Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
jamaa mzuri sema tu kujiangusha angusha tuHata sub haingii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa mzuri sema tu kujiangusha angusha tuHata sub haingii
Yaani aboutrika anakosekanaje kwa mfano?Wael Gomaa
Ahmed Hassan
Mohamed Abouterika
Hao watu watatu kukosekana kwenye hicho kikosi kinakuwa hakina maana hao watu watatu wanamakombe mengi ya Afcon kuliko hao wahuni wote waliowekwa hapo.
Nadhani aliyeandaa kikosi anakaubaguzi fulani hivi.Yaani aboutrika anakosekanaje kwa mfano?
Hivi Sunguruma yupo wapi sikuhizi?Given Singuruma ( Zambia), Emmanuel Adebayor