Mzee tatzo umepanick..hivi unadhani TAKUKURU wakipita wanafata hizi maneno zako za jazba na mihemuko?
Halafu unaweza ukahisi watu kumbe sio, hakuna mpigaji ambae anajua alipiga akatoa Siri za upigaji wakati anajua likimbumbulika nae anahusika...hapa Kuna mtu anajua madhambi yenu vizuri na alikosa room ya kuyasema na hapa ndio anayatema.
Kwa hiyo tulia, Relax Kama huna hoja nzito subiri TAKUKURU waje wafanye kazi yao hao watu unaowahisi na unasema walikuwa wapigaji nao watafuatwa hawana namna ya kuchomoka Kama ni kweli
Maana mpaka hapa kwa utetezi wewe ndio unaonekana mpiga porojo bila hoja za msingi, mwenzio anataja mpaka uhusika wewe ukazania kusema "NYIE" , Relax mzee
Amen
Sent from my iPhone using JamiiForums