Graduates sikilizeni kutoka kwa malegend wa kitaa...

Ile unatoka zako chuo unarudi nyumbani mwezi wa kwanza unapita kuna vitu vinaanza kutokea.
1. Usb yako inakufa
2. Sendo zinakatika
3. Jeans yako pendwa inachanika
4. Cadet zinapauka
5. Unaachwa na mpenzi wako.
Tuongeze vingine vingine
unatafuta hata buku utakosa, marafiki kukutenga yaan ovyo ovyo
 
Ila watu hahahaha dar
 
dooh huu uzi leo umenifungia siku yangu vizuri, namshukulu mungu nimejiunga na mzee kwenye ufundi ko kidogo mambo si mabaya sana miez hii mi3 naumudu mtaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…