KASULI
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 599
- 677
Shida kuipataa greencard ni zaidi ya VitaMkuu imezungumziwa mara nyingi mno mkuu ndani ya Jamii Forum..ni kuwa na Greencard.Tafuta mada hizo kuna maelezo mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida kuipataa greencard ni zaidi ya VitaMkuu imezungumziwa mara nyingi mno mkuu ndani ya Jamii Forum..ni kuwa na Greencard.Tafuta mada hizo kuna maelezo mengi.
Aseeee,Kavulata: Unajua unachokisema au umekaririshwa? Niko Marekani, sikuja kwa kufungwa mnyororo,na hata nikitaka kuondoka hakuna kamba iliyonifunga.
Ushauri kila siku kwa vijana wa kitanzania, kama unaona opportunities zimebana Tanzania jaribu popote, nina mifano mingi mno, na nimeona kwa watu toka mataifa mbali mbali niliokutana nao US!
Ukiwa na focus, na documents halali na yote unayoyasikia kuhusu Marekani, ni mahali unaweza kufikisha ndoto zako, sisemi ni rahisi, lakini kuna nyenzo ambazo hupati katika nchi nyingi za Kiafrica.
Sijahonga au kumuona yoyote watoto wangu kupata mikopo ya vyuo vyao, sikuwa na connection zozote zile watoto wangu kupata white color jobs! In short mtoto wangu alikuwa recruited akiwa bado chuoni, na leo akiwa na miaka24 is making almost $ 85,000/ Wenzake aliowaacha bongo waliomaliza chuo wanasaka ajira!
Sasa sijui ni utumwa wa aina gani huo!
Ni kweli Marekani/ Canada zinataka nguvu kazi, lakini ukiingia huku ni juhudi zako na akili yako! Wengine wataenda juu, na wengine chini, sawasawa na wazawa! Anayenifyekea majani nyumbani kwangu ni mzungu! Maana sina muda! Na kila baada ya wiki mbili au tatu ananipigia simu kama yameota aje kufyeka! Na ameniambia ni fundi katika serikali yetu ya mtaa anatafuta pesa ya ziada! Hii ndio Marekani, simdharau najua anachotafuta!
Hivyo usikaririshwe na akina Lumumba.
Hulazimishwi ni akili yako tu! Wengine wanatumia hapo bongo wanatoka! Wengine mambo yanakataa! Maisha popote pale!
mkuu una hatari kubwa sana, nitakutembelea hapo nione how you are leading your life kiasi cha kuona kuishi tanzania ni upuuzi mtupu kwakuwa hakuna umeme, maji wala hewa ya oxygen. Yaani unaona maisha bila kuishi Marekani hayawezekani kabisa. Ninawasihi vijana tena na tena na tena kuwa ni wahamiaji wachache sana wanaofanikiwa kule Marekani, majority wanaishia pabaya sana na kufanya donkey jobs ambazo hata huku zinakutoa na zina heshima. Mwenye afadhali ni yule mwenye ujuzi unaohitajika kule baasi, unemployment rate is very high na viwango vya uhalifu viko juu sana, wenye rangi nyeusi wengi wako magrezani believe me. Huyu jamaa hayuko Marekani amehadithiwa tu habari za Marekani, is a layer. Tatizo kubwa la Marekani ni ukosefu wa ajira baada ya viwanda vingi kuhamishiwa Asia kupunguza cost of production (gharana za uzalishaji kuwa kubwa) baada ya watumwa kudai haki zao na malipo makubwa ya kazi na masaa. Hii tabia ya ushoga kule haikuja hivihivi tu kijingajinga bali maisha magumu yaliwalazimisha kuhalalisha tabia hiyo. Asikudanyange mtu, ukiona deal is so good think twice. Kama huna elimu inayohitajika kule usiende kuishi kule badala yake tembea tu kisha urudi, nenda kasome kisha urudi.Mkuu sasa naona ni ubishi wa kitoto, na sioni hata chembe ya kuhabarishana, naishi Texas, siku ukipata nafasi karibu, nimekupa experience yangu! Nimetembelewa na ndugu zangu na marafiki zangu, sio mara moja wala mbili,wako wanaotaka kurudi,lakini kila leo nawaambia Marekani inataka legal papers, focus na determination! Kwaheri mkuu.
I doubt about your cleanness and integrity, sisi tupo huku na Mungu anatupa mkate wetu wa kila siku, tuna amani ya moyo. Naweza kujiuliza ni kwa namna gani nijute eti kwasababu siishi Marekani, utahitaji akili fulani kufanya hivyo, yaani ndoto yako ni kuona vijana wote wanahamia Marekani na kuikimbia nchi yao.Labda kwa kuongezea, inaonekana labda umeishi Marekani, maana unazungumzia Detroit na Chicago na experience za malaya, kwa kufupi tu ukiingia ulimwengu huo, uwe Tanzania au popote hutoka, na Marekani panapohitaji kujitambua utakuwa umejimaliza mwenyewe.
Kama Marekani ilikukataa,maana umekiri ina elimu nzuri! Inawezekana hukumaliza kwa kukosa karatasi na ukarudi Tanzania, this is just my assumption,pole sana!, nawafahamu watu wengi wa namna hiyo, walichokosa Marekani kimewafanya kuwa bitter and negative, ni maisha mkuu, nawajua baadhi walikuja Marekani with optimism, wakokosa karatasi, watoto wao waka kosa elimu na kurudi Tanzania frustrated, kama haikua ridhiki kwako, kwa wengine imekuwa,hata hapo Tanzania wako wanaokosa na kupata! Kama una imani ya dini niseme ni mipango ya Mwenyezi Mungu, ndio mtoa ridhiki mkuu!
Kwaheri, karibu Texas!
Hivi Kuvulata unasoma notes nini? Maana ni kama mtu aliyeko Marekani anaposoma notes za poverty ya Africa, nimesoma development economics, najua kutumia data ziseme nachotaka kusema!mkuu una hatari kubwa sana, nitakutembelea hapo nione how you are leading your life kiasi cha kuona kuishi tanzania ni upuuzi mtupu kwakuwa hakuna umeme, maji wala hewa ya oxygen. Yaani unaona maisha bila kuishi Marekani hayawezekani kabisa. Ninawasihi vijana tena na tena na tena kuwa ni wahamiaji wachache sana wanaofanikiwa kule Marekani, majority wanaishia pabaya sana na kufanya donkey jobs ambazo hata huku zinakutoa na zina heshima. Mwenye afadhali ni yule mwenye ujuzi unaohitajika kule baasi, unemployment rate is very high na viwango vya uhalifu viko juu sana, wenye rangi nyeusi wengi wako magrezani believe me. Huyu jamaa hayuko Marekani amehadithiwa tu habari za Marekani, is a layer. Tatizo kubwa la Marekani ni ukosefu wa ajira baada ya viwanda vingi kuhamishiwa Asia kupunguza cost of production (gharana za uzalishaji kuwa kubwa) baada ya watumwa kudai haki zao na malipo makubwa ya kazi na masaa. Hii tabia ya ushoga kule haikuja hivihivi tu kijingajinga bali maisha magumu yaliwalazimisha kuhalalisha tabia hiyo. Asikudanyange mtu, ukiona deal is so good think twice. Kama huna elimu inayohitajika kule usiende kuishi kule badala yake tembea tu kisha urudi, nenda kasome kisha urudi.
uko mtaa wa mkunguni halafu unasema uko marekani
Huo ndio umanamba mamboleo, brainwashed, Sio vibaya kuishi Marekani kama mkimbizi lakini ni vizuri zaidi kuishi kwenye taifa lako mkitafuta majibu ya matatizo ya jamii yenu. Yaani wewe unatamani usikie Elon Musk ameinunua Tanzania kwa bei ya kutupwa.Hivi Kuvulata unasoma notes nini? Maana ni kama mtu aliyeko Marekani anaposoma notes za poverty ya Africa, nimesoma development economics, najua kutumia data ziseme nachotaka kusema!
Anyway kwa kukutarifu niliingia Marekani kwa Greencard, na nimechukua uraia wa Marekani kwa hiari yangu! Sikulazimishwa!
Siku ya kuapishwa kuwa raia, ofisi zilifunguliwa asubuhi na kufungwa jioni,kulikukuwa na makundi makubwa mno ya watu! Cha ajabu waafrika tulikuwa sana! Maybe 2% Mchanganyiko toka nchi mbali mbali,Brazil, China,Korea, India, Mexico...Ulaya nk! Nchi ambazo hawajawahi hata kuchukuliwa manamba! Hivi hao wote ni wapuuzi!
Na kwa taarifa tu,ukisikia illegal immigrants,Waafrika ni aslimia ndogo kabisa! Na hata number ya legal immigrants toka Africa, number yetu ni ndogo mno!
Watu wanatoka sehemu mbali mbali za dunia kuingia US! Wenye pesa kuja kuweka investments zao, na wengine kutafuta wanachokitafuta!
Kijana wangu marafiki zake chuoni walikua toka Italy, Korea na India, wako IBM,Google! Wote ni wahamiaji!
Walimaliza University hata hawakusubiri ajira!
Kama huo ndio umanamba,watched wawe manamba!
Hiyo ni driving license na card yangu ya Kruger, sijui kama ziko Mkungini!
Hayo ni mawazo yako...lakini kuna mahali ulisema unajenga nchi! I hope unajenga kweli, maana tunawajua mno wanaotafuna nchi! Huwa tunawaona wanapokuja kufanya shopping huku!Huo ndio umanamba mamboleo, brainwashed, Sio vibaya kuishi Marekani kama mkimbizi lakini ni vizuri zaidi kuishi kwenye taifa lako mkitafuta majibu ya matatizo ya jamii yenu. Yaani wewe unatamani usikie Elon Musk ameinunua Tanzania kwa bei ya kutupwa.
Sijaja Marekani kama mkimbizi! Nimekuja kufuata ndoto zangu ambazo siwezi kuzipta Tanzania!Huo ndio umanamba mamboleo, brainwashed, Sio vibaya kuishi Marekani kama mkimbizi lakini ni vizuri zaidi kuishi kwenye taifa lako mkitafuta majibu ya matatizo ya jamii yenu. Yaani wewe unatamani usikie Elon Musk ameinunua Tanzania kwa bei ya kutupwa.
Ulisema mwenyewe labda niko Mkunguni mkuu1Hata mimi mbona ninazo kadi za membership wa Walmart na TCF Bank? hii haimaanishi kitu kikubwa sana.
Nikuonyesha to prove you wrong! Siku Mkunguni kama unavyodai!Hata mimi mbona ninazo kadi za membership wa Walmart na TCF Bank? hii haimaanishi kitu kikubwa sana.
Na sijema ni kitu kikubwa ndugu yangu@ Usiniwekee maneno!Hata mimi mbona ninazo kadi za membership wa Walmart na TCF Bank? hii haimaanishi kitu kikubwa sana.
Chief huwez kujifunza lolote ukiwa mazingira yale yale na watu wale wale. Ndio maana nikasema ingekuwa ni uwezo wangu ningewatoa watanzania waende huko nje hawatarud watupu kuna kitu kitabadilika. We umesemea watu waliochoka tu lakin kuna wengine wameenda na wamekuja na mawazo mapya. Kuhusu utumwa upo popote hata bongo upo ila huwez kuuona coz sio eneo lako. Hiv unajua uchumi wetu hapa bongo unamilikiwa na wahind na Waarabu? Wenyeji wamebaki kuongea tu hawana habar na ulimwengu unavyokwenda. Leo hii wasomali na ukorofi wao cku wakirud kwao wakikaa kwa aman wanatupita. Kisa ninini wengi sana wanajua how things work coz tayar wana exposure ya kutosha.Kichwani ni fikra za kitumwa, unafikiria kuwa wazungu walianza kwa magorofa marefu kama ya pale Chicago, Hebu niambie namna ushoga ulivyoanza hapo. Niambie ni watu wangapi wanashindwa kwenda gym kwa kukosa fedha
Nina wasiwasi wewe nilishakuona pale Detroit kwenye majumba ya bei rahisi yaliyohamwa baada ya viwanda kufa na vingine kuhamishiwa Asia na wazungu wengi kukimbia. Mji mchafu na wenye vibaka wengi kama kwamtogole. Kaka acha kuwaamisha vijana kwamba Marekani hakuna maskini, hakuna wanaoshindwa kumsomesha mtoto wake, hakuna anashindwa gharama za matibabu, hakuna ombaomba, hakuna wanaolala kwenye magari yao au night club kwa kukosa nyumba, hakuna Malaya wa kutupwa wanaojiiza. Kaka unaharibu kuchora picha kubwa sana na mbao iliyopakwa dhahabu nje. Sio kweli vijana bakini nyumbani. Marekani ni kuzuri kwa kusoma TU na kurudi nyumbani kwakuwa Kuna shule nyingi zenye walimu wazuri.
hahaha! sio mimi! lakini nitakuwa wa mwisho kuikimbia nchi yangu, I can not let my country go to the dogs just because of greener pastures.Hayo ni mawazo yako...lakini kuna mahali ulisema unajenga nchi! I hope unajenga kweli, maana tunawajua mno wanaotafuna nchi! Huwa tunawaona wanapokuja kufanya shopping huku!
Hakuna umanamba kama kuwa chawa wa ccm!Wakoloni walitusafirisha kwa majahazi kama watumwa kwenda kwao kuwafanyia kazi bure (manamba) kwenye mashamba, viwanda na majumbani kwao, history mbaya sana hii kukumbukwa, maana sio tu kwenda kuwafanyia kazi wazungu bure lakini wengi wao walikufa njiani wakati wakisafirishwa kwa kutoswa majini, msongamano mkubwa, njaa na ugonjwa njiani.
LEO hii sababu zilezile na manamba ndio hizihizi sa Green card lottery, Jamani hali hii ni mpaka lini? what are you looking for?
Hii ni kujitafutia balaa wewe mwenyewe na familia yako kwa matumaini feki kabisa huku ukijua kuwa utakwenda kule kufanyakazi kubwa na nyingi sana ili upate chochote kitu wakti nguvu, juhudi na akili hizo ungeweza kuziwekeza hapahapa nchini kwako na kupata mafanikio makubwa sana ya ajabu.
Si shauri uombe hiyo nyambafu