TANZIA Gregory Teu aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Mbunge wa Mpwapwa, afariki dunia

TANZIA Gregory Teu aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha, Viwanda, Naibu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Mbunge wa Mpwapwa, afariki dunia

Nimonia ya Tanzania inapenda Sana kwenda na viongozi!!!
tuvae barakoa watanzania
Nimonia imeongezeka sana kule kaskazini kwa sababu kipindi cha kukuu za mwisho wa mwaka wazungu wanaingia sana kule.kwa UJUHA WETU tukiongozwa na NYAPARA MKUU tukathamini dollar Badala ya maisha
 
20210124_145819.jpg

20210126_100415.jpg
 
Mpwapwa. Mbunge wa zamani wa Mpwapwa mkoani Dodoma nchini Tanzania, Gregory Teu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kujisikia vibaya akiwa kikaoni

Kikao gani kinafanyika usiku!!!
 
Sehemu mbaya na hatari kabisa kwa hili tatizo la Covid 19 ni indoor - maofisini, kumbi za mikutano na sherehe, makanisani, misikitini, mahospitalini, supernarkets. Ukienda maeneo hayo, jitahidi kutumia muda usiozidi dakika 20. Hata ukipata maambukizi, hutapaza zaidi virus particles zaidi ya 1,000 ambacho ndicho kiwango cha kukufanya uugue.

Ukipata dose kubwa, kama vile zaidi ya 1m, wewe mara nyingi utaondoka tu hata ukipata msaada wa namna gani.

Kumbuka mtu mwenye maambukizi akikohoa au kupiga chafya mara moja anatoa virus particles karibia 2m.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sehemu mbaya na hatari kabisa kwa hili tatizo la Covid 19 ni indoor - maofisini, kumbi za mikutano na sherehe, makanisani, misikitini, mahospitalini, supernarkets. Ukienda maeneo hayo, jitahidi kutumia muda usiozidi dakika 20. Hata ukipata maambukizi, hutapaza zaidi virus particles zaidi ya 1,000 ambacho ndicho kiwango cha kukufanya uugue.

Ukipata dose kubwa, kama vile zaudi ya 1m, wewe mara nyingi utaondoka tu hata ukipata msaada wa namna gani.

Kumbuka mtu mwenye maambukizi akikohoa au kupiga chafya mara moja anatoa virus particles karibia 2m.

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa
 
Huyu aliwahi kuwa mbunge wa mpwapwa kweli?

Mzee G, Lubeleje ambae alikuwa mbunge wa Mpwapwa kwa miaka yote Hadi mwaka 2020, alipo katwa CCM, alikuwa mbunge wa Jimbo gani?

Gregory Teu​

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jump to navigationJump to search
Personal details
Member of Parliament
for Mpwapwa
Deputy Minister of Finance and Economic Affairs
Deputy Minister of Industry,
Trade and Marketing
Honourable
Gregory Teu
MP
In office
7 May 2012 – 20 January 2014
MinisterAbdallah Kigoda
Succeeded byJanet Mbene
In office
28 November 2010 – 7 May 2012
MinisterMustafa Mkulo
Incumbent
Assumed office
November 2010
Preceded byGeorge Lubeleje
Born3 February 1951 (age 69)
Tanganyika
NationalityTanzanian
Political partyCCM
Alma materMzumbe University (AdvDip)
Uni. of Central England (MSc)
Gregory George Teu (born 3 February 1951) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Mpwapwa constituency since 2010. He is the current Deputy Minister of Industry, Trade and Marketing.[1]
 
Back
Top Bottom