Greatest Afcon XI, nani kasahaulika?

Greatest Afcon XI, nani kasahaulika?

Kuna wachezaji wamecheza hiyo Afcon mara nyingi tena kwa ufanisi na orodha haiwezi kuwa ndogo hivyo japo siwakatai hao walioorodheshwa hapo.

Wapo wachezaji kama akina Stephen Okechukwu Keshi, Segun Odegbami, Rashid Yekini, Austin Okocha, Daniel Amokachi (Nigeria); Hossam Hassan, Ahmed El Kas, Ayman Mansour, Gamal Abdel Himid, Ibrahim Youssef (Egypt); Kalusha Bwalya (Zambia); Alain Guamene, Joel Tiehi (Cote D'Ivoire); Thomas Nkono, Joseph Antoine Bell, Emmanuel Kunde, Francois Omam Biyik, Rogger Milla, Rigobert Song, Patrick Mboma (Cameroon); Radhi Jaidi (Tunisia); Raber Madjar, Norredin Kourichi (Algeria);
 
Wael Gomaa
Ahmed Hassan
Mohamed Abouterika

Hao watu watatu kukosekana kwenye hicho kikosi kinakuwa hakina maana hao watu watatu wanamakombe mengi ya Afcon kuliko hao wahuni wote waliowekwa hapo.
Yaani aboutrika anakosekanaje kwa mfano?
 
Yaani aboutrika anakosekanaje kwa mfano?
Nadhani aliyeandaa kikosi anakaubaguzi fulani hivi.

Wachezaji wote wa ndani ni weusi except Esam El Hadary.

Ahmed Hassan ndiyo mchezaji mwenye appearance nyingi zaidi kwenye Afcon akifuatiwa na Rigobert Song anakosekanaje.

Wael Gomaa ni beki bora sana kuwahi kutokea katika michuano ya Afcon halafu mtu kaweka wacheza sebene kina Toure ?
Hapo centre backs alipaswa kuwa Wael Gomaa na Rigobert Song halafu fullback ya kulia Joseph Yobo Hassan Hossny
 
Back
Top Bottom