Ajue wapi kiingereza huyo boya labda umwandikie kiarabu au kiswahili
Kujua kingereza ni ufahari na usomi ? Huko zambia wanapoongea kingereza kama lugha ya Taifa utasemaje ?
Kwa nini unaabudu kingereza ?
Kama wewe hujui kiarabu huoni kama ni mjinga wa hio lugha.
Kwako kingereza ndio kitu cha maana ? Kuna nchi wanaongea kifaransa vipi nao wakikucheka.
Kwa nini mnaendelea kuutukuza utumwa ? Kingereza ni lugha ya kitumwa, watumwa wote walikatazwa kuongea lugha zao za asili.
Acha kutukuza utumwa, ni kitu kibaya sana.
Hata anaetukuza kiarabu na kuacha lugha yake huyo ni mtumwa. Kingereza chenyewe mnachoongea ni broken na chenye lafudhi ya lugha za kienyeji .
Kujua kingereza kunakuongezea hela ? Yaani ukiongea siku nzima kingereza unapata hela ?
Achaneni na mambo ya kikoloni mnatia aibu. Mtu mzima unatukuza lugha ya mwanaume mwenzio.
Tabia za kutukuza wazungu zilikuwa kwa wazee wetu sasa naona mnarithi hio tabia wakati ukoloni uliisha isha.
Inakuwaje kijana ambae hujawakuta wakoloni utukuze ukoloni ?
Mie niliesoma kichina, kingereza, kiarabu , kiswahili na lugha za asili kadhaa nikuchikulieje wewe unaejua kingereza tu.
Je nikudharau kwa sababu najua lugha nyingi za mkoloni ?
Kuza lugha yako ya KISWAHILI, wenzio wanatumia kkngereza kama pato ka taifa lao halafu wewe unafurahia.