BEZO
JF-Expert Member
- Jul 15, 2023
- 1,770
- 4,449
Wewe umekuwa muwazi mkuu.Mimi nimezaliwa kwenye Uislam nikasoma madrasa tangu nikiwa na miaka mi-4 enzi hizo manazilul abraar … baadae nikasoma tena madras nyingine kama mbili nilipofika sekondari nikaanza ku-evaluate hii dini… NASEMA HIVII there is something wrong with Islamic religion.