Graduates wa kibongo Bana. Yani graduate mzima eti anawasikitikia watoto walio pata zero form 4

This is what I am talking about. Never put a full stop in any one's life. Just put a coma
You're one to talk!

Not everybody takes school for granted, hoping to become an entrepreneur with their street smarts.

Some people want to make meaningful impact in society, they thrive in solving problems, education gives them a chance.
 
Mdogo wangu kapata zero, nmefurahi kwani ni mda sahihi wa kuongeza wigo wa wafanyabiashara ktk familia yetu, dogo mwingine alifeli anauza vyuma chakavu, kwa mwezi anakunja si chini ya m3, kama profit msomi anaekunja kiasi hicho bongo ni mwenye levo ya Dr's
vyuma vina hela kinyama, watu hawa jui tu.
 
You're one to talk!

Not everybody takes school for granted, hoping to become an entrepreneur with their street smarts.

Some people want to make meaningful impact in society, they thrive in solving problems, education gives them a chance.
nakubaliana ma wewe, kwanza biashara si kwa kila mtu.

baadhi ya watu Wana Soma kutokana na msukumo wa kitu fulani, kutoka ndani au historia Yao.
mfano kuwa daktari ili kuokoa maisha ya watu, kuwa wakili ili kutetea haki.

Kingine tukiwa wote wafanya biashara, huduma za kijamii zita endeshwa na nani??
 
Hivi hapa Tanzania hizi shule zetu za kishua sijui Feza sijui IST zimewahi kutoa mshindi hata Mmoja kwenye shindano la International Olympiad in Informatics(IOI)..kweli??

Kwanza Kuna programing contest yoyote inayofanyika hapa nchini? Au wanasubirigi wafanye mitihani ya necta tu..!?
 
You're one to talk!

Not everybody takes school for granted, hoping to become an entrepreneur with their street smarts.

Some people want to make meaningful impact in society, they thrive in solving problems, education gives them a chance.
Kwa elimu hii hii ya Tanzania ya kukariri kuchora panzi?
 
Hivi hapa Tanzania hizi shule zetu za kishua sijui Feza sijui IST zimewahi kutoa mshindi hata Mmoja kwenye shindano la International Olympiad in Informatics(IOI)..kweli??

Kwanza Kuna programing contest yoyote inayofanyika hapa nchini? Au wanasubirigi wafanye mitihani ya necta tu..!?
Hakunaga
 
Sawa ST. Francis wamescore div. one wote ila ukweli utabaki kuwa "yanga wameishia makundi"
 
Hakuna mtu aliyepata IV ataenda kusomea taaluma ya muhimu kama udaktari ama uhandisi.
Hakuna taaluma ya maana kuliko nyingine. Kila mtu ana mchango wake kwenye jamii. Kwa mfano, wafanya usafi wengi ni form four lakini wanatufanya tufanye kazi kwenye mazingira safi. Hatuwezi wote kuwa madaktari etc. Tuheshimu mchango wa kila mtu maana zina umuhimu wake.
 
Aliepata zero amegoma kuwa programed, amekata kukariri anacholishwa. Ila anapaswa kujua uwezo alionao ili atumie kupiga hatu maana wazazi wake hawaja mgundua ukuu wake ni tabu kuzaliwa na wazazi vilaza wasiojua uwezo wa watoto wao kama mtoto anauwezo wa ufundi huko shule anafuata nini? Kama ni mtaalamu wa uvuvi na unajimu shule anafuata nini?
 
100% Fact
 
Fact
 
Tuheshimu tu wafagiaji tusiheshimu wahandisi waliosota na vitabu?
 
Aliepata zero amegoma kuwa programed, amekata kukariri anacholishwa. Ila anapaswa kujua uwezo alionao ili atumie kupiga hatu maana wazazi wake hawaja mgundua ukuu wake ni tabu kuzaliwa na wazazi vilaza wasiojua uwezo wa watoto wao kama mtoto anauwezo wa ufundi huko shule anafuata nini? Kama ni mtaalamu wa uvuvi na unajimu shule anafuata nini?
Msiwasomeshe basi. Waishi kwa hivyo vipaji.
 
Back
Top Bottom