GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

huyo hata simjui. Ndo namsikia kwako.
Kwasasa kama Elizabeth Michael akitulia vizuri na kuachana na makiki ya kisengee atakuja kuwa Zari wa baadae
Ha ha ha Miriam Odemba alikua mwanamitindo miaka hiyoooo miaka yetu wahenga
Yeah Lulu yupo vizuri anafaa kwa matangazo
 
Kwa hiyo iko dhahiri kuwa sisi tulio wengi ni washamba na hatujithamini wenyewe. Tutafika kweli?
 
Huna muda wa kudiscuss drama za watu wakati maongezi yako tu yanaonyesha hata Mange Kimambi ni mwanafunzi wako
Huyu jamaa alikua na heshima yake lakini naona akina gigy money washamuambukiza ujinga
 
Ndani ya hio miaka 9 alipata mtoto wa kike wa majizo. Bado skendo za kutembea na mwami na wengineo aiseee njia ya mwongo daima huwa fupi
Nasikia anamiaka 24, so ukitoa 9 alikuwa na miaka 15.
Anaonekana umalaya alianza tangu shule.
Hafai.
 
Mimi nilishapambana siku nyingi kabla wewe haujaupata huu msamiati, sasa hivi naishi sina cha kupambania.

Uzalendo kwanza.
Matola: hakuna uzalendo hapo huo ni ubaguzi na kutokuelewa kampuni ilianzia wapi, imefikaje hapo ilipo lakini unataka uwapangie cha kufanya kwa taarifa yako hakuna modal anaetrend tanzania sana kuliko zari
 
Ilitakiwa uiweke vingine. Zari ana mtumia Diamond kupata profit ya watanzania. Hivi hamkulitambua hilo? Hiyo inaitwa Marketing strategy. Kweli IQ yetu imelala. Kwa nini hasa? Chanzo ni nini?
 
Ndani ya hio miaka 9 alipata mtoto wa kike wa majizo. Bado skendo za kutembea na mwami na wengineo aiseee njia ya mwongo daima huwa fupi
kwahiyo alikuwa anadate na majizo na diamond pamoja?
Nafikiri mashoga zake wenye akili fupi ndio wanampoteza.

Kwasasa Staa ambae naona kaamua kubadili mfumo wa maisha yake ni Lulu, Akitulia atakuja kuwa Zari wa baadae
 
Jichunguze mkuu,una roho mbaya tena imejaa ubaguzi na watu kama wewe ndio mnaosababisha dunia iwe mahali pabaya pa kuishi.
Unaakili wewe kweli? Hujui nini kina endelea ulimwenguni. Nafikiri huo uzi wewe huja uelewa. Umesha wahi msikia Donald Trump na slogan yake ya " America First?" Jiulize nini maana ya hii slogan yake.
 
Ndani ya hio miaka 9 alipata mtoto wa kike wa majizo. Bado skendo za kutembea na mwami na wengineo aiseee njia ya mwongo daima huwa fupi
Hiyo tuzo anayowania sijui super mom alitakiwa apewe tuzo ya Mchepuko bora wa mwaka, yani apewe bila kupingwa....miaka tisa yupo na diamond, diamond akawa na wema, na penny, na jokate na zari ye yupo tu kafichwa kama makalio, hapandi hata cheo, cheo kile kile cha mchepuko
Hamisa anastahili tuzo
 
Pambana na maisha yako kijana,achana na vitu visivyo na tija kwako, unajitesa bure kijana. Chuki ni mateso makubwa.
Usione lila hoja ya kuwa against ni chuki. Saa nyingine inaweza ikawa jaribio la kutaka kuwa promote our Models! Sio mbaya vile vile.
 
hawa wa nitarejea akutana na wachungaji wapiga dili kwa kutumia jina la Mungu, wamuabisha na kumdhalilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…