Pole mkuu !Ni utumwa uleule, tofauti ni kwamba Sasa hivi watumwa hawapewi chakula, malazi, mavazi wala kulipiwa gharama za taka, maji, umeme na matibabu, wanapewa fedha mkononi ili wajilipie wenyewe. Lakini Baada ya kupewa hela hizi huwa wanajibana na kula vitu vya hovyo ( jack foods), kulala sehemu za hovyo(cheap) na kuvaa midabwada ili kubakiza fedha hizo unazosema wanazipata.
Ulisharudi bongo kwani?
Kwahiyo wewe unadhani ni kila mtu anatumia junk foods hizo kila siku na kulala sehemu ya hovyo?
Yawezekana ulikuwa deported wewe.