GPSA: Tuhuma za ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na mengineyo

Nilichogundua wewe utakuwa ni mfisadi unaweweseka...Nalog off ingia hapa saa2:30 usiku utakuta bandiko lililojaa ushahidi na watu watatajwa majina humo na Ufisadi waliofanya

Nakutakia kila la kheri na karibu sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yani uozo wa GPSA ni mwingi sana. Ni chukua tenda moja kwenye ofisi ya mkoa mmoja ya GPSA, hawakunilipa kwa miezi zaidi ya mitano nilipofuatilia kwa mtu wangu wa karibu ambaye yupo kitengo cha T...., ndipo nikalipwa hela lakini yule Boss wa mkoa akaapa kuwa sinta kuja kupewa tena kazi pale yeye akiwepo. Na kweli nikaja nikanyimwa kazi kazi baada ya mkataba kwisha na toka hapo hata niki-tenda chini ya kila mmoja nimekuwa nakosa kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi ukamjibu Frame- kwakuwa wote mna maslahi wote mlikuwa mnamiliki na mnatumiwa na wafanya bishara zamani kuhujumu serikali acheni tamaa msijifiche kwa uhuni wa kuharibu taasisi .

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndiyo athari hasi za kujihami hizi! Akili yako inapoku- tag tu kuwa huu uwelekeo unaniangukia unaandika utakavyojihisi tu ilimradi uone umefanya linalowezekana.

Na hali yako au hiyo hali inatokana na hofu, na penye tuhuma atakaye kumbwa na hofu kwa hiyo tuhuma ujue yumo! Utashambulia pande yeyote kwako itakapokujia taswira ya ya wao ni uzio au ni mwiba kwako.

Sipo GPSA, Simjui na wala hatujuani na Bw. FRAME-19 na wala sijuani na wewe! Yameletwa madai, unayakataa madai! Ni mjadala huu umeibuka! Ndiyo maana nikakuambia ujiandae na maswali, na sitosita kumleta Bw. FRAME-19 dhidi ya kupinga kwako! Tunataka tujue facts ni zipi na husks of rice ni zipi!
 
Hammaz huyu jamaa kashapanick Hana hoja...asubiri usiku nitaleta file lingine hapa, Hapa tutaanzia enzi za Mwambega mpaka Sasa na kwa kiasi kikubwa DBSS wa GPSA ndugu Malik Aram kote huku anahusika na CEO kaja kuungana nae baada ya kushika taasisi hili liko wazi kabisa
 
Ndiyo athari hasi za kujihami hizi! Akili yako inapoku- tag tu kuwa huu uwelekeo unaniangukia unaandika utakavyojihisi tu ilimradi uone umefanya linalowezekana.

Na hali yako au hiyo hali inatokana na hofu, na penye tuhuma atakaye kumbwa na hofu kwa hiyo tuhuma ujue yumo! Utashambulia pande yeyote kwako itakapokujia taswira ya ya wao ni uzio au ni mwiba kwako.

Sipo GPSA, Simjui na wala hatujuani na Bw. FRAME-19 na wala sijuani na wewe! Yameletwa madai, unayakataa madai! Ni mjadala huu umeibuka! Ndiyo maana nikakuambia ujiandae na maswali, na sitosita kumleta Bw. FRAME-19 dhidi ya kupinga kwako! Tunataka tujue facts ni zipi na husks of rice ni zipi!

Nashukuru kwamba wewe na hamza mnajuana. Wote ni watumishi wa umma karibuni tuendelee kujadili

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nashukuru kwamba wewe na hamza mnajuana. Wote ni watumishi wa umma karibuni tuendelee kujadili

Sent from my iPhone using JamiiForums
Umenipa jina lingine la kufuatilia "Hamza", hebu dodosa kidogo nini amefanya kabla sijaingia mitamboni kupata data zake...uko nyuma ya keyboard na TAKUKURU wanakufatilia funguka
 
jakatugu waambie waliokutuma kuja humu kujibu hoja za kitoto na hao wa utawala mfumo wao wa kupanda madaraja ukoje hapo ofisini kwenu, mbona afisa utawala Ally amepanda mpaka Sasa nasikia ni senior lakini wale alioajiriwa nao wengine bado wako kwenye cheo walioajiriwa nacho, mtu yuko kazini miaka 10 ana cheo kimoja mwingine miaka5 amepanda ...hata kuwarectogorize watu mnafanya kwa namna ya kujuana....

Kawaambie waachie barua ya Christopher kiberiti kule utumishi inaonesha imetoka tangu mwezi wa 5 mwaka jana mmeikalia hapo, hii barua ni ya kumbadilisha kada kutoka Ulinzi kwenda udereva mlivo na roho mbaya na utawala wa kifitna mmeikalia japo mshahara ni uleule haupandi.

Watu wanaposema mnatawala kwa fitna, majungu na umbeya hawasemi uongo data zipo, Kama mtu unaweza kumuonea wivu mlinzi tu kubadilishwa kada kuwa dereva na kwa mshahara wake huohuo wa kilinzi, hivi utaweza kuiongoza taasisi iwe na ustawi?

Nitarudi
 
Kwanza nimefurahi umeamua kutolog off, nianze na madaraja. Kwanza kwenye utumishi wa umma kinachoangaliwa ni sifa na si miaka uliyokaa kwenye taasisi, miaka ni sifa moja wapo tu vipi mtu kama alikuwa na ishu kinidhamu na amekaa miaka 20 mwingine hama ishu ya kinidhamu na hana sifa ila amekaa miaka michache, kuelewa suala la utumishi unapaswa kujua standing order, kanuni za adhabu na marekebisho yake na maelekezo ya serikali kuhusu hikama. Na sifa za mtumishi,

Kuhusu dereva ninavyojua kila kitu kinaendana na bajeti kama ipo au ilikuwepo. Nijuavyo unapoandikwa barua kuna copy anayopewa mtumishi. Nadhani mmeendekeza majungu kawakuwa mmebanwa kwenye wizi wenu. Swala la categorization ni mpaka iwe approved na utumishi, kikubwa nadhani you need to be exposed na mambo ya utumishi.

Hapa naanza kupata mashaka kama ulipata induction juu ya majukumu yako nakushauri upitie upya standing order. Nashukuru kwamba umeendelea kudhihirisha kwamba ni watu wa clearing ambao wanatumiwa na wafanya biashara na ambao mianya yenu ya ulaji imepigwa. Nakumbuka mpaka naondoka kiberiti alikuwa mlinzi na sas yuko clearing ambao tunasema wanaonekana kukasirika na serikali kuamua ukomboaji ufanyike GPsa na si watu binafsi na makuadi wao.

Kama kiberiti ana copy ya barua kwanini hajaipeleka kwa CEO maana inaruhusiwa.
 
Nimefuatilia huu mjadala toka mwazo.
Napenda kufahamu.
1.Ofisi za GPSA ziko wapi? Ili siku nikirudi tz baada ya hii corona kuisha huku niliko kwa wazungu nikazitembelee nizione tu basi
2.wanahusika na nini?
3.Mtendaji mkuu wao ni nani na anapatikanaje?
Nikijibiwa haya nitauliza kitu tena,..karibuni
Ukifika Kituo Cha Daladala Cha Darajani Ukitokea Mkuki House
Utaona Bango Lao Hapo Kubwa Sana
 
Nashukuru kwamba umeendelea kudhihirisha kwamba ni watu wa clearing ambao wanatumiwa na wafanya biashara na ambao mianya yenu ya ulaji imepigwa.
Kwa nini unapenda kutumia neno mnatumiwa pale watu wanaposema ukweli? Niko safarini nikifika nitakuwa hapa kuweka mambo sawa.

Ili vyombo vya usalama vipite Kama Kuna hao unaosema walikuwa wanakula sheria ichukue mkondo wake maana wame-fisadi taasisi na taifa mtasaidia kuwataja
 
Karibu sana na safari njema

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilichogundua Kuna shida kwenye hii taasisi, lazma kutakuwa na shida tu..vyombo vya usalama vipite ili ukweli ujulikane, watu hawakuwa na namna nyingine ya kutoa taarifa hizi za kifisadi zaidi ya kuja hapa jamiiforum maana naona hata jakatugu anaetetea anakili kulikuwa na upigaji zamani kwa hiyo lazma Kuna tatzo hapa.

TAKUKURU, TISS, na serikali msaidieni raisi nendeni hapo GPSA mkafanye yenu ili wanaohusika watiwe ndani ama wafilisiwe kabisa hata Kama walishastaafu watafutwe
 
jakatugu vipi kuhusu tuhuma za ununuzi wa gari la Maliasili kwa Tsh 500m+ alizosema FRAME-19 ?

Nakumbuka kuhsu gari hata sisi tuliokuwepo tulikuwa tunajua kuhusu swala hili, na ilikuwa ni kabla hata ya uongozi wa sasa haujaingia madarakani ndio maana nasema kwamba taarifa nyingi hapa zimejaa majungu na watu kubanwa kwenye maslahi yao.

Nakumbuka hili gari lilinunuliwa wakati wa huyu anayejiita cute ambaye tulihamishwa wote kwa pamoja . Kundi hili lengo lake tangu wakati e ilikuwa ni kudistabilize taasisi. Wanawake hawapendani ndio maana unakuta wamekuwa wa kwanza kupambana na wenzao.

Kwanini msikubali kwamba kuna watu walihamishwa na wakatolewa kwa kufanya biashara na serikali wakati ule kwa maslahi binafsi na wanatumiwa na hao wafanya biashara?
 
Kwanza nimefurahi umeamua kutolog off, nianze na madaraja. Kwanza kwenye utumishi wa umma kinachoangaliwa ni sifa na si miaka uliyokaa kwenye taasisi, miaka ni sifa moja wapo tu vipi mtu kama alikuwa na ishu kinidhamu na amekaa miaka 20 mwingine hama ishu ya kinidhamu na hana sifa ila amekaa miaka michache, kuelewa suala la utumishi unapaswa kujua standing order, kanuni za adhabu na marekebisho yake na maelekezo ya serikali kuhusu hikama. Na sifa za mtumishi,

Kuhusu dereva ninavyojua kila kitu kinaendana na bajeti kama ipo au ilikuwepo. Nijuavyo unapoandikwa barua kuna copy anayopewa mtumishi. Nadhani mmeendekeza majungu kawakuwa mmebanwa kwenye wizi wenu. Swala la categorization ni mpaka iwe approved na utumishi, kikubwa nadhani you need to be exposed na mambo ya utumishi. Hap naanza kupata mashaka kama ulipata induction juu ya majukumu yako nakushauri upitie upya standing order. Nashukuru kwamba umeendelea kudhihirisha kwamba ni watu wa clearing ambao wanatumiwa na wafanya biashara na ambao mianya yenu ya ulaji imepigwa. Nakumbuka mpaka naondoka kiberiti alikuwa mlinzi na sas yuko clearing ambao tunasema wanaonekana kukasirika na serikali kuamua ukomboaji ufanyike GPsa na si watu binafsi na makuadi wao. Kama kiberiti ana copy ya barua kwanini hajaipeleka kwa CEO maana inaruhusiwa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mzee jakatugu nililog off umeandika unachojua wewe lakini nafsi yako inakukana kwamba kwa GPSA utaratibu hauko hivi...hii nitaielezea kwa kifupi baadae kwa sababu niko na majukumu mengine kidogo.

Mimi sijatumwa na mtu ila ufisadi wa pale ni mkubwa hauvumiliki...
TAKUKURU nawapa kianzio kidogo ili nikija baadae au kesho nitaweka uzi unaojitosheleza.

Pale PMU fatilieni mazungumzo ya simu ya DBSS, Glad na Meneja wao wa zamani Nganira na Sasa Sanga..humo mtajua madili yanayozungumzwa ili kuwapendelea wazabuni na fuatilieni mazungumzo ya hao wazabuni na CEO,DPAS na DBSS mtajua kinachoendelea namna hongo yao watakavyoipata ...., Kuna kijana pale GPSA hana kazi maalum na Wala sio mfanyakazi anaitwa nadhani (Deusi) nitaenda kuangalia vizuri Huyu ndio anatumiwa kufuata pesa kwa wazabuni na anapewa In-hand anazileta kwa wakubwa..( fuatilieni mawasiliano yake).

Hapa hatuzungumzi umbeya tunatoa taarifa kuisaidia serikali, nendeni mkikuta hata Kama Mimi nahusika kwenye ufisadi nikamateni mnitie korokoroni tumsaidie raisi ile taasisi inaliwa kwelikweli

Nakushauri ungepeleka taarifa hizi kwenye vyombo. Kama ni kweli wewe ni mtumishi naamini kuwa unajua utaratibu. Unaruhusiwa kuwapa taarifa vyombo vyote Takukuru, TIss na mamlaka husika. Hakuna mtu anayependa ufisadi nchi hii . Lakini mambo mengi ambayo yamezungumzwa kwa sisi tuliokuwa pale tunajua. Na kama kwamba kuna maslahi ya watu yanaguswa. Lakini kama kweli uko humo ndani maadili yako yamekaa vipi? Nadhani tuendelee kusaidia nchi. Tusijikite kwenye majungu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mzee jakatugu nililog off umeandika unachojua wewe lakini nafsi yako inakukana kwamba kwa GPSA utaratibu hauko hivi...hii nitaielezea kwa kifupi baadae kwa sababu niko na majukumu mengine kidogo.

Mimi sijatumwa na mtu ila ufisadi wa pale ni mkubwa hauvumiliki...
TAKUKURU nawapa kianzio kidogo ili nikija baadae au kesho nitaweka uzi unaojitosheleza.

Pale PMU fatilieni mazungumzo ya simu ya DBSS, Glad na Meneja wao wa zamani Nganira na Sasa Sanga..humo mtajua madili yanayozungumzwa ili kuwapendelea wazabuni na fuatilieni mazungumzo ya hao wazabuni na CEO,DPAS na DBSS mtajua kinachoendelea namna hongo yao watakavyoipata ...., Kuna kijana pale GPSA hana kazi maalum na Wala sio mfanyakazi anaitwa nadhani (Deusi) nitaenda kuangalia vizuri Huyu ndio anatumiwa kufuata pesa kwa wazabuni na anapewa In-hand anazileta kwa wakubwa..( fuatilieni mawasiliano yake).

Hapa hatuzungumzi umbeya tunatoa taarifa kuisaidia serikali, nendeni mkikuta hata Kama Mimi nahusika kwenye ufisadi nikamateni mnitie korokoroni tumsaidie raisi ile taasisi inaliwa kwelikweli

Nitarudi
Daaaah mkuu umemaliza kabisa aseeee mpk hapa naona kama huyo DBSS keshatepeta, hivi kirefu chake ni nini ili wafuatiliaji wakiwa wanaandika wasikosee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka kuhsu gari hata sisi tuliokuwepo tulikuwa tunajua kuhusu swala hili, na ilikuwa ni kabla hata ya uongozi wa sasa haujaingia madarakani ndio maana nasema kwamba taarifa nyingi hapa zimejaa majungu na watu kubanwa kwenye maslahi yao. Nakumbuka hili gari lilinunuliwa wakati wa huyu anayejiita cute ambaye tulihamishwa wote kwa pamoja . Kundi hili lengo lake tangu wakati e ilikuwa ni kudistabilize taasisi. Wanawake hawapendani ndio maana unakuta wamekuwa wa kwanza kupambana na wenzao. Kwanini msikibali kwamba kuna watu walihamishwa na wakatolewa kwa kufanya biashara na serikali wakati ule kwa maslahi binafsi na wanatumiwa na hao wafanya biashara?

Sent from my iPhone using JamiiForums
jakatugu andiko lako limejaa chuki zaidi ya uhalisia, Kama ni Mimi nilihusika na nikawa nimehamishwa, kwa nini sikuchukuliwa hatua kwa manunuzi ya kimagumashi ya Tsh 500m+?

Na Kama ni Mimi nimehusika kwa nini mlijilipa posho za kujipongeza baada ya kusaidiwa kujinasua kwenye huu ufisadi Kama alivyosema FRAME-19 ? Kwa nini msingeacha nibebe msalaba wangu kwa kuitia hasara serikali?
 
Back
Top Bottom