesi na akarudishwa kazini kwa Sasa sijui Kama bado yuko GPSA

Kwa hiyo usibishe uwepo wa maovu hapo ugomboaji wakati watu wana fahamu na wanajua, huwezi kupingana na DBSS sehemu yenye mifereji ya pesa ni eidha akutoe/akupe kesi na amkaimishe mtu wake...hicho ndicho kinachoendelea huko ofisini kwenu unakokutetea . vitengo vingi vina watu wao wanaokaimu mameneja halisi wameondolewa
 
Mimi GPSA naijua vizuri sana, sielewi watu wanapata wapi ujasiri wa kuwatetea Hawa viongozi wao,naamini ama ni wao wamekuja kujitetea ama watu wanaonufaika nao.. Hawa jamaa ni washenzi kwelikweli..Kuna siku nitaeleza na Mimi humu kwa kirefu
 
mi siijui GPSA...Ila nimenote vitu vingi...vya kushangaza

DBSS Anaonekana ni master...na anatumia ubabe sana kwenye kupata hela...hayuko smart kabisa..ila pia ana kaushamba flani..sio mtoto wa town...hajawahi kwenda ndichi....na hategemei.
inaonekana anatembea kwenye kivuli cha CEO ... na CEO hajui

kuna bonge ya Gap kwenye kipato GPSA..yaani we wakati huna nauli ya home..kuna Ambao hawajui pa kupeleka hela

Mrija Mkubwa unaonekana ulikua main office..na Taasisi haijakua kabisa..kama TBA mkoa ina ofisi na wafanyakazi zaidi ya 200 GPSA Ina wafanyakazi 5 mkoa ..thats a fuckin joke!

DBSS Amekosa boss...yaani anaweza kummanipulate boss na boss anakimbilia kwa mwanasheria...kama mnataka kwa kuanzia wekeni mtu anaejitambua...na ambae anafaa na kustahili...unless hii taasisi itakuja kuwaadhiri....

Huyo Jimmy wa Ugomboaji kwa mm namuona kama mhanga tu...na walio chini yake sijui mhasibu et al....kama CEO anaendeshwa...kakitengo ni ishu gani?

Nimenote pia kitengo cha ugomboaji kimeimprove very fast baada ya amri ya mheshimiwa raisi...lkn kwa mtu mwenye jicho langu nimenote pia hapa ndo GPSA W anapata kipato...DBSS Akishakuja mwingine kila kitu kitakua sawa

At Last: CEO Apangiwe taasisi nyingine soft kama TEMESA Maana nimenote ni msomi na anaependa kufanya kazi kwa weledi ila muoga

DBSS Aondolewe...Achunguzwe ...Afunguliwe mashtaka .....lkn pia afilisiwe mali ambayo itaonekana amepata kimashaka...ila pia kuna malalamiko ya wafanyakazi yaundiwe fast track comitee ipewe deadline...mambo ya ngono na ubabe yanaathiri familia moja kwa moja huyo ni mshenzi

Kwa uelewa wangu KUNA hela sana GPSA.. kwa serikali na wafanyakazi...refer TANROADS,TARURA,TRA,TISS, TISSTRA (najua nachosema) Hata watu wa madini hawatawafikia....


kuna watu nimewaona wametajwa humu sijawataja...lakn kila mtu aangalie kakosea wapi..corona itawaboost ila...kuna kesho jirekebisheni....

Nawakumbusha nipo JF Zaidi ya Miaka 10...sina Upande ...na sitakaa niwe nao....na usisahau mi ni JF Gold Member





Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUU UJUMBE UMFIKIE CEO, WAPAMBE WAKE HAKIKISHENI ANAUPATA

CEO heshima yako kiongozi, nakutumia huu ujumbe uusome,Mafanikio ya taasisi yoyote ile yanategemea kwa kiasi kikubwa tabia za mtu mwenye dhamana ya kufanya maamuzi yanayohusu wafanyakazi wa taasisi husika,
Kiongozi akikosa sifa, ni vigumu walio chini yake kufanya wajibu wao.

Migogoro, kutokuelewa, hujuma, utegeaji, kukosa hamasa ni baadhi ya athari zinazoweza kuzaliwa na
uongozi usio na sifa na hiki ndicho kinachotokea GPSA, Ingawa unaweza kusema mengi yanayohusu wajibu wa mfanyakazi lakini bila kiongozi kuwa na sifa, itakuwa vigumu kupata ufanisi unaotakiwa kupatikana kwenye taasisi, Sasa CEO hebu jiulize,

Wafanyakazi wako wana Ari na Morali ya kufanya kazi ndani ya taasisi? Wanajiona ni sehemu ya taasisi? Jibu litakuwa ni hapana, Je unalijua tatizo? Tunawasema ili mjirekebishe na mbadilike muiendeshe GPSA kama taasisi ya umma na si kama kampuni au mali ya mtu binafsi kama ilivo sasa. Angalia mnavowapa stress wafanyakazi wenu, watoto wadogo wamejaa makunyanzi usoni utafikiri wazee wa Zaidi ya miaka 60, hawana matumaini ya maisha kabisa

Mnaua ujuzi na uwezo wao wa kufikiri,mnaua ubunifu wa vijana, mnaua afya za akili zao, wanabaki kuwa na misongo ya mawazo, mnaua na uwezo wao wa nguvu za kiume kwa msongo wa mawazo mnaowapa dhidi ya maamuzi yenu juu yao..Huu ndio uongozi mliosomea? Mnawafanya watumie mda mwingi kuhangaika kutafuta nafasi za kuhamia katika taasisi zingine kuliko mda wanaotumia kufanya kazi ofisini.. Hayo malengo ya taasisi yatafikiwa vipi?

Mnatumia maneno ya kejeli sana kwa wafanyakazi wenu, mnawatesa, mnawanyanyasa yaani watu wanakuja kwenu kufatilia haki zao za kuwapandisha madaraja na kuwa-rectogorize mnawambia β€œKAMA MNAWEZA TAFUTENI SEHEMU MHAMIE” , Hiyo ndio misingi ya mamlaka mliyopewa kuisimamia GPSA na wafanyakazi wake? Na cha kusikitisha Zaidi wengine wenye sifa sawa kama zao mnawapandisha madaraja na kuwabadilisha kada kisa ni wenu.. AIBU YENU NYIE WATU.. Na cha ajabu zaidi hao mnaowaambia watafute nafasi kwingine wakipata nafasi za kuhamia taasisi zingine mnawakatalia kuwapitishia barua zao ili waondoke..NYIE WATU MKOJE?
Kama mmeshindwa kututhamini tuacheni tuondoke tunapopata nafasi, kwa nini mnatunyima nafasi ya kutafuta maisha kwingine wakati hamuoni umuhimu wetu?..KWA NINI MMEAMUA KUCHEZEA MAISHA YETU?
 
Huyu DBSS(Malik) mimi namuombea mabaya sana kila uchwao (Mungu anisamehe tu) nikisikia amefariki lazima nije GPSA nitoe rambirambi ya laki mbili (200k) watu wale pilau kwenye msiba wake. Kwa ambao hawamjui huyu mtu hawawezi kujua mateso anayowapa watu wa GPSA. Mimi ni mmojawapo niliyekutana na mateso ya moto ya jehenamu ya huyu mtu lakini nashukuru mungu nilivuka na nilitoka hiyo taasisi, Na kama hujawahi kumuona shetani anayeishi duniuani nenda fanya kazi GPSA halafu ukutane na huyu mtu, ana roho mbaya sijawahi ona, hapendi kuona mtumishi ana maisha mazuri ni mtu wa blah blah nyingi na kila kazi ya taasisi zenye pesa anataka afanye yeye au aende yeye
 
Dollar 300 kwa siku ?
 
huyu DBSS hafai kabisa, ametesa sana watumishi..kwenye mchakato wa vyeti vyeki na wale ambao hawajafika kidato cha ne aliutumia kama fursa kufukuza kazi wale ambao hawapendi na anamtandao mkubwa kwenye taasisi zingine za umma kama NECTA na UTUMISHI hii ilimpa kibri ya kuwanyanyasa watumishi anavyotaka na huo mda ndipo alipowafukuza kazi Benjamini Mng'ong'o kama alivotajwa hapo juu na David.., wengi wao walipambana wakarudi na leo wako makazini tena.Huyu baba sijui ana roho gani
 
Kuna member kani -PM anasema DBSS hayupo ofisini kachukua likizo ya wiki mbili baada ya hii habari kutoka, na tayari kashaenda kwao Iringa/Njombe kwa hiyo nijiandae na radi ya tani 800 mchana kweupe kama bomu lililopigwa HIROSHIMAπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ .. Huyu ndio zake lazma kaenda kupuliza kiringeni lakini tayari kashachelewa sana.
 
Ally anaishi kwa kujipendekeza sana ili aendelee kuwa kaimu wa hicho kitengo cha HR, ni mpika majungu zaidi. Huyu kwa jinsi alivo hawezi kufanya kazi taasisi nyingine zaidi ya GPSA, na ndio maana anatengeneza fitna na kupika umbeya ambao anaupeleka kwa viongozi ili aendelee kuwepo kwenye hicho cheo.
Tumewaandikia barua za kusitishwa makato ya mfuko wa faraja kutoka kwenye mishahara yetu, mpaka leo hawajajibu..tutoeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…