LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
" Masikini watoto wa Kayumba za Likud wamepata zero kibao duh ndio kwisha habari Yao"
Kuna watu kadhaa wame nitag kunikejeli Kwa hoja hii..cha ajabu ni kwamba watu hao wana jiita graduates eti🤣🤣🤣🤣
Kama wewe ni graduate, halafu unamsikitikia alie pata Zero form four Kwa kuona kwamba maisha Yake ndio mwisho wake hapo, basi Likud nakwambia kwamba, kijana kupata zero form 4 Sio mwisho wa kutimiza ndoto zake isipokuwa ni mwisho wa uwezo wako wewe kufikiria.
Yani akili yako ndio imefikia mwisho wake wa kuwaza.
Akili yako imejifunga. Ina amini kwamba kijana alie pata zero form 4 ndio amefika mwisho wa kutimiza ndoto zake.
Akili yako imekosa uwezo wa kuona uwezekano wa kijana alie pata zero kutimiza ndoto zake kwenye maisha Yake.
Wewe shuleni ulienda kukariri masomo lakini hukujaaliwa kupata maarifa yaku kupa uwezo wa kutatua changamoto zilizopo kwenye Jamii inayo kuzunguka.
Your mindset has stuck in the 90s and 80s.
You think 2025 is 1992.
Enzi hizo ndio watu walikuwa na hizo mentality yani mtu akifukuzwa Kazi eti ndio maisha Yake yanakuwa yameishia hapo atachanganyikiwa, mke atamkimbia, atafukuzwa kwenye nyumba anayo ishi blah blah blah . Wengine walikuwa hadi wanajiua eti.
Nakumbuka mwaka 99 nikiwa form one Kuna jamaa mmoja mtoto wa kota alizungusha form 4, eti akachanganyikiwaga kabisa 🤣🤣🤣 Kisa kapata zero.
Wewe graduate unae ona zero ya form 4 ya huyo kijana kama obstacle ya kutimiza ndoto zake unawaza kama alivyo kuwa anawaza baba yako mzazi miaka ya themanini na tisini.
Akili yako ina move in a backward direction.
Ndio maana kila siku nawaambiaga wacheni kujistress kulipa hela mnazopata Kwa tabu kwenye shule za EMs Kwa sababu huko watoto wenu wanafundishwa kuwa kama nyie.
Wanafundishwa Kujibu mitihani wafaulu lakini hawafundishwi kupata maarifa yatakayo wapa uwezo wa kusolve matatizo.
Matokeo Yake sasa mtoto wako unatumia hela nyingi kumsomesha anakuja kuwa daktari halafu unakuja Kufa Kwa pressure na yeye hawezi kukusaidia Kwa sababu Chuo wamefundishwa " Hakuna Dawa ya presha" kama ambavyo wewe una amini hakuna njia ya mafanikio Kwa mtu aliepiga zero form 4..
Inaitwa Generational Ignorance. You pass your ignorance to your children.
Watoto wenu wanafundishwa " Dunia inazunguka kwenye orbit yake Kwa siku 365" ukimuuliza kwanini siku 365 na sio 364 hana majibu.
Wanafundishwa mji mkuu wa Tanzania ni Dodoma ila waulize ' why Dodoma?" . Why not Singida or Arusha, hana majibu.
So wewe graduate unao wasikitikia form 4 waliopata zero Kwa kuona kwamba hapo ndio umefika mwisho wa kutimiza ndoto zao, jua ya kwamba akili yako ndio imefika mwisho wa kufikiria na Sio vinginevyo.
Unazidiwa maarifa mpaka na waganga wa kienyeji. Wakati watu wote wanakuona wewe mzima, mganga anakuona una majini.
Hivyo ndivyo ma injinia wanavyo waza. Wakati vilaza mnaona Bahari yeye Mwenzenu anaona daraja.
Natamani nikufungue akili uone usicho kiona lakini Wacha ubaki na ujinga wako..