Sehemu mbaya na hatari kabisa kwa hili tatizo la Covid 19 ni indoor - maofisini, kumbi za mikutano na sherehe, makanisani, misikitini, mahospitalini, supernarkets. Ukienda maeneo hayo, jitahidi kutumia muda usiozidi dakika 20. Hata ukipata maambukizi, hutapaza zaidi virus particles zaidi ya 1,000 ambacho ndicho kiwango cha kukufanya uugue.
Ukipata dose kubwa, kama vile zaudi ya 1m, wewe mara nyingi utaondoka tu hata ukipata msaada wa namna gani.
Kumbuka mtu mwenye maambukizi akikohoa au kupiga chafya mara moja anatoa virus particles karibia 2m.
Sent using
Jamii Forums mobile app