Nilichogundua wewe utakuwa ni mfisadi unaweweseka...Nalog off ingia hapa saa2:30 usiku utakuta bandiko lililojaa ushahidi na watu watatajwa majina humo na Ufisadi waliofanya
Ndiyo athari hasi za kujihami hizi! Akili yako inapoku- tag tu kuwa huu uwelekeo unaniangukia unaandika utakavyojihisi tu ilimradi uone umefanya linalowezekana.Huwezi ukamjibu Frame- kwakuwa wote mna maslahi wote mlikuwa mnamiliki na mnatumiwa na wafanya bishara zamani kuhujumu serikali acheni tamaa msijifiche kwa uhuni wa kuharibu taasisi .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hammaz huyu jamaa kashapanick Hana hoja...asubiri usiku nitaleta file lingine hapa, Hapa tutaanzia enzi za Mwambega mpaka Sasa na kwa kiasi kikubwa DBSS wa GPSA ndugu Malik Aram kote huku anahusika na CEO kaja kuungana nae baada ya kushika taasisi hili liko wazi kabisaNdiyo athari hasi za kujihami hizi! Akili yako inapoku- tag tu kuwa huu uwelekeo unaniangukia unaandika utakavyojihisi tu ilimradi uone umefanya linalowezekana.
Na hali yako au hiyo hali inatokana na hofu, na penye tuhuma atakaye kumbwa na hofu kwa hiyo tuhuma ujue yumo! Utashambulia pande yeyote kwako itakapokujia taswira ya ya wao ni uzio au ni mwiba kwako.
Sipo GPSA, Simjui na wala hatujuani na Bw. FRAME-19 na wala sijuani na wewe! Yameletwa madai, unayakataa madai! Ni mjadala huu umeibuka! Ndiyo maana nikakuambia ujiandae na maswali, na sitosita kumleta Bw. FRAME-19 dhidi ya kupinga kwako! Tunataka tujue facts ni zipi na husks of rice ni zipi!
Ndiyo athari hasi za kujihami hizi! Akili yako inapoku- tag tu kuwa huu uwelekeo unaniangukia unaandika utakavyojihisi tu ilimradi uone umefanya linalowezekana.
Na hali yako au hiyo hali inatokana na hofu, na penye tuhuma atakaye kumbwa na hofu kwa hiyo tuhuma ujue yumo! Utashambulia pande yeyote kwako itakapokujia taswira ya ya wao ni uzio au ni mwiba kwako.
Sipo GPSA, Simjui na wala hatujuani na Bw. FRAME-19 na wala sijuani na wewe! Yameletwa madai, unayakataa madai! Ni mjadala huu umeibuka! Ndiyo maana nikakuambia ujiandae na maswali, na sitosita kumleta Bw. FRAME-19 dhidi ya kupinga kwako! Tunataka tujue facts ni zipi na husks of rice ni zipi!
Umenipa jina lingine la kufuatilia "Hamza", hebu dodosa kidogo nini amefanya kabla sijaingia mitamboni kupata data zake...uko nyuma ya keyboard na TAKUKURU wanakufatilia fungukaNashukuru kwamba wewe na hamza mnajuana. Wote ni watumishi wa umma karibuni tuendelee kujadili
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwanza nimefurahi umeamua kutolog off, nianze na madaraja. Kwanza kwenye utumishi wa umma kinachoangaliwa ni sifa na si miaka uliyokaa kwenye taasisi, miaka ni sifa moja wapo tu vipi mtu kama alikuwa na ishu kinidhamu na amekaa miaka 20 mwingine hama ishu ya kinidhamu na hana sifa ila amekaa miaka michache, kuelewa suala la utumishi unapaswa kujua standing order, kanuni za adhabu na marekebisho yake na maelekezo ya serikali kuhusu hikama. Na sifa za mtumishi,jakatugu waambie waliokutuma kuja humu kujibu hoja za kitoto na hao wa utawala mfumo wao wa kupanda madaraja ukoje hapo ofisini kwenu, mbona afisa utawala Ally amepanda mpaka Sasa nasikia ni senior lakini wale alioajiriwa nao wengine bado wako kwenye cheo walioajiriwa nacho, mtu yuko kazini miaka 10 ana cheo kimoja mwingine miaka5 amepanda ...hata kuwarectogorize watu mnafanya kwa namna ya kujuana....
Kawaambie waachie barua ya Christopher kiberiti kule utumishi inaonesha imetoka tangu mwezi wa 5 mwaka jana mmeikalia hapo, hii barua ni ya kumbadilisha kada kutoka Ulinzi kwenda udereva mlivo na roho mbaya na utawala wa kifitna mmeikalia japo mshahara ni uleule haupandi.
Watu wanaposema mnatawala kwa fitna, majungu na umbeya hawasemi uongo data zipo, Kama mtu unaweza kumuonea wivu mlinzi tu kubadilishwa kada kuwa dereva na kwa mshahara wake huohuo wa kilinzi, hivi utaweza kuiongoza taasisi iwe na ustawi?
Nitarudi
Ukifika Kituo Cha Daladala Cha Darajani Ukitokea Mkuki HouseNimefuatilia huu mjadala toka mwazo.
Napenda kufahamu.
1.Ofisi za GPSA ziko wapi? Ili siku nikirudi tz baada ya hii corona kuisha huku niliko kwa wazungu nikazitembelee nizione tu basi
2.wanahusika na nini?
3.Mtendaji mkuu wao ni nani na anapatikanaje?
Nikijibiwa haya nitauliza kitu tena,..karibuni
Kwa nini unapenda kutumia neno mnatumiwa pale watu wanaposema ukweli? Niko safarini nikifika nitakuwa hapa kuweka mambo sawa.Nashukuru kwamba umeendelea kudhihirisha kwamba ni watu wa clearing ambao wanatumiwa na wafanya biashara na ambao mianya yenu ya ulaji imepigwa.
Kwa nini unapenda kutumia neno mnatumiwa pale watu wanaposema ukweli? Niko safarini nikifika nitakuwa hapa kuweka mambo sawa.
Ili vyombo vya usalama vipite Kama Kuna hao unaosema walikuwa wanakula sheria ichukue mkondo wake maana wame-fisadi taasisi na taifa mtasaidia kuwataja
Sawa nitaenda kupaona nikirudi?Ukifika Kituo Cha Daladala Cha Darajani Ukitokea Mkuki House
Utaona Bango Lao Hapo Kubwa Sana
Sawa Sawa!!!!!Sawa nitaenda kupaona nikirudi?
Mzee jakatugu nililog off umeandika unachojua wewe lakini nafsi yako inakukana kwamba kwa GPSA utaratibu hauko hivi...hii nitaielezea kwa kifupi baadae kwa sababu niko na majukumu mengine kidogo.Kwanza nimefurahi umeamua kutolog off, nianze na madaraja. Kwanza kwenye utumishi wa umma kinachoangaliwa ni sifa na si miaka uliyokaa kwenye taasisi, miaka ni sifa moja wapo tu vipi mtu kama alikuwa na ishu kinidhamu na amekaa miaka 20 mwingine hama ishu ya kinidhamu na hana sifa ila amekaa miaka michache, kuelewa suala la utumishi unapaswa kujua standing order, kanuni za adhabu na marekebisho yake na maelekezo ya serikali kuhusu hikama. Na sifa za mtumishi,
Kuhusu dereva ninavyojua kila kitu kinaendana na bajeti kama ipo au ilikuwepo. Nijuavyo unapoandikwa barua kuna copy anayopewa mtumishi. Nadhani mmeendekeza majungu kawakuwa mmebanwa kwenye wizi wenu. Swala la categorization ni mpaka iwe approved na utumishi, kikubwa nadhani you need to be exposed na mambo ya utumishi. Hap naanza kupata mashaka kama ulipata induction juu ya majukumu yako nakushauri upitie upya standing order. Nashukuru kwamba umeendelea kudhihirisha kwamba ni watu wa clearing ambao wanatumiwa na wafanya biashara na ambao mianya yenu ya ulaji imepigwa. Nakumbuka mpaka naondoka kiberiti alikuwa mlinzi na sas yuko clearing ambao tunasema wanaonekana kukasirika na serikali kuamua ukomboaji ufanyike GPsa na si watu binafsi na makuadi wao. Kama kiberiti ana copy ya barua kwanini hajaipeleka kwa CEO maana inaruhusiwa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mzee jakatugu nililog off umeandika unachojua wewe lakini nafsi yako inakukana kwamba kwa GPSA utaratibu hauko hivi...hii nitaielezea kwa kifupi baadae kwa sababu niko na majukumu mengine kidogo.
Mimi sijatumwa na mtu ila ufisadi wa pale ni mkubwa hauvumiliki...
TAKUKURU nawapa kianzio kidogo ili nikija baadae au kesho nitaweka uzi unaojitosheleza.
Pale PMU fatilieni mazungumzo ya simu ya DBSS, Glad na Meneja wao wa zamani Nganira na Sasa Sanga..humo mtajua madili yanayozungumzwa ili kuwapendelea wazabuni na fuatilieni mazungumzo ya hao wazabuni na CEO,DPAS na DBSS mtajua kinachoendelea namna hongo yao watakavyoipata ...., Kuna kijana pale GPSA hana kazi maalum na Wala sio mfanyakazi anaitwa nadhani (Deusi) nitaenda kuangalia vizuri Huyu ndio anatumiwa kufuata pesa kwa wazabuni na anapewa In-hand anazileta kwa wakubwa..( fuatilieni mawasiliano yake).
Hapa hatuzungumzi umbeya tunatoa taarifa kuisaidia serikali, nendeni mkikuta hata Kama Mimi nahusika kwenye ufisadi nikamateni mnitie korokoroni tumsaidie raisi ile taasisi inaliwa kwelikweli
Nitarudi
Daaaah mkuu umemaliza kabisa aseeee mpk hapa naona kama huyo DBSS keshatepeta, hivi kirefu chake ni nini ili wafuatiliaji wakiwa wanaandika wasikosee.Mzee jakatugu nililog off umeandika unachojua wewe lakini nafsi yako inakukana kwamba kwa GPSA utaratibu hauko hivi...hii nitaielezea kwa kifupi baadae kwa sababu niko na majukumu mengine kidogo.
Mimi sijatumwa na mtu ila ufisadi wa pale ni mkubwa hauvumiliki...
TAKUKURU nawapa kianzio kidogo ili nikija baadae au kesho nitaweka uzi unaojitosheleza.
Pale PMU fatilieni mazungumzo ya simu ya DBSS, Glad na Meneja wao wa zamani Nganira na Sasa Sanga..humo mtajua madili yanayozungumzwa ili kuwapendelea wazabuni na fuatilieni mazungumzo ya hao wazabuni na CEO,DPAS na DBSS mtajua kinachoendelea namna hongo yao watakavyoipata ...., Kuna kijana pale GPSA hana kazi maalum na Wala sio mfanyakazi anaitwa nadhani (Deusi) nitaenda kuangalia vizuri Huyu ndio anatumiwa kufuata pesa kwa wazabuni na anapewa In-hand anazileta kwa wakubwa..( fuatilieni mawasiliano yake).
Hapa hatuzungumzi umbeya tunatoa taarifa kuisaidia serikali, nendeni mkikuta hata Kama Mimi nahusika kwenye ufisadi nikamateni mnitie korokoroni tumsaidie raisi ile taasisi inaliwa kwelikweli
Nitarudi
jakatugu andiko lako limejaa chuki zaidi ya uhalisia, Kama ni Mimi nilihusika na nikawa nimehamishwa, kwa nini sikuchukuliwa hatua kwa manunuzi ya kimagumashi ya Tsh 500m+?Nakumbuka kuhsu gari hata sisi tuliokuwepo tulikuwa tunajua kuhusu swala hili, na ilikuwa ni kabla hata ya uongozi wa sasa haujaingia madarakani ndio maana nasema kwamba taarifa nyingi hapa zimejaa majungu na watu kubanwa kwenye maslahi yao. Nakumbuka hili gari lilinunuliwa wakati wa huyu anayejiita cute ambaye tulihamishwa wote kwa pamoja . Kundi hili lengo lake tangu wakati e ilikuwa ni kudistabilize taasisi. Wanawake hawapendani ndio maana unakuta wamekuwa wa kwanza kupambana na wenzao. Kwanini msikibali kwamba kuna watu walihamishwa na wakatolewa kwa kufanya biashara na serikali wakati ule kwa maslahi binafsi na wanatumiwa na hao wafanya biashara?
Sent from my iPhone using JamiiForums