5997
JF-Expert Member
- Jan 19, 2019
- 513
- 1,205
Wewe na Iran Mnapiga rocket au sio?Iran ni mwanaume Anatuwakilisha wanaume ilivyo vyema
Chuma juu ya chuma haina kufeli
Tunapiga rocket kikonk zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na Iran Mnapiga rocket au sio?Iran ni mwanaume Anatuwakilisha wanaume ilivyo vyema
Chuma juu ya chuma haina kufeli
Tunapiga rocket kikonk zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unafaidika vipi kutokana na huu mgogoro?Unajifanya Tomaso hahahaaa! USA kahisi harufu mbaya ya kuweza kuharibu hali yake ya hewa vibaya sana kaamua kuufyata tangu lini USA akawa na hekima? Iraq mbona hakutanguliza hekima ? Libya mbona hakukuwa na hekima? Afghanistan mbona hakukuwa na hekima?
Hekima imekuja baada ya kuona anafuatwa moja kwa moja. Kuweni wapole ogopa sana kupigana na ambaye ameuchoka uonevu wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Musiba aseme kama ni Membe anahusika kumhujumu rais wa hukoDuh....Bashiru atoe tamko
Mi nachoshukuru ni amerika kutumia hekima na kupoa maana akiwa Kama mkubwa kaamua kujiepusha na lawama,aliekuwa anamtaka amuondoshe ameshamuondosha na kinachotokea hivi sasa ni matokeo ambapo marekani haijaamua kuyajibu bado.
Sasa kwa wale wanaoshabikia na waendelee maana hawajui umuhimu wa maamuzi waliyofanya marekani,semeni tu marekani kaogopa endeleeni kujipa moyo.. ila binafsi naona wamefanya maamuzi sahihi na kumbukeni na pimeni Kama aliweza kumuuwa mkuu wa majeshi Irani itakuwaje kwa waliobaki..?
Iran hawezi pambana na marekani Hilo li wazi ila marekani inampasa kutulia ili kuepusha madhara yanayoweza jitokeza.
Sema wewe ndiye hauko interested.Manpower for what? Kenyans and Zimbabweans are the most interested to work outside their countries not Tanzanians
Tatizo liko wapi?! Kama Irani NI shababi na sio mwoga arushe vitu kuipiga Washington DC! Kisha Aitawale kwa Sharia za kiayatola!Mbona wkt Trump anasema ole wake Iran ilipue Asset zozote zile za Amerika lazima pachimbike mlifurahia sana.
Leo hizo assets zimepigwa na Iran ndio mmekuja na ngonjera za ooh asante sana Trump kwa kutumia busara hahahah
Kunguru mwoga hukimbiza unyoya wake-nae ni US.
Siku akijibu lazima mshangilie leo kashikwa pabaya mnaanza ngonjera....Mkuu nina uwezo wa kukutukana maana unanilisha maneno ya group ambapo mi sikusema hivyo!! Kuwa makini.. hakuna haja ya marekani kuanzisha vita itaathiri Mambo mengi kwani vita hiyo inaweza kwenda hata kidini!! Na kuna waafrika huku hatujielewagi bendera fata upepo nasi tutaanza twangana Kuna maswala ya uchumi n.k yote yataenda kombo unafikiri ni kipi Bora..?
Hata hao Americans itaathiri lkn si kwamba hawawezi kuamini hivyo itakuwa ni undezi na Mambo huwa yana chini ya pazia tusichoshane bure
Mi nachoshukuru ni amerika kutumia hekima na kupoa maana akiwa Kama mkubwa kaamua kujiepusha na lawama,aliekuwa anamtaka amuondoshe ameshamuondosha na kinachotokea hivi sasa ni matokeo ambapo marekani haijaamua kuyajibu bado.
Sasa kwa wale wanaoshabikia na waendelee maana hawajui umuhimu wa maamuzi waliyofanya marekani,semeni tu marekani kaogopa endeleeni kujipa moyo.. ila binafsi naona wamefanya maamuzi sahihi na kumbukeni na pimeni Kama aliweza kumuuwa mkuu wa majeshi Irani itakuwaje kwa waliobaki..?
Iran hawezi pambana na marekani Hilo li wazi ila marekani inampasa kutulia ili kuepusha madhara yanayoweza jitokeza.
Marekani tokea lini akawa na HEKIMA?
Mmarekani mweusi wa Nzega mbona unahangaika kwenye kila thd kujiliwaza? vicomment vyako vya huku JF haviwezi kuubadili uhalisia.
Tukana tu, ukweli ni kwamba Mzee wenu kaweka mpira kwapani alifikiri ni Saddam yule
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana mdogo hebu fuatilia kauli alizotoa Trump baada ya kuuwawa kwa Qasem harafu fuatilia wachangiaji walisema nini juu ya kauli za dharau za Trump akijua kuwa Iran watakaa kimya sasa wamemjibu kisawasawa saa zilezile ambazo Qasem ameuwawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Busara zimetumika hapo.
Kwa akili yako kabisa unadhani US wameshindwa kuichapa Iran?
Nuclear option ni short cut.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuwaje Irani inapiga mabomu kwenye inchi nyingine huru?Ila Iraq ni dhaifu sana kwa kweli
Tatizo liko wapi?! Kama Irani NI shababi na sio mwoga arushe vitu kuipiga Washington DC! Kisha Aitawale kwa Sharia za kiayatola!
Sent using Jamii Forums mobile app