GPSA: Tuhuma za ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na mengineyo

GPSA: Tuhuma za ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na mengineyo

Ndugu zangu Wa GPSA msilie sana, mataasis ya umma mengi yameoza na hayana tija, tatizo kubwa ni mifumo mibovu ya serikali kutazama mienendo ya taasis zake kuanzia utendaji mpk nidhamu.

Hata vyombo ambavyo vingeisaidia serikali kama Takukuru na CAG nao wananunulika. Mi nimeshamuachia Mungu, hakuna marefu yasiyo na ncha
 
Basi nikajua hii taasisi ina mahela kumbe hamna kitu?
Poleni aisee
Mkuu hiyo taasisi ina pesa nyingi tangu zamani na mpaka sasa. Kwenye kunufaika watu wanaanza wakubwa wa vitengo, hawa wa kawaida mpaka awe na connection au anajua kutumia mianya ya kula(gap).

Ukiwa mfanyakazi wa kawaida kwa hapo na hujui mifumo wala magepu lazima upauke.
Kwa sasa Gpsa imepiga hatua kiutendaji, hiyo mianya naamini ipo sana kwa sababu ya kutokuwepo sheria za kuwabana wakuu na uhaba wa watalaamu baadhi ya idara.

Ushauri kwa majukumu ya Gpsa inabidi nafasi kama za wakurugenzi wasiteuliwe, iwe inatangazwa mtu mwenye vigezo aombe na akipata apewe dira na malengo ya taasisi. Akishindwa kufikia basi atakuwa hastaili na itasaidia kupata watu wataoleta mabadiliko na ufanisi mkubwa wa taasisi.
 
CEO wa sasa hivi sil alikuwa mwalimu wa mzumbe university amesoma phd yake Sua
Umeongea Vema, nimepokea message nyingi PM ambazo zimetoka kwa wafanyakazi wenzangu wa GPSA wakinipa habari za uozo kuhusu viongozi ambazo nilikuwa sizijui na inaonesha hawafurashwi kama Mimi japo walikosa room ya kuziongelea.

Nitachangia kidogo kwenye hii kwa sababu nimechoka na kesho naenda kuitumikia GPSA nadhani nitaongea kesho zaidi kama nikipata mda.Kwanza hongera kwa kuhama hii taasisi, Mimi ninachoamini GPSA sio taasisi mbaya tatizo liko utawala CEO wa Sasa na hasahasa DBSS huyu kiukweli Gereza linamhusu na siku si nyingi anaenda kulipukiwa na bomu..

Kuhusu huyo David ni kweli alikuwa masoko na ni kweli alishawahi kuachishwa kazi na sababu mojawapo ya kuundiwa majungu na kufukuzwa ni upigaji uliokuwa unafanyika kwenye hiki Kitengo cha Masoko siku za hivi karibuni kilishawahi kuwa na meneja kamili (nitajaribu kuongea na walionitumia message private nijue kilitokea nini mpaka akatolewa) baada ya kutolewa akakaimishwa bwana mdogo fulani (nisingependa nimtaje jina kama wewe unavyowataja) ambaye ni mfeleji wa DBSS kufanya mambo yake na huyu bwana mdogo nampa pole sana maana Moto unaenda kumlipukia siku si nyingi maana ushahidi upo hadi wa file no. Na hii itamhusu na FM ( ambaye nisingependa nimtaje jina pia) japo huyu dada FM namhurumia kwa yatakayomkuta maana ni mpole nadhani tu anakosa uthubutu wa kuzuia huo ulaji wao, uwe na usiku mwema japo.

Mimi Binafsi ninachomuomba huyu mama CEO atuhamishe tu wafanyakazi wote wa mikoani atulete makao makuu maana anasema hatuna kazi huku that's why tunapaswa kulipwa kidogo tofauti na wa makao makuu Sasa ili tufanye kazi vizuri atulete wote makao makuu.
CEO wa
 
CEO mpya anachapa kazi na kuwanyoosha mpaka mnaweweseka. Sehemu yoyote akija CEO mpya mchapakazi na kuparekebisha wazee wa mirija lazima wachachawe ndio kinachotokea hapa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waswahili sisi ni wabobezi wa fitina na majungu, kuna mtu anatafutwa, mtujuze mkifanikiwa, acheni roho mbaya, si mna vikao vya wafanyakazi na mnayo Board of Directors, pelekeni huko malalamiko yenu, shubamit
Sio rahisi kihivyo, labda uwe umejitoa muhanga sana. Na system iliopo kwa maandishi ya humu ni ya kulindana ndani kwa ndani kwa baadhi ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora na ww umelishtukia jambo hilo Mkuu, kuna mmoja naona ni Hasira za kuhamishwa hapo maana anasema alikua Mgavi 2015 akapelekwa Mkoani. Ina maana uchafu wa hiyo Taasisi yao ni kwa miaka hii tu wakati yeye Mgavi hakukua na uchafu?



Hapa kunaweza kuwa na Ukweli pia kukawa na MAJUNGU kwa kiasi kikubwa. Fanyeni Kazi Umbea acheni
Usinihusishe na upuuzi wa kijinga mkuu, mimi nimesema kile nilichokishuhudia pale kipindi nikiwepo tena hata huyu CEO alikuwa hayupo alikuwa Mwambega kipindi hicho, acha kutetea vitu kwa mambo ya kipumbavu..labda kama umeguswa
mpaka naondoka mimi meneja wangu wa mkoa alifukuzwa kazi kwa ajili ya ufisadi, alihamisha mapato ya taasisi kuwa fedha zake binafsi.
 
CEO mpya anachapa kazi na kuwanyoosha mpaka mnaweweseka. Sehemu yoyote akija CEO mpya mchapakazi na kuparekebisha wazee wa mirija lazima wachachawe ndio kinachotokea hapa



Sent using Jamii Forums mobile app
Unajibu kirahisi sana mkuu, madai yaliyoleta hapa ni makubwa nashauri vyombo vya usalama vipite pale ili kama hawa walioleta madai nao walihusika ila mianya yao imezibwa, kwa uchunguzi wao watajua na hatua stahiki zichukuliwe...
Tusifiche maovu kwa kutetea pasipo na maana
 
Usinihusishe na upuuzi wa kijinga mkuu, mimi nimesema kile nilichokishuhudia pale kipindi nikiwepo tena hata huyu CEO alikuwa hayupo alikuwa Mwambega kipindi hicho, acha kutetea vitu kwa mambo ya kipumbavu..labda kama umeguswa
mpaka naondoka mimi meneja wangu wa mkoa alifukuzwa kazi kwa ajili ya ufisadi, alihamisha mapato ya taasisi kuwa fedha zake binafsi.

Twende Taratibu Mkuu acha Ukali, kila mtu akihoji mnasema ameguswa. Nauliza hivi

Mbona kuna ID ya mwenzako hapo imesema huyo Mwambegu sijui alikua na yy Fisadi japo kastaafu? Na ww si ulikuwepo kipindi hiko hiko haukuona Madudu yake? Meneja anafukuzwa huyo Mzee alibaki vp?

Na wewe unahusika uchunguzwe
 
Kuna ID hapo kama tatu hii nahisi ni za mtu huyo huyo mmoja amefungua mpya ili kuongezea uzito wa hoja yake ionekane wengi wanaujua ubaya wa GIPUSA!
ndugu yangu, humu sidhani kama kuna watu wanajuana, watu wameleta malalamiko.. unataka kuyafunika kwa maneno mepesi yasiyo na msingi
 
Twende Taratibu Mkuu acha Ukali, kila mtu akihoji mnasema ameguswa. Nauliza hivi

Mbona kuna ID ya mwenzako hapo imesema huyo Mwambegu sijui alikua na yy Fisadi japo kastaafu? Na ww si ulikuwepo kipindi hiko hiko haukuona Madudu yake? Meneja anafukuzwa huyo Mzee alibaki vp?

Na wewe unahusika uchunguzwe
wewe jamaa umenifanya nicheke, mimi nilikuwa na maamuzi gani mbele ya CEO wangu? ndio, nakubaliana na wewe na mimi pia nichunguzwe kama nahusika ni vema nikapata haki yangu sahihi
 
aiseeee wahusika fanyieni kazi hizi taarifa ipasavyo!hatuhitaji watu wajione wao ndiyo kilakitu kwenye mali ya uma.
 
Bora na ww umelishtukia jambo hilo Mkuu, kuna mmoja naona ni Hasira za kuhamishwa hapo maana anasema alikua Mgavi 2015 akapelekwa Mkoani. Ina maana uchafu wa hiyo Taasisi yao ni kwa miaka hii tu wakati yeye Mgavi hakukua na uchafu?



Hapa kunaweza kuwa na Ukweli pia kukawa na MAJUNGU kwa kiasi kikubwa. Fanyeni Kazi Umbea acheni
Mkuu hiyo ofisi haina hela sasa hasira ni za nn mdogo angu yupo hapo makao makuu na anasaka uhamisho aende popote lkn sio gpsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh...!.
Maadam nia yako ni habari hizi zifike kule kunako, tayari zimefika wala aliyezifikisha sio mimi bali zimemfikia mhusika kwa yeye mwenyewe in person kuzisoma

Hili la Kusikia kuwa mimi ni TISS, naomba usiendelee kusikia tuu kwa wengine, mimi ni li TISS lenyewe haswa born and breed TISS na humu jf nimejitaja wazi kabisa bila kuficha kitu

Hivi uongo kwamba TISS hawastaafu kwanini unaaminiwa? - JamiiForums
P
Nlishawahi kufuatwa na jamaa flani back in 2008, alipewa connection na shemeji yangu, nikamvutia waya dingi Mjeda akaniambi "NISITHUBUTU KUSIKIA UMEINGIA HUKO, SOMETIMES MAISHA YA HUKO NI UTUMWA INATEGEMEA NA KITENGO, KAMA ULIKATAA JESHI PAMBANA HUKOHUKO URAIANI"
 
Kwanza nimefurahi umeamua kutolog off, nianze na madaraja. Kwanza kwenye utumishi wa umma kinachoangaliwa ni sifa na si miaka uliyokaa kwenye taasisi, miaka ni sifa moja wapo tu vipi mtu kama alikuwa na ishu kinidhamu na amekaa miaka 20 mwingine hama ishu ya kinidhamu na hana sifa ila amekaa miaka michache, kuelewa suala la utumishi unapaswa kujua standing order, kanuni za adhabu na marekebisho yake na maelekezo ya serikali kuhusu hikama. Na sifa za mtumishi,

Kuhusu dereva ninavyojua kila kitu kinaendana na bajeti kama ipo au ilikuwepo. Nijuavyo unapoandikwa barua kuna copy anayopewa mtumishi. Nadhani mmeendekeza majungu kawakuwa mmebanwa kwenye wizi wenu. Swala la categorization ni mpaka iwe approved na utumishi, kikubwa nadhani you need to be exposed na mambo ya utumishi.

Hapa naanza kupata mashaka kama ulipata induction juu ya majukumu yako nakushauri upitie upya standing order. Nashukuru kwamba umeendelea kudhihirisha kwamba ni watu wa clearing ambao wanatumiwa na wafanya biashara na ambao mianya yenu ya ulaji imepigwa. Nakumbuka mpaka naondoka kiberiti alikuwa mlinzi na sas yuko clearing ambao tunasema wanaonekana kukasirika na serikali kuamua ukomboaji ufanyike GPsa na si watu binafsi na makuadi wao.

Kama kiberiti ana copy ya barua kwanini hajaipeleka kwa CEO maana inaruhusiwa.
jakatugu utetezi wako unasubiriwa huku
 
Government Procurement Service Agency (GPSA) tatizo ni management kama yule DBSS hafai kabisa kuwa ofisini ni fisadi halafu mbinafsi na mbaya Zaidi anawahonga wakaguzi wanapokuja kumkagua na mambo yanaisha, na ili kulinda ugali wake anawala (anawagegeda) wafanyakazi wa kike walio wepesi kutongozeka ili wawe wanampelekea umbeya ambapo wengi wao anazawadia kwa kuwapa kipaumbele cha visafari na semina pale inapotokea yaani kama una mke wako anafanya GPSA humu jamaa hajali yeye anachovya tu,..na wa kiume nao anaselect wa kuwa wanampelekea umbeya kuhusu wafanyakazi wengine..

Ukiwa hujipendekezi GPSA maisha yako yanakuwa magumu, na CEO naye amemezwa na DBSS na mpenda sifa na maJungu Zaidi ya ufanisi wa kazi anatumia pesa nyingi kuhamisha watumishi kwa sababu ya umbeya tu anaopelekewa, kiufupi hana weledi wa kuongoza taasisi, na hawezi kuifikisha mbali na mara mia angepewa Liliani aliyekuwa ana - kaimu.

GPSA inatakiwa iwe juu ya MSD kimapato na kimaslahi kwa watumishi wake,tuna vyanzo vingi vya mapato lakini viongozi wanawaza ufisadi tu, sasa eti wafanyakazi wa mikoani tunalipwa posho kidogo kulinganisha na makao makuu kisa tuko mikoani tunatakiwa kulipwa tofauti na wa makao makuu, sasa kama hatuna umuhimu kisa tuko mikoani si bora tuhamishiwe wote makao makuu na mikoani kusiwe na wafanyakazi kama hawaoni umuhimu wetu na posho sio ya uhakika mpaka viongozi waanze kupiga majungu na kuchagua watu wa kuwapa…

KINACHOTOKEA SASA watu majembe wote wanaondoka, asilimia 90 ya wafanyakazi wa GPSA hawana moyo wa kufanya kazi kwenye ofisi hiyo wapo wakisubiri wapate nafasi waondoke sehemu zingine
.
serikali ingetakiwa ipangue management ya GPSA YOTE, wengine wangetakiwa wawe magerezani kabisa kama DBSS..

Wanaidhinisha makato ya mshahara ya watumishi bila idhini yetu, eti mfuko wa faraja GPSA. Yaani unashangaa mshahara unatoka unakutana na makato usiyoyaelewa, sawa ni jambo jema.. why wasingekata hata kwenye nauli..mishahara yenyewe ni midogo na ndio tunategemea kuikopea, wanaongeza makato kitu ambacho kinatupunguzia kiwango cha mkopo bank wakati walikuwa na option ya kukata hiyo pesa ya mfuko kwenye posho zingine.

Hii tasisi watu hawaipendi kiasi kwamba ni vigumu kukuta watu wamevaa fulana ya GPSA maofisini, zaidi tukipewa huwa tunawapa wafanyakazi wetu wa ndani wavae au wpigie deki, ama tunawapa mama ntilie
Hivi PPRA na GPSA wanafanya kazi tofauti?
 
Wakiambiwa ukweli hawataki, walikuwa ni wezi sana, na walipoahamishwa kwa kushirikiana na wafanyabiashara sahizi wanaona uongozi haufai, na pia baada ya wao kukosa uCEO pamoja na kuact kwa muda mrefu wanaleta figisu na majungu. Yaani ni wahuni waliozoea kula kijinga sasa wamebanwa wanahema . Wengine wameamua kutengeneza parody account juzi jinga sana hawa . Wakajiandae upya uhuni wao unajulikana


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu jakatugu sijaona uhuni wowote na wewe kama kiongozi haufai kabsa. Eti ni wivu kwa kukosa UCEO. SERIOUSLY.
Boss hii ukichomoka, we jembe .

Sent using myLG leon
 
Back
Top Bottom