Green Card kumbe ni kweli aisee tucheze hii kitu

hivi yule dogo aliyepigwa ban kuingia US vipi amisamehewa au ndo imitoka?
 
Mwaka huu lazima nijaribu bahati yangu ya kwenda kwa Biden sikubali kupitwa wallah I wi try my luck oooh. Wana JF mniombee please nibahatike na mimi
vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Sawa ngoja tujiandae
 
Mwaka huu lazima nijaribu bahati yangu ya kwenda kwa Biden sikubali kupitwa wallah I wi try my luck oooh. Wana JF mniombee please nibahatike na mimi
I wish you all the best, tena nitakukumbusha!! But kuanzia mwaka jana ni lazima uwe na passport! Kama unayo, well and good, kama huna, anza na issue ya passport mapema!
 
I wish you all the best, tena nitakukumbusha!! But kuanzia mwaka jana ni lazima uwe na passport! Kama unayo, well and good, kama huna, anza na issue ya passport mapema!
unikumbushe pia mtaalam 🙏🏾
 
Nilikiwa najirani watatu walifanikiwa enzi zile kuishi USA kwa green card.. Ilisitishwa nafikili Baiden kairudisha..
 
Hivi hii kitu Trump si alitupiga pin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…