cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
kavulata said:
Nchi ambayo hata wanaume wanaolewa, ndio hizo fursa unazozisema? Nenda ukaangalie kule kwenye magereza yao ukaone ni akina nani wamefungwa humo?
Hivi magereza ya Tanzania ni nani wamefungwa humo? Unajua wanayofanyiana! Na inanihusu nini mimi, I'm not a criminal, hivyo sitegemei kwenda Magerezani!
Na unaongelea sana mambo ya Ushoga! Hilo ni swala binafsi kabisa! Mwanaume akiolewa, Mwanamke akioa inahusiana vipi na maisha yangu binafsi! Mambo yanayofanyika nyumbani mwa watu yanahusianaje na maisha yangu!
Unajua mambo wanayofanyiana hata wana ndoa Tanzania katika faragha zao! Zinaathiri wewe kuamka asubuhi na kwenda kutafuta maisha!