Graduates wa kibongo Bana. Yani graduate mzima eti anawasikitikia watoto walio pata zero form 4

Graduates wa kibongo Bana. Yani graduate mzima eti anawasikitikia watoto walio pata zero form 4

1737764712202.png
 
Msiwasomeshe basi. Waishi kwa hivyo vipaji.
Ishu sio kutowasomesha, jambo la msingi ni kuwa na mfumo thabiti ambao utawa-acomodate watu wenye vipaji na uwezo waziada ambao kwa sasa haipo hivyo, maana ni mfumo wa wakoloni (montessori).
Hicho ndio naona ni Cha msingi zaidi.
 
Baada ya ku'philosophize' sana nikaja na maswali haya:Elimu ni nini?Nani alianzisha elimu?Nawezaishi pasipo elimu?Katika kujibu nilibaini kwamba elimu ni falsafa(fikira) zilizoasisiwa na watu na kurithishwa.Maisha yangu yategemea mapokeo ya elimu ili nami nitengeneze elimu ininufaishayo.Kinyume na hapo ni utumwa.Kupata ziro ama IV ni kielelezo kwamba akili ya mhusika ilishindwa kupokea aina ya elimu iliyoletewa na si ajabu akili hii ilishaandaa mbadala.Wamcheka mtu huyu kwa lipi?
 
Aisee Bongo shida sana kwa hiyo mmeaminishwa Wafanyabiashara hawatakiwi kuwa na Elimu?
Ushahid nlionao unatosha sana kuishi nachokiona, kwa mfumo wa elim ya bongo ambao darasa la saba ndo mtunga sheria bungeni, Acha madogo waishi matokeo ya elim ya mtaa.
 
Ushahid nlionao unatosha sana kuishi nachokiona, kwa mfumo wa elim ya bongo ambao darasa la saba ndo mtunga sheria bungeni, Acha madogo waishi matokeo ya elim ya mtaa.
Elimu sio lazima waajiriwe wanakua na exposure kubwa na uwezo wa kuwa na mipango mikubwa ya maendeleo Elimu ni muhimu sana sio ya kuibeza kabisa..
 
Elimu sio lazima waajiriwe wanakua na exposure kubwa na uwezo wa kuwa na mipango mikubwa ya maendeleo Elimu ni muhimu sana sio ya kuibeza kabisa..
Taifa linaongozwa na wasomi au wasio wasomi? Unadhani kwa tz wasomi wanayo maajabu hata waweze kujivunia kwa jamii?
 
Elimu sio lazima waajiriwe wanakua na exposure kubwa na uwezo wa kuwa na mipango mikubwa ya maendeleo Elimu ni muhimu sana sio ya kuibeza kabisa..
Kuna ma profesa bongo, lakin siioni impact yao kwa raslimali na maendeleo ya Tanzania kiasi cha kuweza kujivunia uwepo wao
 
Kuna ma profesa bongo, lakin siioni impact yao kwa raslimali na maendeleo ya Tanzania kiasi cha kuweza kujivunia uwepo wao
Nilichosema wasome kama wana nafasi Elimu itawasaidia huko mbele sio lazima waajiriwe swala la maendeleo hilo ni la mtu na mtu na sio swala la lazima akisoma atakua na mafanikio kama yeye mwenyewe hajipangi kuwa na hayo mafanikio..
 
Back
Top Bottom