Graphics designer mpya wa Yanga ni tapeli, hajui kudesign wala kuedit

Kumbe hii pisi ilikuwa ni ya huyo bwana mdogo ?? Aisee kule kwenye Uzi wa Picha za warembo Jamaa alisemaga kwamba ameungua sasa sielewi hapo...... Mambo yao nawaachia wenyewe.
🀣🀣🀣
Aibu sana mbona humu tunajuana na Members kibao na namba za simu tunazo lakini hatuna ujinga kama huu, pisi ilibadilisha mpaka jina na yule mwamba sijui alikuja na I'd nyingine?
 
Kama sio utoto basi nafikiri hawakupata muda wa kutathmini madhara yake. Faragha ni jambo muhimu sana, unaona hata mshikaji hayupo huru kutoa maoni anaishia tu kusema "waachie wenyewe".
Mkuu hii ina leta shida kwa sababu huyu Ke alishawahi kuwa na njemba humu na walikuwa wana michezo hii baadae walivyozinguana ilikuwa ni aibu tu na bado hajifunzi aisee
 
hebu tuache na kutita yetu bwan πŸ˜‚
Hahaha.............ila najua msemo huu unatumika zaidi Pwani, huku Bara ni kama wanatumia hilo neno lingine zaidi 😜
 
Hahaha.............ila najua msemo huu unatumika zaidi Pwani, huku Bara ni kama wanatumia hilo neno lingine zaidi 😜
Kusini kwetu huku bwan ndo usiseme πŸ˜†
 
Kusini kwetu huku bwan ndo usiseme πŸ˜†
Nami Kwa mara ya kwanza nilisikia hilo neno nikiwa huko Kusini pia

Usiniambie upo wanapokula Chamaki NchangaπŸ˜œπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Nami Kwa mara ya kwanza nilisikia hilo neno nikiwa huko Kusini pia

Usiniambie upo wanapokula Chamaki NchangaπŸ˜œπŸƒπŸƒπŸƒ
Hapana sio,🀣🀣kusini kubwa bwan,, kamwene
 
Hapana sio,🀣🀣kusini kubwa bwan,, kamwene
Kumbe upo hiyo mitaa wanaokula Walinzi wetu sio πŸ˜…πŸ˜…

Nitapita Siku Moja uniandalie supu ya moto moto ninywe 😜
 
Kumbe upo hiyo mitaa wanaokula Walinzi wetu sio πŸ˜…πŸ˜…

Nitapita Siku Moja uniandalie supu ya moto moto ninywe 😜
🀣🀣🀣🀣 Lakini mimi sili kabisa
 
Yanga bingwa πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
 
Naona umeamua kunirusha roho Babu yako ninayeshabikia upande wa pili πŸ™†
Kumbe uko na shida nyingi kiasi hikiπŸ™†πŸ™†πŸ™†
Aaah wewe basi tena🀣🀣
 
Kumbe uko na shida nyingi kiasi hikiπŸ™†πŸ™†πŸ™†
Aaah wewe basi tena🀣🀣
Kuwa na imani na Wazee πŸ€—

Hivi ndiyo ulinambia nikikununulia jersey ya Simba utahamia kuishabikia eeh? 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…