Green Zone imeshambuliwa kwa maroketi karibu na ubalozi wa Marekani Baghdad Iraq

Wewe unafaidika vipi kutokana na huu mgogoro?
 
Huwezi kueleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie sio mchambuzi wa mambo ya kisiasa wala kuelezea nchi gani inauwezo wa kijeshi zaidi na mikakati bora ya kupambana na kushambulia kijeshi. Hivyo sitaingia kwenye mkumbo wa kushabikia machafuko na vita, njia yeyote itakayosaidia kupunguza au kumaliza mgogoro huu itakua bora zaidi.

Jambo moja nna uhakika nalo, hii vita ikiendelea ikakua hata sie huju tutaathirika kwa namna moja ama nyingine, hilo nna uhakika nalo hata bila kuwa na uelewa wa mambo ya kisiasa au nguvu za kijeshi.
 
Tatizo liko wapi?! Kama Irani NI shababi na sio mwoga arushe vitu kuipiga Washington DC! Kisha Aitawale kwa Sharia za kiayatola!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku akijibu lazima mshangilie leo kashikwa pabaya mnaanza ngonjera....
 
Endelea kuota, sasa zile kelele za tramp kusema Iran ikishambulia base zetu tutashambulia harder thn ever ilikua ni porojo? SEMA UKWELI KUWA KAONA MZIKI MNENE SANA KAINGIA MITINI, ALIFKIRI IRAN NI LIBYA AU IRAQ, KAPIGWA KACHAKAZWA KAINGIA MITINI, NA ANGEJIPENDEKEZA TU YALE MAMELI YAKE YANGEPIGWA PIGO MOJA TU NA HIZO BASE ZAKE ZOTE APO MIDDLE EAST NA ULAYA ZINGECAHAKAZWA, HAO IRAN NI WASTAARABU ILA ANGEFANYA UCHIZI WAKE HUYO WIGI ANGECHAKAZWA VIBAYA NA HAO WAAJEMI DAAADEKI, MNAONA AIBU ETI SUPER POWER KUPIGWA BITI KAZI MNAJIFARIJI TU HUMU, SIKU HIZI ZAMA ZIMEBADIKIKA AKIFANYA MZAHA ATANYOOSHWA MPAKA ANYOOKE
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wakapiga bit ya kuwa akifyatua ata risasi basi wataripua kambi zaidi ya 100 mashariki ya kati na Ulaya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hawezi mfuateni km anavowafuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…