Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Nimonia imeongezeka sana kule kaskazini kwa sababu kipindi cha kukuu za mwisho wa mwaka wazungu wanaingia sana kule.kwa UJUHA WETU tukiongozwa na NYAPARA MKUU tukathamini dollar Badala ya maishaNimonia ya Tanzania inapenda Sana kwenda na viongozi!!!
tuvae barakoa watanzania
Wanaokufa ni wengi sema hao ni viongozi taarifa zao zinasambaa harakaNimonia ya Tanzania inapenda Sana kwenda na viongozi!!!
tuvae barakoa Watanzania
Mpwapwa. Mbunge wa zamani wa Mpwapwa mkoani Dodoma nchini Tanzania, Gregory Teu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kujisikia vibaya akiwa kikaoni
Dada yake Ndugai nae amekutana na changamoto! Ameamua kupumzikapo kwa amaniNi hii nimonia au kitu kingine ?
Kwahio kwa mama yako, wazazi wako au ndugu zako msiba wa Diamond ni mkubwa kuliko wako ?Yes upo kama wewe ukifa sio sawa na diamond akifa
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Unajuaje labda mpango wao ni herd immunityMatamasha yenye mikusanyiko ipigwe stop
Leo kna mtu kampokea msanii toka congo
Wana show etccccc
Kuna watu wanashindwa kujiongeza serikali inawambia watu kwa style lkn bado wagumu kuelewa
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa kiaz kweli eti anamuona huyo ni Mungu auKwahio kwa mama yako, wazazi wako au ndugu zako msiba wa Diamond ni mkubwa kuliko wako ?
Unless otherwise wewe ni kituko, I highly doubt it
Mpwapwa.2015 - 2020Huyu aliwahi kuwa mbunge wa mpwapwa kweli?
Mzee G, Lubeleje ambae alikuwa mbunge wa Mpwapwa kwa miaka yote Hadi mwaka 2020, alipo katwa CCM, alikuwa mbunge wa Jimbo gani?
Mbona taarifa ya awali imejieleza vizuri, msingi wa swali lako ni nini?R.I.P! Chanzo cha kifo ni nini? Maana hali si shwari!
sawaSehemu mbaya na hatari kabisa kwa hili tatizo la Covid 19 ni indoor - maofisini, kumbi za mikutano na sherehe, makanisani, misikitini, mahospitalini, supernarkets. Ukienda maeneo hayo, jitahidi kutumia muda usiozidi dakika 20. Hata ukipata maambukizi, hutapaza zaidi virus particles zaidi ya 1,000 ambacho ndicho kiwango cha kukufanya uugue.
Ukipata dose kubwa, kama vile zaudi ya 1m, wewe mara nyingi utaondoka tu hata ukipata msaada wa namna gani.
Kumbuka mtu mwenye maambukizi akikohoa au kupiga chafya mara moja anatoa virus particles karibia 2m.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu aliwahi kuwa mbunge wa mpwapwa kweli?
Mzee G, Lubeleje ambae alikuwa mbunge wa Mpwapwa kwa miaka yote Hadi mwaka 2020, alipo katwa CCM, alikuwa mbunge wa Jimbo gani?
| Personal details | |
|---|---|
| Member of Parliament for Mpwapwa | |
| Deputy Minister of Finance and Economic Affairs | |
| Deputy Minister of Industry, Trade and Marketing | |
| Honourable Gregory Teu MP | |
| In office 7 May 2012 – 20 January 2014 | |
| Minister | Abdallah Kigoda |
| Succeeded by | Janet Mbene |
| In office 28 November 2010 – 7 May 2012 | |
| Minister | Mustafa Mkulo |
| Incumbent | |
| Assumed office November 2010 | |
| Preceded by | George Lubeleje |
| Born | 3 February 1951 (age 69) Tanganyika |
| Nationality | Tanzanian |
| Political party | CCM |
| Alma mater | Mzumbe University (AdvDip) Uni. of Central England (MSc) |
Yes upo kama wewe ukifa sio sawa na diamond akifa
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app