GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

unampangia mtu matumiz ya pesa zake? bongo kwanza hamna models, acha watu wanaojitambua wagonge mashavu tu
 
Kwani model wet wanaweza pata nafasi hiyo Uganda [emoji1254] tupendane jamani
Watu wanafanya smart business na smart people. Zari ana trend, reputation na ana influence zaidi kimataifa hata kwa corporates ni rahisi kampuni kukubalika huwezi fananisha na wapuuzi wengi wa kibongo ambao wana umaarufu wa kufanya vitu vya kipumbavu kama kina Giggy money!

Unaenda kuomba tender ya ku supply furnitures FNB au wizarani ukiwa na balozi kama giggy money kweli ama Amber lulu?
 
kama dada zetu hawajielewi tufanyeje mkuu?
Ulitaka Umber lulu au gigy money ndo atumiwe na GSM?
 
Nasikia anamiaka 24, so ukitoa 9 alikuwa na miaka 15.
Anaonekana umalaya alianza tangu shule.
Hafai.
 
Inaonekana una akili km za hamisa mobetto
 
tuletee hao model tuwachambue sasa
Gigy? amber lulu? wolper? wema?
 
Tunapoandika vitu tujiridhishe kwanza ndio tutoe watu wasome, kama dunia ingekuwa hivyo watu wa nje hawachukuliwi ktk nchi nyingine kufanya matangazo au kazi basi dunia ingesimama na kila mtu angekaa ktk nchi yake, samatta yupo ubeligiji kwani hakuna wabeligiji wanaocheza mpira, flaviana yupo usa kwani kule hakuna models , kuna siku nipo Nairobi nikamuona Joketi ana host kipindi cha dstv akiwa Nairobi kwani hakuna wakenya wenye uwezo huo tuache kusema vitu ambavyo hatuvijui cha kufanya tuwape somo dada zetu wajitambue hawajitambui thamani yao hata biashara zao hawawezi kuzifanya na kwa kifupi mkataba wa gsm ni wa Diamond kambeba Zari hata voda ni hivyohivyo
 
Eti kina odemba chaaaa yani hao wahenga wa sabuni za revola leo waje waibuke tu kwenye madeal ya kizazi kipya teh
AU WALITAKA GMONEY AJE ATUVULIE CHUPI GSM!! DADA WA SINGELI WAKAFUNGUE MZIKI MNENE NA VIBANDA UMIZA VYA KIBITI.HAWANA MVUTO WA BIASHARA KAMA WAMESHINDWA KUUZA MOVIE ZAO SASA WATAUZA NINI TENA.CHUPI YA GMONEY TULISHAIONA WOTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…