rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Motisha hiyo Mara nyingi ni kuumiza wachezaji wa Simba dawa ni kuwashusha daraja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bodi ya Ligi mpo wapi? Mamlaka za kupambana na ufisadi mko wapi?Kila mechi ya Simba bahasha huwekwa Ili Simba ifungwe!
Je, tunapaswa kuwa na chombo maalumu kwa ajili ya kufuatilia Mambo km haya na kuchukua HATUA stahiki za kisheria?
Huwezi kusikia motisha Ili Yanga ifungwe?
Wanajua pamoja na kuimba kwamba Simba Ni mbovu lkn bila bahasha Simba itasshinda mechi zake na kuchukua ubingwa.
Nb: Nadhani ndiyo njia waliyoichagua Ili kudhoofisha wapinzani wao. Ubingwa wa bahasha.
GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.
Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
Upo MkuuKama ni mfuatliji wa mpira utaelewa na usingeandika utumbo Kama huu.
Hao Tanzania prisons huwa wanapewa motisha hata wakicheza na YANGA.
GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.
Wakishinda na wasipopewa je?GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.
Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr wewe ni Fundi gwiji, unaisaidiaje Simba?GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.
Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swala la ubingwa kwa sasa msahau, itawachukua miaka kadhaa Simba kutwaa tena ubingwa wa ligi kuu.Leo Wawekeeni hata na yale Magodoro yenu yenu Kunguni na harufu za Kujambiana ambayo kutwa tu yanadoda Sokoni ila leo Wanafungwa na Simba SC na rasmi sasa tutawaacheni kwa tofauti ( gap ) ya Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na hiyo ndiyo itakuwa imetoka hiyo hadi Ubingwa.
Kudadadeki.......!!
Do you have any proof on that?
Motisha ni rushwa? Rage ajengewe sanamu lake.Mkuu report TAKUKURU tusifumbie macho viashiria au vitendo vya rushwa.
Baada ya mechi ya leo jumapili Singida wanawasubili, halafu kuna wale mashujaa.Leo Wawekeeni hata na yale Magodoro yenu yenu Kunguni na harufu za Kujambiana ambayo kutwa tu yanadoda Sokoni ila leo Wanafungwa na Simba SC na rasmi sasa tutawaacheni kwa tofauti ( gap ) ya Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na hiyo ndiyo itakuwa imetoka hiyo hadi Ubingwa.
Kudadadeki.......!!
GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.
Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
Wakati mwingine muwe mnajisikia aibu mnapoleta taarifa za kizushi kama hizi.Sportsarena,
Ni GSM kwa sababu kwanini Ni mechi za Simba pekee? Halafu Ni haaka baada ya Yanga kubanduliwa.
Bahasha! View attachment 2772360