Graduates wa kibongo Bana. Yani graduate mzima eti anawasikitikia watoto walio pata zero form 4

Kula nondo hizi kutoka kwa KAYUMBA ALUMNI
 
Home sasa hivi sina house girl, huo mziki wake siyo wa kitoto.

Sasa hivi wife ndio anaona thamani ya dada wa kazi anayeamka asubuhi sana daily kuweka mazingira ya nyumba sawa, sasa hivi tunafanya wenyewe.

Umuhimu wa kitu utaujuwa usipokuwa nacho.
 
IST na NECTA wapi na wapi mkuu?
 
Home sasa hivi sina house girl, huo mziki wake siyo wa kitoto.

Sasa hivi wife ndio anaona thamani ya dada wa kazi anayeamka asubuhi sana daily kuweka mazingira ya nyumba sawa, sasa hivi tunafanya wenyewe.

Umuhimu wa kitu utaujuwa usipokuwa nacho.
Fact
 
Ni lazima tusikitike vijana wakifeli, yaani hatuwezi kufurahia watoto wetu wakifeli hata kidogo. Tunajua there's always a way, akishindwa hapa ataweza pale ila hilo haliondoi ukweli kwamba wakifeli f iv, f vi hatutafurahi.

Hata hivyo tunawaasa mjitahidi kufanya mazingira bora ya elimu kwa watoto wetu, shule za msingi walau ziwe na mazingira mazuri, waalimu wa kutosha na vitendea kazi bora. Hakikisheni mnawalipa walimu wenu vizuri ili wafanye kazi kwa ufanisi..

Tunataka mazingira kama haya...
Kamwe hatuwezi kukubali shule ziwe na mazingira mabovu namna hii.

Note: shule za sekondari za seeikali zimeanza kuboresha mazingira yake, tatizo ni walimu na vitendea kazi. Mlifanyie kazi msilalamike matokeo kuwa mabaya wakati hakuna input mnafanya.
 
Home sasa hivi sina house girl, huo mziki wake siyo wa kitoto.

Sasa hivi wife ndio anaona thamani ya dada wa kazi anayeamka asubuhi sana daily kuweka mazingira ya nyumba sawa, sasa hivi tunafanya wenyewe.

Umuhimu wa kitu utaujuwa usipokuwa nacho.
Tuliosoma functional theory tunatambua umuhimu wa kila mtu/ kitu kwenye jamii.
 
Hakuna mtz aliyeshinda olympiad😂 zile hata wamarekani wanaziogopa, wachina ndo wanazibeba sana

Lakini kuna hackathon nyingi tu huku africa

Daudi Nkanda wa Marian Boys alishinda East African Virtual Machine Learning Hackathon 2021
 
Tunajuwa, ila ukikamatwa na chuma cha reli kesi yako ni uhujumu uchumi.
naelewa, Kuna kipindi nili kuwa osterbay nyumba nilio panga vili kuwemo.

Jamaa mmoja akaja akawa na interested navyo, ali ahidi 35m. Ila nili waambia mki shikwa tuna nyea debe wote humu ndani
 
Na sisi hao graduates ni zao la shule za Kayumba, ndio maana hatuwezi kufikiria mbali
 
Kwa hiyo hakuna national computing contest yoyote ya kuibua vipaji kwenye sector ya technology hasa computer science, na wakati Kenya tu hapo wanayo? Hayo mainternational schools wanafunzi wao wanajipima vipi uwezo wao?
 
Hakuna mtz aliyeshinda olympiad😂 zile hata wamarekani wanaziogopa, wachina ndo wanazibeba sana

Lakini kuna hackathon nyingi tu huku africa

Daudi Nkanda wa Marian Boys alishinda East African Virtual Machine Learning Hackathon 2021
Wamarekani hawaziogopi kabisa Olympiads na wanashinda sana tu, Tena wanazitilia maanani sana, maana kupitia IOI wameibua vipaji vingi sana Kwenye teknolojia mfano kama Mike Krieger muanzilishi mwenza wa Instagram na Austin Russell mmiliki wa Lunar Technologies company, Tena kama huyu Huwa anaishukuru IOI mpaka kesho maana ndio ilifanya wawekezaji wamuone na kuja kuwekeza kwenye idea zake, leo hii na yeye ni Moja ya mabilionea vijana Zaid duniani.

Ni kweli unavyosema hizo tuzo za IOI zinachukuliwa Zaid na wachina na warusi, lakini wamarekani hawako nyuma... Kwanza wao tu wana shindano lao la ndani la kuhusu computer programming linaitwa USACO(USA-computing programming).

Nadhani hata hapa kwetu tunaweza kuanzisha hizi contests hili kukuza industry yetu ya teknolojia.

Kuhusu Hackathon ni nyepesi sana tofauti na Olympiads, Olympiads unafanya mwenyewe Kusolve algorithmic tasks ambazo ziko complicated Kwa muda WA siku mbili, wakati huo Hackathon mnafanya mkiwa wengi Tena ni masaa kadhaa tu. Ndio maana hazina uzito sana.
 
naelewa, Kuna kipindi nili kuwa osterbay nyumba nilio panga vili kuwemo.

Jamaa mmoja akaja akawa na interested navyo, ali ahidi 35m. Ila nili waambia mki shikwa tuna nyea debe wote humu ndani
Nimekukamata red handed hivi jobless anaweza ishi obey? 😅
Wewe unatushika Shika masikio Wewe mshua
 
Aisee Bongo shida sana kwa hiyo mmeaminishwa Wafanyabiashara hawatakiwi kuwa na Elimu?
 
Ila mkuu kuna namna unapenda mambo ya hovyo yasisemwe, kama sijakuelewa vibaya.

Mtoto akifeli shule sio mwisho wa kutimiza ndoto zake, pia sio mwisho wa kuogelea katika bahari nyingine za elimu.

Lakini ni lazima tuwakumbushe kuhusu elimu na kufaulu mkuu.

Ukumbuke pia taifa hili ni changa na elimu yake kwa idadi ya waliopata kwa mfano elimu ya juu nadhani kama itawekwa kwa ratio bado tuko chini.

Ni nchi ambayo ina rushwa na nepotism.

Kwa watu ambao wanatoka familia za chini kwa kipato kuna umuhimu wa kujitahidi ku pata ufaulu, sio kwa ajili ya kuja kupata kazi tu, ila kuweza hata kujiendesha katika mambo mbalimbali.

Haipaswi kuwakatisha tamaa lakini ni vyema wakakumbushwa kutumia nafasi vizuri.

My PoV: Wajinga wamewazidi idadi werevu.

“Never underestimate the power of stupid people in large groups.”
― George Carlin​

Tukifuga haya mambo, tayari tumeshayafuga na tunaona matokeo, kama hata hayo ya watu kupotezwa kwa kuwa wamekosoa tu na kuwa na mtzamo tofauti.
"CCM Oyee"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…