Graphics designer mpya wa Yanga ni tapeli, hajui kudesign wala kuedit

Inasemekana zamani hakuwa hivi, sijui nini kilikukuta
🀣🀣🀣
Kanipa dislike huyo Ke wa jamaa na asivyojielewa huyu Binti huwa anajichoresha sana. National Anthem mpaka walikuwa wanatumiana picha za uchi na kwa mtindo huu huu wa kujifanya wana mention each other all the posts/comment. Ngoja waje wazinguane utaona watakavyoanza kuaibishana humu. Huyu binti alikuwa anaitana Mjomba Mjomba na National anthem kila post au reply. Walivyozinguana aisee mpaka aibu.

OKW BOBAN SUNZU
 
Dizain zinapendeza sana especially hizo za wanaumeeeeeeπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ–€πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ!

Watafuta kiki kupitia majina ya watu Poleni sana kwa kuteseka

Naona mnapata tabu saaaaaana πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’

Naomba huyo graphic designer anidizainie maneno yanayosema ;
Smart September Eleven the greaaaaaatttttttttt kiiiiiiingggggggπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Smart the Mwambaa Maestrooooooo πŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•Ί

Cc Smart911
 
Itapendeza sana sweetheart...
 
🀣🀣🀣
Kanipa dislike huyo Ke wa jamaa na asivyojielewa huyu Binti huwa anajichoresha sana. National Anthem mpaka walikuwa wanatumiana picha za uchi na kwa mtindo huu huu wa kujifanya wana mention each other all the posts/comment. Ngoja waje wazinguane utaona watakavyoanza kuaibishana humu. Huyu binti alikuwa anaitana Mjomba Mjomba na National anthem kila post au reply. Walivyozinguana aisee mpaka aibu.

OKW BOBAN SUNZU
Kama sio utoto basi nafikiri hawakupata muda wa kutathmini madhara yake. Faragha ni jambo muhimu sana, unaona hata mshikaji hayupo huru kutoa maoni anaishia tu kusema "waachie wenyewe".
 
Kumbe hii pisi ilikuwa ni ya huyo bwana mdogo ?? Aisee kule kwenye Uzi wa Picha za warembo Jamaa alisemaga kwamba ameungua sasa sielewi hapo...... Mambo yao nawaachia wenyewe.
 
Kama sio utoto basi nafikiri hawakupata muda wa kutathmini madhara yake. Faragha ni jambo muhimu sana, unaona hata mshikaji hayupo huru kutoa maoni anaishia tu kusema "waachie wenyewe".
Au anidizainie maandishi ya Smaaarttttttttt rrttttttttttttttt rrttttttttttπŸ’ƒπŸ•Ί!
In Zuchu voice πŸ’πŸ’πŸ˜

Dizain ya Yanga Iko vyedi sana mbona

Cc Smart911
 
Mkuu design poster nzuri then Post humu ama watumie watu wa kitengo cha habari na mawasiliano, Huwenda ukapata shavu ama ukarekebisha mahali.

Kulalamika sana itaonekana "UNAUTAKA"
 
🀣🀣🀣
Kanipa dislike huyo Ke wa jamaa na asivyojielewa huyu Binti huwa anajichoresha sana. National Anthem mpaka walikuwa wanatumiana picha za uchi na kwa mtindo huu huu wa kujifanya wana mention each other all the posts/comment. Ngoja waje wazinguane utaona watakavyoanza kuaibishana humu. Huyu binti alikuwa anaitana Mjomba Mjomba na National anthem kila post au reply. Walivyozinguana aisee mpaka aibu.

OKW BOBAN SUNZU
Ostadh na umbea wapi na wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom