GSM aiwekea Prisons milioni 25 dhidi ya Simba

GSM aiwekea Prisons milioni 25 dhidi ya Simba

Bodi ya Ligi mpo wapi? Mamlaka za kupambana na ufisadi mko wapi?Kila mechi ya Simba bahasha huwekwa Ili Simba ifungwe!

Je, tunapaswa kuwa na chombo maalumu kwa ajili ya kufuatilia Mambo km haya na kuchukua HATUA stahiki za kisheria?

Huwezi kusikia motisha Ili Yanga ifungwe?

Wanajua pamoja na kuimba kwamba Simba Ni mbovu lkn bila bahasha Simba itasshinda mechi zake na kuchukua ubingwa.

Nb: Nadhani ndiyo njia waliyoichagua Ili kudhoofisha wapinzani wao. Ubingwa wa bahasha.

FB_IMG_1696481206399.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.

Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakishinda na wasipopewa je?
 
Acheni kulialia kachezeni mpira, Kama simba wana bonasi za ushindi sasa prison wakitangaziwa bonas kuna shida gani au kwakua zime tangazwa!!
Bonas wanazopewa Simba ni sawa sawa na motisha wanayo pewa Prison wakishinda ni utaratibu wa kawaida katika soka.

Maranyingi bonasi inaongezeka kulingana na umuhimu wa mechi.
 
Leo Wawekeeni hata na yale Magodoro yenu yenu Kunguni na harufu za Kujambiana ambayo kutwa tu yanadoda Sokoni ila leo Wanafungwa na Simba SC na rasmi sasa tutawaacheni kwa tofauti ( gap ) ya Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na hiyo ndiyo itakuwa imetoka hiyo hadi Ubingwa.

Kudadadeki.......!!
 
Swala la ubingwa kwa sasa msahau, itawachukua miaka kadhaa Simba kutwaa tena ubingwa wa ligi kuu.
 
GSM inajitahidi sana kutumia fedha nyingi ili Yanga ipate mafanikio.
Msimu uliopita waliweka mzigo pale TFF kwa lengo la kulipia posho za Marefa na wakafanikiwa.

Msimu huu wanaweka mzigo kwenye mechi zote za ligi ambazo Simba inacheza, pia imezidhamini timu zote zilizokuwa ni kama matawi ya Simba ili zinapocheza na Yanga kusiwe na vikwazo ( Coastal union na Namungo)

Ihefu kwa kukataa fedha za GSM wanastahiki pongezi. Wapewe maua yao
 
Kuweni na amani NYAU leo atashinda ila kuna mechi zake zinakuja najua hatafurukuta. Sio lazima yanga akipoteza mikia nao wapoteze.
 
Leo Wawekeeni hata na yale Magodoro yenu yenu Kunguni na harufu za Kujambiana ambayo kutwa tu yanadoda Sokoni ila leo Wanafungwa na Simba SC na rasmi sasa tutawaacheni kwa tofauti ( gap ) ya Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na hiyo ndiyo itakuwa imetoka hiyo hadi Ubingwa.

Kudadadeki.......!!
Baada ya mechi ya leo jumapili Singida wanawasubili, halafu kuna wale mashujaa.

Labda unaongelea ubingwa wa kujamba.
 
GSM akishirikiana na uongozi wa Prisons umetoa motisha katika timu yao ili kuepuka kichapo leo dhidi ya Simba.

Katika kikao kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 25milioni kwa wachezaji endapo watapata Ushindi dhidi ya Simba.
Sportsarena,
Ni GSM kwa sababu kwanini Ni mechi za Simba pekee? Halafu Ni haaka baada ya Yanga kubanduliwa.

Bahasha! View attachment 2772360
Wakati mwingine muwe mnajisikia aibu mnapoleta taarifa za kizushi kama hizi.
 
Back
Top Bottom