Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Hivi a
atakaye mshauri huyu dada ni nani kama mama naye ndio yule
ha ha ha aseeeSidhan kama ananyonyesha yule kila siku kiguu na njia nahisi mtoto keshaanzishiwa maziwa ya kopo ndo maana akadai pesa ndefu za matunzo. Huko nairobi kaalikwa na yule shosti ake aliyemtumia kuvujisha picha akiwa na dai kitandani
Binafsi sio mdau kabisa hata wa hao celeb wa kibongo ila mkuu kwa hili la zari lipo sawa kwa sababu ni mtu maarufu na mwenye mvuto kwa watanzania kuliko ma celeb wengi wa hapa nyumbaniKwanza kabisa napenda niwatakie Sabbatical njema, pili leo ni Nyerere day, nitamuenzi baba wa Taifa kwa njia hii.
Kwanza naomba nikiri huyu Zari mimi namsikia jina tu sijawahi kujuwa hasa kwa hakika shughuri zake ni nini zaidi ya kujuwa ni hawara wa msanii Diamond that's it. Huwa sina muda wa kudiscuss drama za watu wa aina hii lakini kwakuwa hili la zari lipo in economics grounds naomba nitowe maoni yangu.
Kwa maoni yangu ni dharau kwa Watanzania GSM kumleta Zari kuzinduwa hilo duka lao la Danube nadhani kwa maoni yangu mtu sahihi walipaswa wamuite Diamonds kufanya uzinduzi huo
Kwakuwa Watanzania sasa hivi ni mashabiki ushuzi wa Team ushuzi hawawezi kunielewa wala kukubali kitendo hiki ni dharau kubwa imefanywa na GSM dhidi ya models wetu, kumleta mganda halafu utegemee wateja Watanzania huu ni ufala uliopitiliza.
Binafsi yangu natangaza rasmi boycott bidhaa za duka hilo la Danube kwa kitendo hiki cha kutowapa support models wetu kufanya jukumu hilo.
Tunao kina Mbwana Samatta, Flavian Matata, yupo Joti yupo Masanja, yupo mzee Majuto why Zari? Zari ni Celeb wa nini jameni naomba kujuzwa.
Kale kalifanya lile tangazo likapata watazamaji wengi na kalipa promo na deal hajapewa......kwanza juzi tu kajichoresha kupost video ya zari ya Danube kuwa anafata hereni, yani kupitia bifu za kugombania dudu ndo anataka apewe deal, Zari anastahili hizo deal
Huyu Wema watanzania tulimpa ushauri hadi tukachoka .....Kutangaza biashara lazma uangalie mtu anaeuzika, kwa hapa bongo wema sepetu anafaa sana, yani alitakiwa atangaze hadi matangazo ya chips snacks tatizo lake unalijua kabisa hajielewi
Sasa mnataka makampuni yafanyeje
Hawezi pewa hilo dealKale kajinga kalifanya lile tangazo likapata watazamaji wengi na kalipa promo na deal hajapewa......
Wema angekua anajielewa ni bonge moja ya Brand, yani nadhani ndo angetakiwa kuwa boss lady wa East Africa, alikua na diamond akaanza kupanda nae stejini anakata mauno na kina iyobo, basi tena hakujijua na muda ndo huooooHuyu Wema watanzania tulimpa ushauri hadi tukachoka .....
Nakumbuka haya anayo yafanya Zari tulimshauri sana tena sana kwenye hili jukwaa Wema kama angelisikia hakika angekuwa anapiga hela ndefu sana.....ni lazima watu wakubali kuwa Zari kwa sasa ana heshimika kibiashara kuliko Wema....Wema angekua anajielewa ni bonge moja ya Brand, yani nadhani ndo angetakiwa kuwa boss lady wa East Africa, alikua na diamond akaanza kupanda nae stejini anakata mauno na kina iyobo, basi tena hakujijua na muda ndo huoooo