Green Card kumbe ni kweli aisee tucheze hii kitu

ipo sana, tena kwa wakuu wa mabeberu ndiyo noma.
 
Yaani kwa madaktari na wauguzi ndio penyewe. Hao hata green card hawahitaji.
Mshahara mnono Sana kiasi kwamba kwa miezi sita mtu anagonga M100.

Connection zipo lakini watanzania hawasaidiki.


Angalia hapo huo ni malipo ya midwife kwa saa. Na hilo bango ni la juzi. View attachment 1927828
 
Yaani kuna watu wamezaliwa NYC bado ni Homeless na msosi ni shida na lugha yao anaijua kwa 100%. Mimi na ze zez eee zee zis is naenda kutafuta nini huko? bora nitesekee kwetu Chanika.
Hata hapa Bongo unajua Kiswahili kwa 100% lakini bado una njaa kali tu. Maisha popote usikariri. Ukiwa mpambanaji hakuna sehemu utashindwa kuishi katika dunia hii. Ndio maana Indians wanakuja hapa hawana kitu ila baada ya muda wanakuwa matajiri, do you know why? Ni wapambanaji!
 
Yaani kuna watu wamezaliwa NYC bado ni Homeless na msosi ni shida na lugha yao anaijua kwa 100%. Mimi na ze zez eee zee zis is naenda kutafuta nini huko? bora nitesekee kwetu Chanika.
Una akili za kimasikini sana kwani Tz hakuna homeless,maisha ni kupambana
 
Mwaka huu lazima nijaribu bahati yangu ya kwenda kwa Biden sikubali kupitwa wallah I wi try my luck oooh. Wana JF mniombee please nibahatike na mimi
 
Yaani kuna watu wamezaliwa NYC bado ni Homeless na msosi ni shida na lugha yao anaijua kwa 100%. Mimi na ze zez eee zee zis is naenda kutafuta nini huko? bora nitesekee kwetu Chanika.
[emoji23][emoji23][emoji23] don't be negative oooh
 
Mwakaa huu isha chezwa!?

2021 Entrant Status Check​

DV-2021 Entrants have until September 30, 2021 to check the status of their entry through this website. The DV-2021 registration period was from October 2, 2019, until November 5, 2019.

2022 Entrant Status Check​

DV-2022 Entrants may enter their confirmation information through the link below starting at noon (EDT) on May 8, 2021. The DV-2022 registration period opens on October 7, 2020, and closes on November 10, 2020. DV-2022 Entrants should keep their confirmation number until at least September 30, 2022.

 
Sikuwa naamini Kuhusu Green card ila sasa nimeamini kweli kuna jamaa yangu mwalimu kapata yupo nyarugusu uko anaondoka Na familia yake Mungu kweli humpa anayemtaka
huyo nduguyo kacheza ya mwaka gani na matokeo kayapata lini?
 
Nchi yetu ni nzuri sana, wazungu huwa wanatamani sana kubaki Africa. Sema tu mambo ya Visa na work permit huwa ni kikwazo kwao. Serikali zetu zingeondoa Visa na Work permit wangejaa sana hapa Bongo. Kuna makampuni mengi huwa yanawafanyakazi wa kigeni frustration zao ni pale work permit zinapoisha na kutakiwa kuondoka nchini. Nimekutana nao wengi na ninafahamu hili.
 
Mimi nikipata kambi popote tu mkuu
Tafuta pesa tu, hata Mbagala utaiona kama New York, kuna wajuba kibao wapo Tz, huko New York wanaenda kama wewe unavyokwenda mkoani na kurudi. Hakuna kitu kimewafanya wasirudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…