GPSA: Tuhuma za ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na mengineyo

GPSA: Tuhuma za ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na mengineyo

Mkuu achana na kitu inaitwa pesa au umesahau kuwa Yesu mwenyewe alisalitiwa kwa pesa tu sasa hau informer ni nani mpk wakatae shekeli?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nakubaliana na Wewe. Kuna kipindi nipo TZ Halafu Gufuli alikuwa anakuja Kwenye taasisi yetu kipindi hicho jamaa ndio bado mpya kabisa Magufuli.

Unaambiwa Usalama wakawa wanakuja sana kabda ya Ngosha kutia mguu, sasa usalama ukiwapokea poa ; wànakuwa watu safi sana na sometimes muwaingize Kwenye vile vi allowance, jamaa wakawa wanatoa technics na namna ya ku cover madhaifu ili wale watu rasmi wa rais wakija wasione dosari.
I respect them for sure but baadhi ya vijana ambao walikuwa ni wrong selection, wanaharibu sana jina la TISS.

Hawa vijana wa sasa wajiangalie sana. Vijana wa usalama wadogo wanalewa pombe, wanafanya fujo kwa road, wakishikwa wanatoa kitambulisho chao tu; huu sio msingi kabisa wa kazi hii . Miaka ya nyuma kumjua usalama illkuwa ni ishu.

Yaani nilishangaa sana siku moja mwaka 2015 pale maeneo ya Coral beach nilikutana na dogo mmoja hivi tukawa tumepishana kiswahili, dogo akaanza ku fume, unanijua Mimi, then I said who the hell are you; akatoa kitambulisho na gun , nilishangaa sana nikamwambia F**** K U , nitakubabua na Gun yako na nitakupeleka mpaka kwa Othman na hatokuwa na cha kufanya.

Nikamsukumia kwenye ki Alteza chake .... rotten in hell. Aliniangalia hakunimaliza akaondoka zake.

Hawa ndio usalama wa sasa yaani I was speechless.

Na sometimes dili fake zinaunganishwa na hawa hawa na ndio maaana unakuta hapo GPSA UFISADI ni mkubwa sana lakini husikii réaction kubwa na wapo wengi tu humo.
 
TAHADHARI KWA MENEJA WA GPSA MANYARA :

Kabla sijasahau, nakupa tahadhari meneja wa gpsa manyara Hawa vijana wako ... .walivaa beji zenye majina(Ezeckia & Mrisho Kirimbike) kama hutowachunga watakuingiza kwenye matatizo makubwa. Bado wadogo sana kuingia kwenye mikono ya TAKUKURU na TISS...

Nilikuwa hapo ofisini kwenu juzi....

Raisi wetu bado ana kazi kubwa sana hayo mambo fanyeni kwenye vituo vya mafuta vya nje sio vya serikali..Hamumuogopi hata magufuli..

Mngesubiri tumalizane na huu Ufisadi mkubwa
 
TAHADHARI KWA MENEJA WA GPSA MANYARA :

Kabla sijasahau, nakupa tahadhari meneja wa gpsa manyara Hawa vijana wako ... .walivaa beji zenye majina(Ezeckia & Mrisho Kirimbike) kama hutowachunga watakuingiza kwenye matatizo makubwa. Bado wadogo sana kuingia kwenye mikono ya TAKUKURU na TISS...

Nilikuwa hapo ofisini kwenu juzi....

Raisi wetu bado ana kazi kubwa sana hayo mambo fanyeni kwenye vituo vya mafuta vya nje sio vya serikali..Hamumuogopi hata magufuli..

Mngesubiri tumalizane na huu Ufisadi mkubwa
mkuu umeonyesha uzalendo mkubwa sana. Hongera sana na mungu akulinde.
 
Ki ukweli ni kwamba GIPSA all over Tanzania ni wapigaji kwa upande wa wazabuni wengi wanasajiliwa bila sifa stahiki na wanapewa zabuni mbalimbali pili upande wa mafuta wana bergain na madereva wa Serikali na kuwapa fedha kiasi kilichobaki wanauza hayo mafuta na kupata super profit mambo yapo wazi sana sema predictors wapo wengi ila nao wapo kwenye payroll
 
FRAME-19 mkuu usinitaje 😛 😀maana tunakoelekea naweza kukuta nimetajwa...
Nimejifunza kitu hii nchi bado ina Ufisadi mwingi sana na kweli TISS na TAKUKURU wenyewe tu hawawezi lazma Kuna mambo yatawapita...nawashauri watu kama Hawa wanaowasaidia kupata taarifa msiwatafute na kuwaingiza kwenye matatizo bali tumieni taarifa zao vizuri.

Hivi kumbe isingekuwa upigaji tungeweza kuwa kama Norway na mfanyakazi wa chini angelipwa 10m kwa mwezi...naweza kusema zinazopigwa ndio nyingi kuliko zinazokusanywa

Hongera mkuu kwa kazi nzuri ungekuwa nchi za wazungu ungepewa tuzo. Raisi wetu lazma tumuunge mkono kwa maendeleo ya taifa letu.
 
Aiseee mkuu🙌😛👇
Umefanya bonge la Intelejensia hapa TAKUKURU mna kazi ndogo ya kumalizia tu..

Hawa jamaa hawaogopi utawala huu, naungana na Parabora taasisi za usalama watu wanaowapa taarifa muhimu kama hizi muwaache ili mpate habari zaidi..nyie chukueni notebook tu mkae pembeni mnote
 
Sioni namna CEO na DBSS wa GPSA wanaweza kujinasua na hii scandal...aisee🤭🤔
 
Nakubaliana na Wewe. Kuna kipindi nipo TZ Halafu Gufuli alikuwa anakuja Kwenye taasisi yetu kipindi hicho jamaa ndio bado mpya kabisa Magufuli.

Unaambiwa Usalama wakawa wanakuja sana kabda ya Ngosha kutia mguu, sasa usalama ukiwapokea poa ; wànakuwa watu safi sana na sometimes muwaingize Kwenye vile vi allowance, jamaa wakawa wanatoa technics na namna ya ku cover madhaifu ili wale watu rasmi wa rais wakija wasione dosari.
I respect them for sure but baadhi ya vijana ambao walikuwa ni wrong selection, wanaharibu sana jina la TISS.

Hawa vijana wa sasa wajiangalie sana. Vijana wa usalama wadogo wanalewa pombe, wanafanya fujo kwa road, wakishikwa wanatoa kitambulisho chao tu; huu sio msingi kabisa wa kazi hii . Miaka ya nyuma kumjua usalama illkuwa ni ishu.

Yaani nilishangaa sana siku moja mwaka 2015 pale maeneo ya Coral beach nilikutana na dogo mmoja hivi tukawa tumepishana kiswahili, dogo akaanza ku fume, unanijua Mimi, then I said who the hell are you; akatoa kitambulisho na gun , nilishangaa sana nikamwambia F**** K U , nitakubabua na Gun yako na nitakupeleka mpaka kwa Othman na hatokuwa na cha kufanya.

Nikamsukumia kwenye ki Alteza chake .... rotten in hell. Aliniangalia hakunimaliza akaondoka zake.

Hawa ndio usalama wa sasa yaani I was speechless.

Na sometimes dili fake zinaunganishwa na hawa hawa na ndio maaana unakuta hapo GPSA UFISADI ni mkubwa sana lakini husikii réaction kubwa na wapo wengi tu humo.
Vijana wengi wa TISS wamelewa na kazi, ukienda maeneo ya night clubs utawakuta wamezunguka meza, na suti zao haswa mikoa yenye baridi wanavitisho sana utadhani nchi ni Mali yao
 
Kama ni uzushi hatakuwa nyuma ya nondo.Ila kama ni ukweli na ushahidi upo,zitafanyiwa kazi hizi tuhuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua motto wa JamiiForums? Max akiruhusu huo ujinga jukwaa litakosa nyuzi za maana. Huyu katoa ushahidi na sehemu ya kuanzia ni kazi ya TAKUKURU kumalizia kazi.

Kuna nyuzi nyingi humu za kifisadi, zinazotuhumu taasisi hii ya huyu jamaa sio ya kwanza
 
Kiukweli sijui kama kuna taasisi Mbovu kama GPSA, mwaka 2015 niliajiriwa pale kama mgavi, nikapelekwa mkoani.. kufika wenyeji wananiambia karibu Magereza, ukiangalia mazingira kiukweli unaona hapa kuna Zaidi ya moto kipindi hicho ilikuwa kama 710k mshahara, nilikaa pale mwezi mmoja nikapata kazi TPDC mshahara mara 2 unusu Zaidi ya wa GPSA, posho na safari hata hazihesabiki na induction tukaenda fanyia msumbiji miezi 3 kila siku unalipwa dollar 300,

Kuna jamaa nilimuacha pale kwa sasa ni kweli hana matumaini ya Maisha kabisa anasema tangu kipindi kile imeongezeka 100k tu,hakika ni majuto
Kwa hiyo ushauri wako ni wafanyakazi wahame GPSA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majungu hayo. Kama una ushaidi toa taarifa kwenye vyombo husika.
Habari yako kaka Nkenangere najua utakuwa sehemu ya wafanyakazi wa GPSA na yawezekana kabisa upo upande wa wale wanaoifisadi taasisi ndio maana unajibu hivi

Kama upo utakuwa unajua uchafu mwingi unaofanywa na hawa viongozi japo nimetumia maneno makali kufikisha ujumbe maana inafika mda inakera, Parabora amekujibu vizuri sana sihitaji kuongezea katika upande huo maana tushaandika barua ya siri kwa waziri mkuu na yote tumeeleza humo.

Nataka nikuambie kitu kimoja ambacho nafahamu kabisa unakijua kwa vile reply hii yako tu inaonesha wewe ni mfanyakazi wa GPSA , Pale GPSA tunakatwa fedha kwenye mishahara yetu ya " Mfuko wa faraja wa hiari GPSA, ni mtumishi gani alishirikishwa na akasaini makubaliano ya makato ya mshahara kwenye salary slip yake?, Huu Mfuko unaendeshwaje na nani anausimamia? Mwajiri ana mamlaka ya kuidhinisha makato ya mshahara ya mtumishi kwenye salary slip yake kwenda mfuko alioundaa yeye bila kumshirikisha mhusika na akasaini?

Mfuko wa Faraja ni jambo jema silipingi kwa mujibu wao huu Mfuko upo ili mtu akifiwa na watu wake wa karibu aweze kupewa angalau kiasi cha kumuwezesha kwa kipindi hicho, Sasa kinachotokea ni mwezi wa 4 tangu makato haya yaanze lakini cha ajabu mtu akifiwa inatolewa taarifa watumishi mtoe michango wakati fedha ziko kwenye Mfuko..., Ukiuliza unaambiwa tunasubiri pesa iongezeke kwenye Mfuko, KWANI huu Mfuko ulikuwa SACOSS useme pesa ziwe nyingi ili waanze kukopeshana?

GPSA Tanzania nzima tuko wafanyakazi kama sio 200+ basi 300 na ushee, Sasa kwa makato ya huu Mfuko kila mwezi nani anajua huu Mfuko kwa Sasa una kiasi gani?..

Na kwa nini waliamua kuingilia mishahara yetu bila idhini? Yaani mtumishi unakuja kushangaa mwisho wa mwezi pesa imeingia pungufu,..kuuliza unaambiwa Kuna makato mapya yasiyo kisheria yaliyoamuliwa na viongozi,..Is this right? Why wasinge-opt kukata sehemu nyingine kama posho za kila mwezi..kwa nini watuongezee mizigo kwenye salary slip zetu?

Tunauliza haya kwa sababu tunajua kinachoendelea kwenye mifuko mingine kama "GPSA HOUSING" ambapo watumishi wanachangia na si unaona kinachotokea kwenye huo Mfuko? Tusifumbie macho pale viongozi wanapotafuta njia ya kutufisadi mpaka sisi wafanyakazi Tumsaidie rais kuwaumbua awajue ili awafanyie kazi

Ubarikiwe sana jumapili ya leo
 
Kwa hiyo ushauri wako ni wafanyakazi wahame GPSA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimesema wahame?
Ninachoshauri itafutwe management yenye akili ikae pale GPSA, ile taasisi ni kubwa sana wakiweka watu kwa kujuana matokeo yake ndiyo haya.

Huyo mama wa Sasa ametokea mzumbe na ana urafiki wa karibu na Naibu waziri wa fedha na nadhani ndiye aliyempigia pande kuwepo bila kujali uwezo wake wa kuiendesha hiyo taasisi...kwa mda mchache amesha-prove kwamba hakuwa mtu sahihi kwenye hicho kiti.

Kama wanavyosema wadau mkurungenzi/mtendaji ukijiingiza kutengeneza makundi ya wafanyakazi wako usitegemee ufanisi zaidi utaongeza majungu na fitina na utendaji kazi utashuka..Huku niliko hata nikiambiwa nije mpaka J2 na tutoke saa 6 usiku na tena bila malipo ya ziada nitaenda kwa sababu tayari wakuu wanathamini uwepo wetu bila upendeleo

Nenda utumishi leo ulizia taasisi ambayo inaongoza kwa barua za watumishi wake kuwa pale ofisini kwao wakitaka kuhama kwenda taasisi zingine...GPSA ni ya kwanza, nyuma ya halmashauri
 
Na tunaambiwa kuwa barua ya waziri Mkuu kuhusu Bodi ya Mikopo imeshamfikia Rasmi waziri Mkuu. Hongereni TISS
Yaani wewe kwa akili zako unajua kabisa PM hajui kha suala hilo?

Ma Dr. walilalamika mbele ya mkuu mwenyewe khs masuala hayo ya bodi ya mkopo then iweje PM asijue?

Kile ni chanzo cha pesa za serikali na hakuna mabadiliko yatafanyika.
 
Wapi nimesema wahame?
Ninachoshauri itafutwe management yenye akili ikae pale GPSA, ile taasisi ni kubwa sana wakiweka watu kwa kujuana matokeo yake ndiyo haya.

Huyo mama wa Sasa ametokea mzumbe na ana urafiki wa karibu na Naibu waziri wa fedha na nadhani ndiye aliyempigia pande kuwepo bila kujali uwezo wake wa kuiendesha hiyo taasisi...kwa mda mchache amesha-prove kwamba hakuwa mtu sahihi kwenye hicho kiti.

Kama wanavyosema wadau mkurungenzi/mtendaji ukijiingiza kutengeneza makundi ya wafanyakazi wako usitegemee ufanisi zaidi utaongeza majungu na fitina na utendaji kazi utashuka..Huku niliko hata nikiambiwa nije mpaka J2 na tutoke saa 6 usiku na tena bila malipo ya ziada nitaenda kwa sababu tayari wakuu wanathamini uwepo wetu bila upendeleo

Nenda utumishi leo ulizia taasisi ambayo inaongoza kwa barua za watumishi wake kuwa pale ofisini kwao wakitaka kuhama kwenda taasisi zingine...GPSA ni ya kwanza, nyuma ya halmashauri
Nimefuatilia huu mjadala toka mwazo.
Napenda kufahamu.
1.Ofisi za GPSA ziko wapi? Ili siku nikirudi tz baada ya hii corona kuisha huku niliko kwa wazungu nikazitembelee nizione tu basi
2.wanahusika na nini?
3.Mtendaji mkuu wao ni nani na anapatikanaje?
Nikijibiwa haya nitauliza kitu tena,..karibuni
 
Sikuwa na nia ya kutia neno kwenye andiko hili lakini baada ya kuona GPSA imetajwa imenibidi nifungue account mpya nishare experience yangu ya kuwa pale kwa takribani miaka 9 kabla ya kuhama . Account yangu iliyozoeleka haitanipa uhuru Kuna watu humu najuana nao wengi na tunafamiana katika maisha halisi nisingependa wanifahamu , hii account itanipa uhuru zaidi na najua kabisa Mr Malik mwenyewe atanifahamu kwa maelezo nitakayotoa hapa na nataka anifahamu kwa sababu hana cha kunifanya na ananijua vizuri sijawahi kumtetemekea.

Alichokisema Mkuu mwamba02 na hasa mdada CuteJancs ni ukweli kabisa, Huyu DBSS wa GPSA Mr Mali hafai kabisa kuwa kwenye ofisi yoyote ya umma achilia mbali GPSA bali anatakiwa awe nyuma ya nondo za magereza hapa TAKUKURU fanyeni kazi yenu na Tanpol pamoja na maafisa usalama wa taifa hili.

Kiukweli huyu jamaa sio mtu sahihi kwa ustawi wa GPSA ni mwizi wa mali za umma anaeishi maisha ya anasa KIGAMBONI na anamiliki zaidi ya Yard 3 za kuuza Magari hapa mjini, huku akiwanyanyasa wafanyakazi wake, kama watu wa usalama na TAKUKURU mtapita hapa na kusoma andiko hili na mtataka ushahidi njooni Private, mkiwa na verified account nyuma ya ID fake nitawaambia.

Lakini najua TAKUKURU mnamfahamu huyu DBSS wa GPSA, kwa sababu hata taasisi aliyotoka TACAIDS alikuwa na skendo ya wizi na ambayo nadhani bado mnaichunguza na sijui mnakwama wapi kwa huyu mtu japo inasadikika anatumia ulozi/uchawi sana ili kuficha mambo yake, Lakini ni kweli mmeshindwa kwa ajili ya hizi nguvu zake za giza anazotumia? Huyu akiondoka GPSA na akapatikana mtu smart kwenye hicho kiti na mwenye maono na asiye na maslahi binafsi GPSA itapiga hatua, hii iko wazi kabisa.

Huyu jamaa ana swahiba wake wa kabila moja pale utumishi, Somebody Sanga kama sikosei yaani mtumishi akitaka kuhama GPSA barua ikifika utumishi kwa huyu Sanga anampigia simu huyu DBSS kumuuliza kama amtoe au amuache huyo mtumishi... Usipokuwa Ngangari GPSA hutoki huyu ameiharibu sana hiyo taasisi na Kuna somebody Mwakibinga kama sikosei alikuwa GPSA now yuko wizara ya fedha ni mtu mkubwa kidogo, ni watu wa ukanda mmoja pamoja na kwamba anaijuia GPSA vizuri na ana mamlaka makubwa zaidi ya huyu ndugu yake cha ajabu nae amegeuka kuwa Mbeleko yake.

Kuna kipindi nikiwa bado Niko GPSA alishawahi kuniita ofisini kwake akaniambia "wewe fulani Sikupendi, na sitaki uwe hapa makao makuu siku yoyote nitakupeleka mkoani, sitaki kukuona hapa mjini nilimjibu kwa confidence ambayo hakuweza kuamini, siogopi kwenda mkoani nipeleke lakini kamwe sitokubali kufanya kazi kinyume na utaratibu" hii ni baada ya kuwa nakwamisha kazi ambayo baadae niligundua ilikuwa na baraka zake haikufuata taratibu pale. Nikamfata CEO aliyekuwa anakaimu kipindi hicho Kibona nikamweleza, sijui walimalizana vipi ..., Hapa sitaki niingie zaidi kwenye Ufisadi wake hii mada nitaielezea siku nyingine, lazma huyu jamaa vyombo vya usalama vipate taarifa zake ili viaanze kumchunguza kama vilimsahau japokuwa kuwa baadhi ya ushahidi binafsi nilishawahi kuwapelekea TAKUKURU kuhusu huyu mtU, Mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU Brigedia Generali John Julius Mbungo,tuma vijana wako upya wakaiokoe taasisi.

KWA NINI NAUNGA MKONO KWAMBA GPSA MANAGEMENT NI MBOVU?

1. Kuna Mhasibu mmoja alikuwa nadhani mkoani Kagera kama sijakosea, huyu mama aliumwa kansa tena ikawa imefika ile level mbaya kabisa na matibabu akapangiwa MUHIMBILI, akaomba uhamisho ili ahamie Dar awe anahudhuria clinic ya matibabu na akaweka na viambatanisho huyu jamaa DBSS alikataa katakata mama wa watu akahangaika wee akashindwa, Baada ya mda Ikabidi aombe hata ahamie Morogoro ili angalau awe karibu na Dar na hapa Sasa tayari kansa ilikuwa juu ilikuwa mbinde sana mpaka kumkubalia akahamia Morogoro mpaka mwaka jana mauti yanamkuta (R.I.P) eti nasikia baada ya kufa GPSA ikapeleka 600k kama rambirambi kwa familia..wakati kipindi anaumwa hawakuonesha kujali.

2. Kuna Mhasibu mwingine alikuwa Mbeya kwa bahati mbaya mama yake akapooza mwili mzima, familia yake nayo ikapata ajari ambayo ilimuua mke wake na mtoto akapooza, mama na watoto wakawa wamepooza na mke akafariki yeye ndiye akawa muangalizi wao wagonjwa bila msaidizi asubuhi anawaandaa then anaenda kazini, bila huruma Hawa jamaa wakamuhamisha wakampeleka Songwe mzee akawaeleza matatizo yake japo walikuwa wanayajua hawakumuelewa hakuwa na namna baada ya kushindikana kupewa msaada na ofisi yake akaendelea kufanya kazi akiwa anatoka mbeya anaenda Songwe, wakaona haitoshi wakamhamisha tena wakampelekwa Rukwa kumbuka ana watu wamepooza na mbeya ndiyo alikojenga na kwamba huko anakohamishiwa sio kwamba Kuna upungufu ila ni kutaka kumkomoa tu, mzee wa watu akawaeleza tena tatizo lake japo walikuwa wanajua lakini hakuna aliye muelewa mzee wa watu akapiga mahesabu kati ya maisha ya familia yake na Kazi kipi bora, Akaamua kuacha kazi ...Hebu jaribu kuvaa viatu vya huyu mtumishi wakati alikuwa na miaka michache tu astaafu (Hii nimepewa taarifa na rafiki yangu ambae bado yuko hapo GPSA na huyu mzee kwa vile namfahamu imenibidi nimpigie simu kuthibitisha na amenihakikishia ni kweli)

3. Kuna Afisa masoko mmoja alikuwa anaitwa David, huyu alikuwa ni mtu anayejua haki zake yaani ni ile aina ya watu aina yangu ngangari kwelikweli.. Huyu DBSS akamuundia majungu akampa kesi, kipindi kesi inaendelea ikatokea uhakiki wa vyeti vyeki, jamaa alichokifanya ni kuishawishi ile kamati imfute jamaa kazi kwa vile haingii kazini ( kumbuka kesi bado inaendelea) ile kamati sijui iliingiaje mkenge ikamfukuza kazi ikimuunganisha kwenye lile group la vyeti vyeki, siku wanamfukuza kazi DBSS alifanya sherehe ofisini kwake aliita wapambe wake huku akiwa mwenye furaha akawaeleza "nimemkomesha huyu harudi tena nawaambia huku akipigapiga meza na mikono yake kuashiria ushindi" baada ya huyu jamaa kutambua kafukuzwa kazi kinyemela akaenda mahakamani, kesi ikaendeshwa ikaonekana hakuwa na kosa bali alionewa, ikaamuliwa arudishwe kazini na alipwe mishahara yake yote na posho za kipindi chote alichokuwa amesimamishwa kazi...akalipwa zaidi ya 17m akarudi kazini hapohapo GPSA, kwa taarifa za uhakika huyu jamaa nasikia Sasa hivi kahama yuko chuo cha maji.

4. Kuna watumishi waliajiriwa nimesahau mwaka lakini ninachokumbuka mmojawapo kwenye intake hio ni Mhasibu wa morogoro (Benson), intake hii yote haikulipwa pesa za kujikimu.. Sasa huyu jamaa Benson akawa na uelewa akaanza harakati za kufatilia haki yake baada ya mda mrefu kupita, huyu DBSS alipoona jamaa ni mjanja Ikabidi amlipe yeye tu wengine wakabaki, huyu jamaa akawashtua wenzake nao wakachachamaa (kumbuka mda ulikuwa umeenda ni zaidi ya miaka 5 walinyuti bila malipo haya) ,DBSS alipogundua huyu Mhasibu ndio kawashtua wenzake alichokifanya ni kuanzisha bifu na mfanyakazi wake...( Utawala wa GPSA) mwisho wa siku ikabidi walipwe wote na bila hivo pesa zilikuwa zimeshaliwa.

Kuna mengine mengi nimeshau na watakaokuwepo kwa Sasa watasaidia kusema,

Kinachotokea kwenye utawala wa GPSA ni vitu vya ajabu kabisa badala ya kuwa-wamotivate wafanyakazi wao wawe na Ari ya kufanya kazi wao wanawa- stress huku wakitegemea matokeo chanya,

Pale Kitengo cha Rasilimali watu ( HR department) wengi wamegeuka kuwa genge la majungu na umbea, badala ya kubase kwenye utawala wao wapo kwa ajili kukusanya na kupeleka habari za umbeya kuhusu watumishi na maamuzi yanafanyika kwa misingi ya majungu na umbeya,Hiki kitengo kina watu wasiojiamini kabisa na wanaotegemea kujiipendekeza Zaidi.

Ukiangalia GPSA na MSD zinafanya kazi zenye nature ambazo zinafanana kwa karibu japo MSD wamebase kwenye madawa, lakini sasa kwa weledi wa management ya MSD, Ikitokea ukaichukua management yote ya MSD ukaihamishia GPSA wakawa na wafanyakazi haohao wa GPSA walio na makunyanzi unayosema na maslahi kiduchi na wasio na morali na taasisi yao halafu GPSA management yote ukawapeleka MSD wakakuta wafanyakazi haohao wanaolipwa vizuri na wenye Ari na taasisi yao, baada ya miaka 3 tu, GPSA inakuwa level sawa na TCRA na BOT na wafanyakazi watakuwa wenye furaha na maslahi makubwa kupindukia, Kipindi hicho hicho MSD itakayokuwa chini ya management ya GPSA itakuwa imechoka level za taasisi ya mpiga chapa wa serikali na wafanyakazi wake waliorithi wakiwa na Ari na taasisi yao na mishahara minono wataomba wahamie GPSA...

Nakubaliana kabisa na CuteJancs Hawa GPSA Wana vyanzo vingi vya mapato lakini viongozi hawana Vision, wengi wapo kimaslahi.Kule Ugomboaji now hawana mpinzani nchi hii soko liko kwao tu... Lakini nenda kawaangalie.

Mpaka sasa Ofisi haina Standby Generator, Umeme ukikatika iwe week, week mbili ama Zaidi kazi zote za ofisi zinasimama, sio kwamba hawana Pesa za kununua, Ila management inachoamini ni bora wao(Viongozi) wakopeshana mamilioni kwa ajili ya kununua Magari ya kifahari kuliko kununua Generator, Kinachofurahisha sasa wanachukua mkopo Cash kwenye taasisi wanaenda kufanya mambo yao binafsi na magari wananunua Vi-paso wakati mikopo wanachukua ya PRADO, huku wakiwa hawajali kabisa mamilioni ambayo taasisi inapoteza pale umeme unapokatika na usumbufu wanaotoa kwa wateja wao, Just Imagine😎

Kwa Sasa sijui posho zao sijui, Mimi mpaka natoka nadhani ilikuwa ni 50k kwa mtumishi ya nauli kwa mwezi pekee kama sijakosea, hapa cutejancs atatusaidia kujua.

CEO wa Sasa watu walitegemea ataleta mapinduzi , nasikia mambo yamekuwa tofauti jamaa zangu walioko huko wananiambia ni bora hata angeongezewa mda kibona au Lilian, huyu ameshakuwa sehemu ya DBSS anachokifanya Sasa ni kutumia pesa nyingi za taasisi kuhamishahamisha watumishi kama alivyosema CuteJancs kisa majungu tu au kumkomoa mtumishi, yaani akisikia umepambana umenunua gari au umeanza kunenepa anaona umefaidi anakuhamisha mjini na huko unakoenda akisikia umejenga anakuhamisha😀😀😀,... haya mambo ni kama wanarithishana waliokuwa zamani wanajua watumishi wa GPSA tulikuwa tukinunua magari tunayapaki ofisi za MISITU kuogopa majungu na kuhamishwa, GPSA ya Sasa nasikia asilimia kubwa uhamisho ni kukomoana na sio kwa ajili ya maboresho ya taasisi... Hebu angalia hii scenario CEO uatumia pesa za taasisi kipuuzi nanmna hii, na Kwa mawazo haya unategemea taasisi ya GPSA ipate ustawi😳😗
hivi gawio alitoa kwa mkuluuu?!
gpsa hata majengo yao hawapaki rangi kuonyesha uhai au ubunifu ofisi zimechooka sana na watumishi wamekata taamaa kwa mionekano yao.
wahusika wafanyie kazi hiki kwa kweli.
 
Back
Top Bottom