Mkuu
jakatugu mbona Kama unaniunganisha na mimi, wakati hata Tz sipo mimi nimeuliza tu.
Kama unakubali hii scandal ya gari ni kweli basi naweza kuamini kwamba hata mengine yana ukweli.. TAKUKURU msaidieni raisi wetu mpenda nchi na mzalendo.
Hapa mmepewa taarifa zote jamani mnangoja nini?
Yaani Mimi nikisikia mtu anaibia nchi yake najisikia vibaya, huku nchi za wenzetu nilipo ni aibu mtumishi au raia kuibia nchi yake akifanya hivo anaweza kujiua mwenyewe kwa sonona tu hata kabla hajajulikana.
Huko watumishi mnalipwa mishahara mikubwa na tena mnaifisadi.. kiukweli kiasi kinachokusanywa serikalini ni kidogo kuliko kinachoingia mifukoni mwa watu maana kila mtumishi ni mpigaji...
Nakuhurumia sana raisi wangu magufuli una kazi kubwa kuwaongoza watanzania waliozoea wizi