GPSA: Tuhuma za ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na mengineyo

GPSA: Tuhuma za ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na mengineyo

Naona Kuna watu wanaleta utetezi kwa hoja zisizokuwa na ushahidi, nimeleta tuhuma hizi hapa ili mamlaka izifanyie kazi kwa kuwa GPSA imekuwa kichaka cha watu flani kupiga pesa za umma huku mamlaka zikiwa Kama zimewasahau.

Sina chuki na Hawa watu na wala Sina maslahi binafsi ndani ya taasisi na Kama yapo basi uchunguzi na hatua zichukuliwe, tunatoa hapa ili kuonesha mamlaka ni namna gani wameisahau hii taasisi kiasi kwamba viongozi wake kila anaekuja anaona ni fursa kapata ya kupiga pesa chini ya Engineer wa upigaji Bw. Malik Aram ambaye ni DBSS.

Bado naandaaa taarifa zingine sahihi na nitaziweka hapa kurahisisha mamlaka kufanya kazi yao, japo kwa taarifa za uhakika,Sasa wanafanya kazi ya kuficha na kurekebisha documents zenye Ufisadi lakini najua hili halitasaidia maana ukweli siku zote huwa unajulikana.

Wanaosema Kuna maslahi yangu/yetu yameguswa wanapaswa kusema ni maslahi gani hayo yalikuwa yanaathiri taasisi na mimi nitajwe niliyekuwa nayafanya ili kuweka ushahidi sawa badala ya kutumia nguvu nyingi kupinga kwa porojo. Hapa tunamsaidia raisi magufuli kujua wahujumu wake maana vyombo vya ukaguzi vilivyopewa mamlaka ya kufichua haya maovu vinanunulika...najua hapa ataona

N:B
Kuna mda nakuwa sijibu message kwa sababu ya kubanwa na majukumu mengine
 
Mkuu frame19. endelea kumwaga nyepenyepe tunakusubili
 
Habari yako kaka Nkenangere najua utakuwa sehemu ya wafanyakazi wa GPSA na yawezekana kabisa upo upande wa wale wanaoifisadi taasisi ndio maana unajibu hivi

Kama upo utakuwa unajua uchafu mwingi unaofanywa na hawa viongozi japo nimetumia maneno makali kufikisha ujumbe maana inafika mda inakera, Parabora amekujibu vizuri sana sihitaji kuongezea katika upande huo maana tushaandika barua ya siri kwa waziri mkuu na yote tumeeleza humo.

Nataka nikuambie kitu kimoja ambacho nafahamu kabisa unakijua kwa vile reply hii yako tu inaonesha wewe ni mfanyakazi wa GPSA , Pale GPSA tunakatwa fedha kwenye mishahara yetu ya " Mfuko wa faraja wa hiari GPSA, ni mtumishi gani alishirikishwa na akasaini makubaliano ya makato ya mshahara kwenye salary slip yake?, Huu Mfuko unaendeshwaje na nani anausimamia? Mwajiri ana mamlaka ya kuidhinisha makato ya mshahara ya mtumishi kwenye salary slip yake kwenda mfuko alioundaa yeye bila kumshirikisha mhusika na akasaini?

Mfuko wa Faraja ni jambo jema silipingi kwa mujibu wao huu Mfuko upo ili mtu akifiwa na watu wake wa karibu aweze kupewa angalau kiasi cha kumuwezesha kwa kipindi hicho, Sasa kinachotokea ni mwezi wa 4 tangu makato haya yaanze lakini cha ajabu mtu akifiwa inatolewa taarifa watumishi mtoe michango wakati fedha ziko kwenye Mfuko..., Ukiuliza unaambiwa tunasubiri pesa iongezeke kwenye Mfuko, KWANI huu Mfuko ulikuwa SACOSS useme pesa ziwe nyingi ili waanze kukopeshana?

GPSA Tanzania nzima tuko wafanyakazi kama sio 200+ basi 300 na ushee, Sasa kwa makato ya huu Mfuko kila mwezi nani anajua huu Mfuko kwa Sasa una kiasi gani?..

Na kwa nini waliamua kuingilia mishahara yetu bila idhini? Yaani mtumishi unakuja kushangaa mwisho wa mwezi pesa imeingia pungufu,..kuuliza unaambiwa Kuna makato mapya yasiyo kisheria yaliyoamuliwa na viongozi,..Is this right? Why wasinge-opt kukata sehemu nyingine kama posho za kila mwezi..kwa nini watuongezee mizigo kwenye salary slip zetu?

Tunauliza haya kwa sababu tunajua kinachoendelea kwenye mifuko mingine kama "GPSA HOUSING" ambapo watumishi wanachangia na si unaona kinachotokea kwenye huo Mfuko? Tusifumbie macho pale viongozi wanapotafuta njia ya kutufisadi mpaka sisi wafanyakazi Tumsaidie rais kuwaumbua awajue ili awafanyie kazi

Ubarikiwe sana jumapili ya leo
Nakumbuka kuna section kwenye employment standards ya ELRA -kama sikosei S.28 inakataza deduction of any kind ya mshahara wa mtumishi unless under written law na mfanyakazi akikubali inabidi a-provide express agreement, hii nyie ilikuwaje mkakatwa bila makubaliano yenu?
 
Subili wanakuja
 
Ni kweli unachosema, na ndio maana hata mimi nimeuliza kwamba wamewezaje kuingilia mishahara yetu bila idhini yetu?
Pamoja na hayo baadhi yetu tumeandika barua ya kupinga makato haya kupitia kwenye mishahara yetu bali wakate kwenye posho zingine tunazopewa kiofisi, mpaka leo hatujajibiwa na bado tunaendelea kukatwa.
hii jeuri sielewi wanapata wapi ya kuingilia mishahara yetu?.... Ikiendelea kuwa hivi kuna siku tunaweza kukuta tumekatwa mishahara ili kuchangia Birthday au harusi ya kiongozi wa taasisi...VERY STUPID MIND
 
Hao viongozi wenu sidhani kama ufikiri wao uko sawasawa
 
Nimefuatilia huu mjadala toka mwazo.
Napenda kufahamu.
1.Ofisi za GPSA ziko wapi? Ili siku nikirudi tz baada ya hii corona kuisha huku niliko kwa wazungu nikazitembelee nizione tu basi
2.wanahusika na nini?
3.Mtendaji mkuu wao ni nani na anapatikanaje?
Nikijibiwa haya nitauliza kitu tena,..karibuni
Uki google utapata majibu yote..tumia akili kidogo
 
Kwani MSD ina Management nzuri. ? Kuna madudu mengi sana. Mkurugenzi wa MSD ni mwanasiasa mzuri anajua kuji politics, lakini je Mahospitali kuna dawa? Ukitaka kujua Management ya MSD waulize wakurugenzi wa Hospitals na vituo vya Afya.

Watu wanalipa hela na wanasubiri mwaka na dawa hazifîki na ikifika unakuta kuna shida ya specification.

Kifupi taasisi za Umma zina shida. Na Magufuli mwenyewe hawezi hata kama alitaka kuweza maana hana Contract performance na hawa ma DG wake na kama anazo basi hakuna sheria msumeno itayowatia hofu hawa watu .

Wangeweka sheria DG yeyote akiingia Kwenye kashfa ya Rushwa au akishindwa kazi anakwenda Jela for sure na account zake zote zinakuwa blocked kwa uchunguzi. Anachukuliwa passport etc etc ; wakifanya Mfano kama Hiyo seriously kwa watu 3 utaona muelekeo ;

shida sheria zetu hazipo serious ndio maana unakuta Mkurugenzi anajua anazingua na wala hajiuzulu anasikilizia upepo.

Na MaDG wote wanasalary nzuri, sio chini ya 14Ml. hadi 20 Mil kwa Mwezi, na kuiba wana iba manina, TZ bwana !
nilimuulizaga bosi mmoja kwa nini anaiba huku anapokea 14m akasema ...sababu ana majukumu makubwa pia
 
Some people are hyped, very stupid in deed tamaa , majungu na fitina hazitasaidia, wametuambia siku nzima kuwa kuna ufisadi jana ripoti ya CAG imetoka hatujaona huo ufisadi. Ujinga mtupu, yaani ni ujinga na nusu. Watu waache wenzao wafanye kazi, wengine wanatuambia sijui hawajakubali kukatwa wakati wana workers organisation, ogopa sana mtu aliyehamishwa na kuzuia hela. Tunaambiwa kuwa kuna mtu ambaye ni afdhali lakini wanasahau kuwa kwenye taarifa ya CaG huyo afadhali ndie aliyeinitiate ununuzi wa gari pumbavu sana hawa . Yaani mmetoka halmashauri huko kwenye umbea mmeona mlete huku, wengine mmekodisha hadi mabonsa wawapige waume zenu halafu unategemea you are credible? Yaani dah majungu na fitina, aya sasa ripoti ya mamlaka imetoka mtuambie wapi GPSA kuna huo ufisadi kama sio ujinga wenu na majungu. Period

Sent from my iPhone using JamiiForums
na ufisadi wote huo mtashindwa kuwanunua hao mbuzi wa siejii
 
Point. Na Mimi nilitegemea Kama Kuna ufisadi wowote CAG angeuona.
Some people are hyped, very stupid in deed tamaa , majungu na fitina hazitasaidia, wametuambia siku nzima kuwa kuna ufisadi jana ripoti ya CAG imetoka hatujaona huo ufisadi. Ujinga mtupu, yaani ni ujinga na nusu. Watu waache wenzao wafanye kazi, wengine wanatuambia sijui hawajakubali kukatwa wakati wana workers organisation, ogopa sana mtu aliyehamishwa na kuzuia hela. Tunaambiwa kuwa kuna mtu ambaye ni afdhali lakini wanasahau kuwa kwenye taarifa ya CaG huyo afadhali ndie aliyeinitiate ununuzi wa gari pumbavu sana hawa . Yaani mmetoka halmashauri huko kwenye umbea mmeona mlete huku, wengine mmekodisha hadi mabonsa wawapige waume zenu halafu unategemea you are credible? Yaani dah majungu na fitina, aya sasa ripoti ya mamlaka imetoka mtuambie wapi GPSA kuna huo ufisadi kama sio ujinga wenu na majungu. Period

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jambo limenishangaza kidogo, kwa nini wafanyakazi wote wa GPSA nilioongea nao wanaonekana kufurahia hili jambo, Yaani wanaona Kama mleta mada ni mkombozi wao...hapa simuamini mtu ila kwa maelezo yao inaonekana Kuna shida....Hawa jamaa sisi ni wateja wao hasa kwenye Vifaa vya stationary
 
Kuna baadhi ya taarifa zinazohusu Ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi ya Hawa viongozi tutaziweka hapa leo ikiwemo kupelekewa Humphrey polepole hizi taarifa ili azifokishe ikulu

Maliki Aram(DBSS) najua unapitia huu uzi, nipo kwenye hayo magroup ya wasap uliyounga ghafla baada ya hii habari kusambaa.. ..ninakuchora tu unavyojitahidi kutafta taarifa, uzuri huko mjadala ukianza tutachangia wote...usisumbuke kabisa kunitafuta maana hutonifahamu kwa Sasa lakini siku ukitiwa pingu Mimi nitakuwepo utanifahamu na hili halina mda mrefu
Cute umetisha! salute kwako!
 
Ndugu zangu Wa GPSA msilie sana, mataasis ya umma mengi yameoza na hayana tija, tatizo kubwa ni mifumo mibovu ya serikali kutazama mienendo ya taasis zake kuanzia utendaji mpk nidhamu.

Hata vyombo ambavyo vingeisaidia serikali kama Takukuru na CAG nao wananunulika. Mi nimeshamuachia Mungu, hakuna marefu yasiyo na ncha
Hawa jama wamejipanga sana....mi nilishawavuliaga kofia miaka mingi....huwezi kuwakuta kwenye ripoti ya CAG hata siku moja pamoja na maangamizi wanayoyafanya
 
Hawa jama wamejipanga sana....mi nilishawavuliaga kofia miaka mingi....huwezi kuwakuta kwenye ripoti ya CAG hata siku moja pamoja na maangamizi wanayoyafanya
Inawezekana ni Kama jamaa alivyosema hao juu kwamba, wanahonga..!!
 
Back
Top Bottom