Green Card Makulilo Lottery

Green Card Makulilo Lottery

Jamani siku zimeisha. Karibuni hapa KITAMBAA CHEUPE tukusaidie kwa Tsh. 5,000
 
Habari wadau, kwa wale waliojaza fomu za green card lottery, je mmeshapata confirmation code waliyosema wataituma kwa email?! Au changa la macho?
 
Wewe tulia kwanini ww huku cheza mpaka uulizie confirmation codes za wenzako ila kumbuka pia maisha mazuri hata bongoland yapo
 
Habari wadau, kwa wale waliojaza fomu za green card lottery, je mmeshapata confirmation code waliyosema wataituma kwa email?! Au changa la macho?
Si unatakiwa upewe/upate pale pale unapofanya submission? Ina maana uliambiwa usubirie?
 
Amestaafu?? How?? Miaka 40 ndio amefikia umri wa kustaafu?
[emoji23][emoji23] Unaijua royal army?
inatoa nafasi kwa nchi zilizotawaliwa na uingereza (nchi za jumuia ya madola) wajiunge na jeshi lao kisha uchague nafasi uipendayo isipokuwa kufanya kazi kwenye submarine tu na wanakupa mkataba aidha 12yrs au 30yrs unachagua.

Kuna mtanzania kastaafu akiwa na 42 tu usishangae ndugu ni kawaida mbona.

Wenzetu unaweza staafu anytime hawana tatizo.
Hivyo ishu za DV lottery sisi watanzania tumechelewa sana kuzijua, wakenya, wanaija,waghana sio jambo geni kwao.
 
Kumekucha wale mliocheza kaangalieni matokeo
 
Back
Top Bottom