Upo sahihi; niliposema "nafasi" sikumaanisha "kada fulani" bali "specific sections"! Kwa mfano, unaweza kuingia hata jeshini lakini unaweza kuwa restricted kwenye baadhi ya nafasi ambazo ni very sensitive! Unajua mtu hata kama upo nchi kwako kabisa, kuna baadhi ya nafasi ni lazima wakuchunguze sana!!Safi sana mkuu. Umetoa details za kutosha. Nimejifunza mengi.
Ila hata baadhi ya nafasi za usalama wanachukua hasa za jeshi. Kigezo uwe na green card au uraia na uwe chini ya miaka 35. Kama umri umezidi 35 na si zaidi ya 37 ni hadi uombewe kibali maalum. Wao jeshi linaajiri kila siku.
Green kadi ya kufanya nini? Ni kadi ya benki?Sikuwa naamini Kuhusu Green card ila sasa nimeamini kweli kuna jamaa yangu mwalimu kapata yupo nyarugusu uko anaondoka Na familia yake Mungu kweli humpa anayemtaka
na ukipata hiyo hati ya uraia wanakulipia ada ya kusafiri kwenda huko marekani? na vipi ukifika accomodation za maisha wanakup au unashinda uraia tu alafu unaubeba msaraba wako
Unadhani wewe kama nani? Aseme ni kadi ya chama gani hiyo?Kundi la kigaidi tena!? Hii nadhan ni special visa ya kuzama USA
Hiyo sheria ina uzuri wake na ubaya wake! Wapo wengi tu wana-apply lakini wakipata wanashindwa hata kuwa na passport; matokeo yake wanakuwa wamezibia watu! Ndo maana hilo la passport, siku hizi ni lazima uwe na passport ndo unaweza ku-apply!!Hapo ndo utaona namna beberu anavyotaka kuwafanya binadamu kutoka ulimwengu wa tatu kuwa watumwa wa kifikra.....
Kule wanakofuga watu ndani kama mbwa?Green card lottery hiyo mazee bahati nasibu ya kuingia kwa Joe Biden.
Kama suala ni ajira, ni simple tu, piga marufuku bidhaa za China zinazoweza kuzalishwa Tanzania, mfano furniture, hicho kipengele kimoja tu, kitazalisha ajira kwa maelfu kwa maelfu ya vijanaUnajilipia mwenyewe...
Kawaida green card wanashinda watu wenye kada zao za kazi, elimu, kipaji, n.k na sio hohehae tu, sababu ukifanikiwa kupita hatua zote unatarajiwa kuomba kazi huko kwao na kupata haki zote za kuishi kama raia...
Hapo ndo utaona namna beberu anavyotaka kuwafanya binadamu kutoka ulimwengu wa tatu kuwa watumwa wa kifikra.....
Ninachoona beberu analenga kufanya aina ya ustaarabu wa maisha watu wote wa daraja la juu kuishi kwenye ulimwengu wa kwanza, huku kwengine kubaki kuwa mashenzini wabaki wale watu anaowaona hawana value yoyote.......ambao anakuwa hana time nao.Hiyo sheria ina uzuri wake na ubaya wake! Wapo wengi tu wana-apply lakini wakipata wanashindwa hata kuwa na passport; matokeo yake wanakuwa wamezibia watu! Ndo maana hilo la passport, siku hizi ni lazima uwe na passport ndo unaweza ku-apply!!
Kama suala ni ajira, ni simple tu, piga marufuku bidhaa za China zinazoweza kuzalishwa Tanzania, mfano furniture, hicho kipengele kimoja tu, kitazalisha ajira kwa maelfu kwa maelfu ya vijana
Huu ni mfano mmoja, ipo mingi tu tunapopoteza ajiraMitumba tu Magu alishindwa kuipiga marufuku akisema hizo ni ajira za wanyongeeeeee.
Ahsante kwa ufafanuzi wa zipcodekuhusu application pita hapaUnajaza vipi wakati bado?! Au unazungumzia siku za nyuma?! Anyway, Google "Tanzania Zip Codes" na utakuta document ya TCRA ambayo imetaja zip code ya kila eneo. Ukiona hiyo doc, anza kutafuta mkoa wako, kisha wilaya yako, halafu kata yako, na hatimae utaona zip code ya eneo lako!
Acha bangi!Mkuu hivi hakuna uwezo wa mtu kuomba mara nyingi kwa wakati mmoja kwa kubadilisha badilisha majina kweli.
Kama Draft tu MkuuAfu mtujuze jinsi ya kucheza
Kwa jins gharama za hlo jiji zilivo juu nakwambia hzo 120m kwa mwaka si chochote hapo ukikatwa kodi tu lazma udate.Nataka nikaishi nyuu yokuuuuu NY
View attachment 1926659
Mtu anaeingiza 120m TZS kwa mwaka hapa Tz huko nyuu yokuu ni kapuku tu
View attachment 1926661
Kabla ya kupiga marufuku tujiulize je hzo bidhaa zna ubora kama hzo za China?? Na vp kuhusu bei? Afu unawezaje kumpiga stop boss wako assiingize mzigo akat unamtegemea yy akukopeshe hela, akuletee technology,,n.kKama suala ni ajira, ni simple tu, piga marufuku bidhaa za China zinazoweza kuzalishwa Tanzania, mfano furniture, hicho kipengele kimoja tu, kitazalisha ajira kwa maelfu kwa maelfu ya vijana
Kweli kabisa mkuu na lazima pia uwe na mtu ambaye amekubali 'kukuhost' na wahakiki ana uwezo wa kuwa nawe ukiwa unatafuta kazi.Ila hii kitu inatakiwa hata kwenye bank account yako uwe na hata Milioni 30 ... maana gharama za kusafiri hadi states na kujua utalala wapi utakula wapi ni juu yako. So hapo unatakiwa uwe na balance ambayo itakutosha walau miezi mitatu kule US wakati unaendelea kutafuta kazi.
But kwa US kwa watu walisoma kidogo vikazi vipo aisee sio kama huku Bongo.
Kupewa tu Uraia wa US inatosha sana. Wakulipie hivyo vyote wewe kama nani?na ukipata hiyo hati ya uraia wanakulipia ada ya kusafiri kwenda huko marekani? na vipi ukifika accomodation za maisha wanakup au unashinda uraia tu alafu unaubeba msaraba wako
Mbona povu mzee.?Ukisha ingia what next? ni upumbavu tu wanaoufanya Wazangu ili muone kwao ni maana kiliko kwenu na huo ni utahira.
Visa lottery I iko vizur sanaAhsante kwa ufafanuzi wa zipcodekuhusu application pita hapa
Official Diversity Visa Program | Online application
Electronic DV Lottery online application form by DVLottery.com - Learn more about advantages, requirements and the application process of the U.S. Diversity Visa Immigrant Visa Program!www.dvlottery.com