Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Green card lottery ni Umanamba mamboleo

Ni utumwa uleule, tofauti ni kwamba Sasa hivi watumwa hawapewi chakula, malazi, mavazi wala kulipiwa gharama za taka, maji, umeme na matibabu, wanapewa fedha mkononi ili wajilipie wenyewe. Lakini Baada ya kupewa hela hizi huwa wanajibana na kula vitu vya hovyo ( jack foods), kulala sehemu za hovyo(cheap) na kuvaa midabwada ili kubakiza fedha hizo unazosema wanazipata.
Pole mkuu !

Ulisharudi bongo kwani?

Kwahiyo wewe unadhani ni kila mtu anatumia junk foods hizo kila siku na kulala sehemu ya hovyo?

Yawezekana ulikuwa deported wewe.
 
Nimeenda nikiwa kijana na nimerudi nikiwa kijana, kwangu mimi Tanzania na watanzania ilikuwa kipaumbele changu. Nilipembelezwa kubaki lakini sikuwa na amani moyoni. Kwanini niwape tips wazungu badala ya kuwapa dada zangu Afrika? Nilipiga hesabu nyingi sana hadi nikagundua kuwa watanzania hawana nidhamu ya kazi na muda wakiwa Tanzania ndiyo maana wanakimbilia kwenda kuswagwa huko nchi za watu. Maana ukiwa Marekani kufanyakazi is all or none, na usipofanyakazi inavyopaswa huli, hulali na hutibiwi. Kula, kulala, kutibiwa na kulipa madeni uliyokopa ndiyo driving force (wheep) ya kumfanya kila mtu kule afanyekazi iliyotukuka la sivyo ana perish.

Juzi nilikwenda kijijini kwetu na rafiki yangu mvivu, akashangaa nakamata mbuzi bandani kwangu na kumchinja tule na kunywa, akanisifu kupitiliza kuona Mimi ninao mbuzi 60 bandani. Uvivu tu
Oh unasema ulienda ukiwa kijana kwanini hukwenda Somalia na badala yake ukaja US?

Aya ya mwisho imeeleza ukweli kuwa wewe literally ni mvivu ukaona huku hakuna biashara ya shangazi sijui nitaenda kulowea kwa mjomba ndio maana ukaona ugumu.

Na kwa mentality hizo ndio maana mnawafilisi wenzenu unakuta mtu akijanza kuchomoza kiuchumi anarudishwa nyuma sana anaelemewa na mizigo hata isiyomuhusu huo sio ukarimu ni ujinga unakuta affairs za wajomba na watoto wao unaamgushiwa wewe hiyo haipaswi kuwa hivyo na ndio maana unakuta mtu anarundikiwa ndugu kibao wanavuruga utaratibu wake mzima wa bajeti sikatai kusaidia ndugu ila iwepo mipaka , Africa hakuna mipaka chomoka tu kidogo uone.
 
Jidanganye TU, lakini wanakuona mwizi kwa kutumia rangi yako ya ngozi TU. Kuna baadhi ya maduka hawakuruhusu kuingia kwa kudhani unaenda kuomba au kuiba hata kama unazo hela. Kama nadanganya niite mbwa.
 
Kwani umelazimishwa? Hutaki acha! Sio lazima! Baki nyumbani kwenu huko tulia! Dunia haina mipaka ya kusema kwamba ni lazima uishi tu sehemu moja kama mti..kila mtu na mtazamo wake...wewe kama unaona Green card lottery ni ujinga ni kwako tu na mtazamo wako.. Usipangie watu maisha na makazi ya kuishi...Mungu alipotuumba alisema "Enendeni ulimwenguni kote mkaijaze Dunia" hakusema tubaki sehemu moja kama Mti, jiwe au jabali.
Hutaki green card Achaaaaaa!!!!! Hulazimishwi!!!! Kila mtu aishi anapo penda
Over!
Ni sawa, Uzi huu sio kwaajili ya nyinyi ambao tayari mko huko tayari manamba, bali ni kwa wale vijana ambao wanadanganywa kuwa mambo huko ng'ambo ni tambalale. Green card ni njia ya kisasa ya kupata watumwa, lakini safari hii wameachana na Ile style ya zero grazing ya kuwapa bure chakula, malazi, mavazi na matibabu watumwa wao, badala yake wanatumia style ya free range, yaani wanakupa posho na fedha zile walizokuwa wanazitumia kukupa chakula, makazi, mavazi na matibabu ujihudumie. Mtumwa akishapewa fedha yake hiyo atajisifu sana kuwa Huku Kuna pesa sana njooni, kumbe hela Ile ilikuwa ya kula, kulala kuvaa na matumizi ya matibabu na kulipa madeni atakayokopeshwa.

Kuna green card na kazi za wahindi, Waafrika, Amerika kusini, waasia na Wazungu kule. Umanamba una grade zake pia.
 
Wewe Ukikaa Tanzania inatosha.

Acha kupangia watu maisha.
 
Kilichonifanya nirudi ni hiki hapa, kuunga juhudi. Walichukuliwa kama watumwa na wanachukuliwa kwa green card.

View: https://www.youtube.com/watch?v=yjLC2GSZyio

Ndio kwanza nimeamka nakutana na pumba kama hizi.

Yaani unafanya cherry picking halafu unaona ndio jumuisho la vyote?

Kuanzia mwwnzo tu wewe umeonyesha ni mvivu , maisha ya nchi kama US kwa mtu mvivu hayamfai wewe ulikuja na mentality zile za "si mjomba yupo , si mama mdogo yupo.."

Huku hakuna hizo nadhani ndio maana ukaishia kupata msongo wa mawazo na kurudi ambayo pia inanipa shaka sana nadhani ulikuwa deported.

Kingine mimi kwa pesa nilizopata kwa hapa tangu nije na tena kwa njia ya halali kabisa na ni mlipa kodi mzuri tu sina record chafu yoyote kikodi ninajiuliza kwa bongo ingenichukua miaka mingapi kuzipata huku nikiwa mkwepa kodi.

Hebu angalia Tanzania maji shida , watu wanawekwa gizani masaa 12 + biashara zinadorora watu wanakamuliwa kodi hazijulikani zinaenda wapi , viongozi wanaishi kifalme magari ya bei mbaya wananchi wanatimuliwa vumbi viongozi wamepiga vioo full tu wananchi wanapunga mikono.

Ni ajabu nchi ina uhuru miaka 60+ hata wanafunzi bado wanakaa chini , watu wanafundishwa sijui kilimo cha mpunga Burma ina tija gani hii why wasiweke centers halisi za kilimo kila mkoa matokeo yake anaibuka mjanja mmoja analeta utapeli anauita BBT huku akichannel pesa za umma mfukoni kwake na hamumfanyi kitu.

Viongozi wanavurunda na wanaiba badala wawekwe pembeni na kufunguliwa mashitaka wanaishia kuhamishwa tu ofisi moja kwenda nyingine huku wajinga wanashangilia.

Karibu tena duniani , usiogope kujisahihisha . US ni mahali ambapo you can become anyone kama utafanya kazi kwa bidii na kufuata sheria.

Get rich or die tryin'
 
Watz tuna akili dumazi sana. Mi ingekuwa ni uwezo wangu ningewatoa watanzania waende huko mbele angalau mwaka mmoja watz wanatakiwa wapate exposure ni wajinga mno huwez kuendelea bila kutoka ukajifunze mapya.
Sio kutoka TU kunaleta maendeleo bali utoke na kurudi exposure pamoja na mtaji wa maendeleo. Hao hao mnaowaona wameendelea huko walitoka kwenye nchi zao wakarudi kwao na watumwa, pembe za ndovu na faru, Dhahabu na almasi za bure, mbao, pamba, na kahawa za bure wakavitumia kupata mitaji na maendeleo ya chakula, viwanda, elimu na afya. Sasa hivi bado wanaendelea kupata manamba kwa njia za kisasa, maligjafi, na masoko, madini kutoka nje ya bara lao.

Utumwa ni uleule ila safari hii umewekewa chambo (wanakupa mkononi posho ya chakula, matibabu, malazi, na fedha kidogo ya kujikimu) ili wanase kwenye ulimbo; uwende mwenyewe kwao. Yaani wanatengeneza hali mbaya kwenye mabara mengine ili vijana wasomi na wenye nguvu (nguvu kazi) wahamie kwao kutafuta nafuu (Greener pastures). Posho hizi za kujikimu wanazopewa ndo vijana wetu wanazotamba nazo na kuwakoga wenzao walioko Tanzania na Afrika.
 
Ni utumwa uleule, tofauti ni kwamba Sasa hivi watumwa hawapewi chakula, malazi, mavazi wala kulipiwa gharama za taka, maji, umeme na matibabu, wanapewa fedha mkononi ili wajilipie wenyewe. Lakini Baada ya kupewa hela hizi huwa wanajibana na kula vitu vya hovyo ( jack foods), kulala sehemu za hovyo(cheap) na kuvaa midabwada ili kubakiza fedha hizo unazosema wanazipata.
[emoji23][emoji23]midabwada tena
 
[emoji23][emoji23]midabwada tena
Hata ungesema na kufanya nini you're a cheap labor in Western model of economic. Black is the lowest class in Western civilization. I know you know this, no doubt about this. Na kama uko uko kweli nafahamu tayari umeshaonja kubaguliwa kutokana na rangi ya ngozi au aina ya kazi yako. Ila komaa TU mwanangu umeshayavulia. Jibanze hivyohovyo ili uje uwe mwekezaji kwenu.

Ukijitahidi saaaana huko utajenga nyumba ya mbao tupu.
 
Sio kutoka TU kunaleta maendeleo bali utoke na kurudi exposure pamoja na mtaji wa maendeleo. Hao hao mnaowaona wameendelea huko walitoka kwenye nchi zao wakarudi kwao na watumwa, pembe za ndovu na faru, Dhahabu na almasi za bure, mbao, pamba, na kahawa za bure wakavitumia kupata mitaji na maendeleo ya chakula, viwanda, elimu na afya. Sasa hivi bado wanaendelea kupata manamba kwa njia za kisasa, maligjafi, na masoko, madini kutoka nje ya bara lao.

Utumwa ni uleule ila safari hii umewekewa chambo (wanakupa mkononi posho ya chakula, matibabu, malazi, na fedha kidogo ya kujikimu) ili wanase kwenye ulimbo; uwende mwenyewe kwao. Yaani wanatengeneza hali mbaya kwenye mabara mengine ili vijana wasomi na wenye nguvu (nguvu kazi) wahamie kwao kutafuta nafuu (Greener pastures). Posho hizi za kujikimu wanazopewa ndo vijana wetu wanazotamba nazo na kuwakoga wenzao walioko Tanzania na Afrika.
Hilo sio tatizo la mzungu ni tatizo letu. Tunaposema utoke tunamaanisha kwenda kujua how things work. Far East wote waliendelea baada ya kutoka wakarud ni mawazo mapya na kutransform jamiiforum zao kwa kile kile kidogo walichokuwa nacho na sasa wako same level ya maisha na mzungu. Hapa kwetu tunasoma tuwe maboss na wazalishaji ni 35% tu ya watz. Wengine ni watoto au wazee na watu wavivu au wanaohitaji kutunzwa.
 
Watz tuna akili dumazi sana. Mi ingekuwa ni uwezo wangu ningewatoa watanzania waende huko mbele angalau mwaka mmoja watz wanatakiwa wapate exposure ni wajinga mno huwez kuendelea bila kutoka ukajifunze mapya.
...Ndio maana Hata wanaotuomgoza wamepata Ubwete ! Wanatuona sisi ni Manyani na Wanaweza kutufamya lolote na tunaishia kulalamika TU, hatufanyi lolote ! Umenena Kweli Mkuu.
Tuna Akili Dumazi Sana !....
Acha DP World zije TU, labda ndio tutachangamka !!
 
Hilo sio tatizo la mzungu ni tatizo letu. Tunaposema utoke tunamaanisha kwenda kujua how things work. Far East wote waliendelea baada ya kutoka wakarud ni mawazo mapya na kutransform jamiiforum zao kwa kile kile kidogo walichokuwa nacho na sasa wako same level ya maisha na mzungu. Hapa kwetu tunasoma tuwe maboss na wazalishaji ni 35% tu ya watz. Wengine ni watoto au wazee na watu wavivu au wanaohitaji kutunzwa.
Waafrika hatuna tatizo la exposure, bara Lina viongozi ambao wamesoma Ulaya degree zao, Kuna wanaoenda kwa Short courses, Kuna wanaokwenda kwa mikutano, shopping na matibabu, lakini wanashindwa ku implement hata 15% TU ya kile walichokiona na kujifunza huko ng'ambo. Sisi vijana wenye kesho nyingi ni wajibu wetu kujiuliza maswali why why why this is happening? Vijana tunawajibu wa kuwa na orodha ya obstacles zote zinasababisha kutamani kulikimbia bara lenu kwenda kuwa 3rd class citizens kwenye mabara mengine na kuwaacha wazazi wetu nyuma unattended. Hata kama ikibidi tufanye mapinduzi tuyafanye kuliko kuzikimbia nchi zetu ziendelee kuporwa na Wazungu haohao kwa kushirikiana na viongozi wetu wasio waadikifu, wezi, mapandikizi, wadini, wakabila, Wala rushwa na wasiokusanya kodi.

Hakuna jina lingine kwa vijana wetu wanaolikimbia bara za ya neo slavery, manamba.
 
Tatizo hujafanya tafiti kusapoti point yako. Tofautisha mtu anaekwenda ulaya kusoma anaishia darasani to nyumban au wanaokwenda kwenye vikao cjui warsha. Hao watu hawaend front kuangalia uhalisia kinachofanyika huko. Bahat mbaya zaid viongoz wetu ni mawakala wa mabeberu. Na sio wazungu tu maana nawaona vijana mihemko yenu ni kuwaona wazungu ndio kikwazo kwetu. Broda system inayoendesha hii Dunia inasema aliyelala usimuamshe. Hiv tunavyoongea wakenya wameingia wengi hapa nchini wengine wanalima wengine walimu wengine maofisini na kwa taarifa yako. Mwezi ujao serikali inapeleka mswada bungen ili mgen aruhusiwe kumiliki ardhi na kununua nyumba. Tatizo la nchi hii sio viongoz ni wananchi wenyewe. Wameamua kuchagua umbea kuliko vitu vya msingi kwa generations yao. We pambania wanao achana na huu uzao wa kucheza mduara utajiumiza bure.
 
Great people huwa hawazungumzii ngazi ya matumbo yao, familia au ukoo zao TU. Tumeshapita huko kwenye ngazi ya njaa zetu na familia, kila mtoto wangu ameshasoma vya kutosha na kuwa na maisha yake na mlipa Kodi mzuri. Sasa hivi tunahangaikia generation ijayo na sifa zake. Kama vijana wetu watatatua shida za mataifa Yao kwa njia ya escape and avoidance nchi zao na bara lao litadidimia. Waisrael walijaribu kufanya hivyo lakini wakakutana na madhila makubwa sana huko ugenini hadi pale walipojitambua na kuitafuta kwao Yao tena. Vijana wetu ni WA hovyo sana, wanatukana kwao wakiwa umanambani, hawajui kwamba itafikia siku huko ugenini watakuja kusakwa na kuuawa kama kumbikumbi na wenyeji wao kama vile wayahud walivyosakwa na Manaz. Uwezo wao wa kufikiria ni mdogo na mfinyu sana.
 
Great people huwa hawazungumzii ngazi ya matumbo, familia au ukoo wao TU. Tumeshapita huko kwenye ngazi ya ya njaa zetu na familia, kila mtoto wangu ameshasoma vya kutosha na kuwa na maisha yao na mlipa Kodi mzuri. Sasa hivi tunahangaikia generation ijayo na sifa zake. Kama vijana wetu watatatua shida za mataifa Yao kwa njia ya escape and avoidance nchi zao na bara lao litadidimia. Waisrael walijaribu kufanya hivyo lakini wakakutana na madhila makubwa sana huko ugenini hadi pale walipojitambua na kuitafuta kwao Yao tena. Vijana wetu ni WA hovyo sana, wanakutana kwao wakiwa umanambani, hawajui kwamba itafikia siku huko ugenini watakuja kusakwa na kuuawa kama kumbukumbu na wenyeji wao kama vile wayahud walivyosakwa na Manaz. Uwezo wao wa kufikiria ni mdogo na mfinyu sana.
Na watu wanaojitambua hawachati mitandaoni. Wanaenda front live. Hakunaga mwanaharakat anaeamini katika mawazo yake anasubir watu.
 
Na watu wanaojitambua hawachati mitandaoni. Wanaenda front live. Hakunaga mwanaharakat anaeamini katika mawazo yake anasubir watu.
Hii ni forum pia, au hujui? Tumeelimisha wengi kwa njia hiihii. Wewe panda jukwaani na wengine wwtoe mihadhara kama Prof Lumumba, collectively we will stand.
 
Hii ni forum pia, au hujui? Tumeelimisha wengi kwa njia hiihii. Wewe panda jukwaani na wengine wwtoe mihadhara kama Prof Lumumba, collectively we will stand.
Maneno hayajawah kuleta mabadiliko Chief. Fanya vitendo uone impact yake
 
Hii ni forum pia, au hujui? Tumeelimisha wengi kwa njia hiihii. Wewe panda jukwaani na wengine wwtoe mihadhara kama Prof Lumumba, collectively we will stand

Kavulata:

Hivi Prof Lumumba kamsaidia nani hasa.....Ukienda Kenya ndio wanaongoza kuomba Greencard....Kenya ina watu wa kila kada Marekani, Wasomi na watu wa kawaida.....Kadri anavyotoa mihadhara ndio waombaji Greencard wanazidi....Na unajua Kenya ndio inaongoza kupeleka wafanyakazi Uarabuni......Katika mahangaiko yangu nje ya Tanzania, ukiondoa Wanigeria, kenya inaongoza kuwa na wahangaikaji wengi mno nje ya nchi.

Haya maneno ya Lumumba awapigie kelele wale walioko African Union......Huwa nakukumbusha tena na tena Babu yako na babu yangu waliposhindwa kumzuia mtu mweupe asiweke nanga kwenye pwani zetu walituingiza mkenge mkubwa mno...! Mpaka leo hatujitambua......tutabadili mabwana tu.....! Kama sio beberu wa Kimarekani....basi Mrusi au mchina......Mwarabu nk.....! Hatuna akili za kujiendesha wenyewe, sisi ni tegemezi kwa kila kitu.....Ni uchungu mkali kuumeza......Lakini ndio Ukweli......Kimaendeleo bado tuko kwenye "Take off stage" na tumeganda hapo... Lumumba anatwanga maji kwenye kinu....
 
Back
Top Bottom