FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Wakuu angalieni kundi la Kiisilamu la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur Sudan.
Haya makundi ya kiisilamu hua hayana huruma na wanawake wala watoto?
View: https://twitter.com/abasmas/status/1740720706110038506?s=19
Wewe huelewi, kuna naadhi ya WaAfrika wenye asili yabkiarabu kidogo wanajiona wao ni bora kuliko hao weusi tii, hivy owanafanya systematic ethinic cleasing, ni coordinated Genocide, kufuta kabisa kizazi cha weusi tii huko Sudan. Ni ushetani kuliko ushetani wenyewe, hivi mwanamke na mtoto kweli umfanyie hivyo? Hao sio binadamu, i believe huwa wanaingiliwa mwili wao na mapepo