Graphic Content: Angalia kundi la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur, Sudan

Graphic Content: Angalia kundi la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur, Sudan

Mimi nimezaliwa kwenye Uislam nikasoma madrasa tangu nikiwa na miaka mi-4 enzi hizo manazilul abraar … baadae nikasoma tena madras nyingine kama mbili nilipofika sekondari nikaanza ku-evaluate hii dini… NASEMA HIVII there is something wrong with Islamic religion.
 
Ndivyo Dunia ilivyo ,hao ndugu zenu katika Imaan ni shida sana wanapomkuta mtu ambae sio wa Imani Yao.

Ndio maana nasema mara zote ,tupambane kadiri inavyowezekana tusije ruhusu watu wapumbavu watuletee machafuko Kwa visingizio vya Demokrasia na ujinga kama huo.

Halafu huyo janjaweed mbona naye mweusi?. Muislamu anamuua mwislamu mwenzake
Sudan wanapigana waislam na wakristo? Nchi zinazoongoza kwa amani na salama zaidi duniani ni za kikristo.
 
Ila umeandika ujinga mkuu. Yesu alikuwa anajua kusoma na kuandika ? Hio biblia unajuwa alieiandika. Unapojadili jambo usijadili kwa chuki? Wewe mwenyewe umepandikizwa tu. Unadhani hakuna watu duniani wanaoona biblia kama kituko ?
Wewe dini umerithi tu sio kwamba umetumia RATIONAL THINKING kuthibitisha ukweli wa hio dini
Upo keenye hio dini kwa sababu wazazi wako wamekupandikiza tangu utotoni .
Ona Sasa kumbe hata biblia yenyewe huijui. Soma basi ujithibitishie kwamba Yesu alikua anajua vzuri kabisa kusoma. Maandiko yanaonyesha since akiwa mdogo alikua akifungua vifungu na kuwanukulia mafarisayo na wengine ambao walikua na elimu kubwa zaidi. Biblia imeandikwa na wanaume tofauti tofauti wasomi ambao walitumiwa na Mungu kuandika matendo yake makuu na sio vilaza ambao walikua hawajui kusoma Wala kuandika. Angalau kwa logic hio unaweza kuamini na sio nyie jamaa mjanja mjanja tu kawahadaa na makingia mkenge. Mwisho unaongea vitu kimazoea. Mi sijaritjishwa dini. Ukoo wang kila mtu ana dini yake na dhehbu lake. Uzuri Mzee alitupatia uhuru wa KUCHAGUA. Niliofanya utafiti kwa kina na mpk uislam huko nishaenda niligundua huko hamna kitu. Bible is always perfect. Kama una kifungu huelew au hakielewek kinapishana na vingine nitajie hapa tujadili vizur nikuonyeshe how it is perfect
 
Kuna clip huko Sweden waislam ambao ni wahamiaji ( wakimbizi ) wameingia supermarket ile section ambayo kuna Pork wakaanza kukojolea nyama huku wakichukua video …ISLAMIC religion teaches hatred.
 
elimu magharibi hawana ambapo elimu hiyo ingeweza
Wewe huna elimu kuwazidi waislamu
Chukua wakristo wote wa bara la Africa hawana elimu ya kuwazidi warabu.
Mfano mataifa ya bara la Africa yalio na elimu bora ni Kaskazi i mwa Africa na SA tena souyh Africa wenye elimu bora ni wazungu sio wazuru. Kenya, Uganda , Tanzania hstuwazidi wamisri, wamorroco? Walibya ? Watunisia, Wasudani kaskazini kielimu. Mbantu hajawahi mzidi mwarabu akili na haitakuja tokea mpaka mwisho wa dunia.
Nimejibu kiujumla.
 
Hua Sipendi Sana kukosoa Imani za watu Ila Waislamu ndugu zangu Hawa Wana roho mbaya Sana Sana Sana.
Ndg hawa wasipoambiwa ukweli hawasikii kabisa. Mi pia nilikua na mtazamo huo huo. Ila ilitokea kwa wakristo mnaoga na matusi juu ila kwao noon. Hio haipo acha na wao wale za uso
 
shida ni kwamba viongozi wa kiislam hawajawahi kitoka hadharani na kukemea hawa wahuni wanaojificha kwenye uislam, hatujawah kusikia wakiwakemea wala kuwakana kwamba hawatetei uislam, viongozi wakubwa wa dini ya kiislam ni wanafki na watu wa maslahi, wapambe wa serikal na wahuni wa sirini.... watu wanachinja wenzao huku wanasema allah akbar halafu wenye dini yao mpo kimya mnategemea dunia inawaelewaje, dunia inaelewa kuwa huo ndio uislam unaoamrisha kuua kila aliye tofauti na uislam..
wakatoliki wa africa pamoja na kumuheshimu papa lakini wamekataa amri yake ya kubariki mashoga na matamko yametoka, nyie hizo panyaroad mnazilea na kuwaita MASHAHEED .
inatisha sana hii dini na wafuasi wake... kutwa mnasema peace be apon MUHAMAD ila nyie hyo peace na majirani hamtaki, hamuoni kama hata mtume wenu anawashangaa.
 
Ona Sasa kumbe hata biblia yenyewe huijui. Soma basi ujithibitishie kwamba Yesu alikua anajua vzuri kabisa kusoma. Maandiko yanaonyesha since akiwa mdogo alikua akifungua vifungu na kuwanukulia mafarisayo na wengine ambao walikua na elimu kubwa zaidi. Biblia imeandikwa na wanaume tofauti tofauti wasomi ambao walitumiwa na Mungu kuandika matendo yake makuu na sio vilaza ambao walikua hawajui kusoma Wala kuandika. Angalau kwa logic hio unaweza kuamini na sio nyie jamaa mjanja mjanja tu kawahadaa na makingia mkenge. Mwisho unaongea vitu kimazoea. Mi sijaritjishwa dini. Ukoo wang kila mtu ana dini yake na dhehbu lake. Uzuri Mzee alitupatia uhuru wa KUCHAGUA. Niliofanya utafiti kwa kina na mpk uislam huko nishaenda niligundua huko hamna kitu. Bible is always perfect. Kama una kifungu huelew au hakielewek kinapishana na vingine nitajie hapa tujadili vizur nikuonyeshe how it is perfect
Kwa hio wewe una elimu kiliko warabu au waidlamu?
 
Wewe huna elimu kuwazidi waislamu
Chukua wakristo wote wa bara la Africa hawana elimu ya kuwazidi warabu.
Mfano mataifa ya bara la Africa yalio na elimu bora ni Kaskazi i mwa Africa na SA tena souyh Africa wenye elimu bora ni wazungu sio wazuru. Kenya, Uganda , Tanzania hstuwazidi wamisri, wamorroco? Walibya ? Watunisia, Wasudani kaskazini kielimu. Mbantu hajawahi mzidi mwarabu akili na haitakuja tokea mpaka mwisho wa dunia.
Nimejibu kiujumla.
Sauth africa kuna huo uhuni wa mud!?elimu magharibi imewasaidia wasauth kuukataa uhuni wa mud
 
Tuipongeze serikali yetu kwa kuwa makini katika kupambana na hiyo roho ya kuzimu!
 
Kwa hio wewe una elimu kiliko warabu au waidlamu?
Kama ni elimu kuhusu hio Quran Yao ambayo inahalalisha mauaji basi siwafikii au kama ni elimu ya Quran ambayo mengi yamefichwa wanajua wale nguli Tena ni ya ajabu sawa siwafikii. Ila elimu ya biblia hawanikuti hata robo. Kama elimu Dunia kama Wana degree na Mimi ninayi. Kma sijui masters na mengine tutayapata tu. Hamna walichonizidi mimi
 
Ndivyo Dunia ilivyo ,hao ndugu zenu katika Imaan ni shida sana wanapomkuta mtu ambae sio wa Imani Yao.

Ndio maana nasema mara zote ,tupambane kadiri inavyowezekana tusije ruhusu watu wapumbavu watuletee machafuko Kwa visingizio vya Demokrasia na ujinga kama huo.
ajabu yake, hao ni watu wa imani yao. hao wanaouawa wote ni waislam wenzao ila wanagombea maeneo ya kilimo na mifugo.
 
Huko kwenye dini nyingine kutakuwaje mkuu.
Dini pekee zinazoahidi maisha baada ya kifo ni 2, waislam na wakristo. Kwa wakristo wanaahidiwa kuimba na kucheza milele na milele. Yani hawatakua na kazi nyingi zaidi ya kuimba na kucheza huku waislam wanaume wameahidiwa mabikra wenye macho mazuri 72 na mito ya pombe. Ni mtombano wa kufa mtu huko mbinguni.
 
Back
Top Bottom