Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Mwamba huyu hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba huyu hapa
Duuuh! Ila wabongo Aseee! Jau sana...
Mwisho lini ?Siku zimebaki chache!
Case closed [emoji359]. Ilikua leo. Next ni mwaka kesho mwezi wa kumi hadi wa early nov. For DV2025Mwisho lini ?
Si unatakiwa upewe/upate pale pale unapofanya submission? Ina maana uliambiwa usubirie?Habari wadau, kwa wale waliojaza fomu za green card lottery, je mmeshapata confirmation code waliyosema wataituma kwa email?! Au changa la macho?
Ndio zilishatumwa chiefHabari wadau, kwa wale waliojaza fomu za green card lottery, je mmeshapata confirmation code waliyosema wataituma kwa email?! Au changa la macho?
[emoji23][emoji23] Unaijua royal army?Amestaafu?? How?? Miaka 40 ndio amefikia umri wa kustaafu?
Mimi sijawahi kuipata mpaka leo. So nauchukilia mchakato kama mchongo wa jamaa kujipatia fedha tuNdio zilishatumwa chief
Pole. Wenzio wanakesha baa kusubiria safariMimi sijawahi kuipata mpaka leo. So nauchukilia mchakato kama mchongo wa jamaa kujipatia fedha tu
Fine keep on sleeping..Mimi sijawahi kuipata mpaka leo. So nauchukilia mchakato kama mchongo wa jamaa kujipatia fedha tu
What do you mean?!
Kote nimepita man, hamna kitu. Nimesema pande zingineMkuu kwenye email yako umepita kwenye spam
HUkucheza dada?Kumekucha wale mliocheza kaangalieni matokeo