Graduates sikilizeni kutoka kwa malegend wa kitaa...

Graduates sikilizeni kutoka kwa malegend wa kitaa...

Ile unatoka zako chuo unarudi nyumbani mwezi wa kwanza unapita kuna vitu vinaanza kutokea.
1. Usb yako inakufa
2. Sendo zinakatika
3. Jeans yako pendwa inachanika
4. Cadet zinapauka
5. Unaachwa na mpenzi wako.
Tuongeze vingine vingine
unatafuta hata buku utakosa, marafiki kukutenga yaan ovyo ovyo
 
Baada ya wiki lile bando linaisha,
unaamua ku hide last seen ya whatsapp,
Nywele ulizokuwa ukizitunza kwa garama unanyoa.
Unafikiria kazi ya kufanya unagundua hauna mtaji na uzoefu, unachoka
Unauza simu, unafuga kuku na wanakufa wote[emoji23][emoji23]
Unakosa dira, unaamua kuwa rough.
Unabadilika rangi ya ngozi na unakufa[emoji23][emoji23]
Ila watu hahahaha dar
 
dooh huu uzi leo umenifungia siku yangu vizuri, namshukulu mungu nimejiunga na mzee kwenye ufundi ko kidogo mambo si mabaya sana miez hii mi3 naumudu mtaa
 
Back
Top Bottom