Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
-
- #81
Nenda jukwaa la lugha wewe.KAJIFUNZE KWANZA KISWAHILI”hakika shughuri zake nini”
HATI HUJUI DRAMA HIO
“Sabbatical njema” manake nini[emoji3]
Halaf ati unajifanya unajuuuuuua!!!kuongea KISWANGLISH
punguza KIHEDEMSWEDE NA KIMBELEMBELE pambana na Hali yako
Umbea noooomaaa[emoji3]
wapi katiba ya Tanzania inawalazimisha GSM kuwaweka kina Gigy.Team ushuzi, simpendi Magufuli ndio sembuse huyu changu dowa?
Ni wapi katiba ya Tanzania inalazimisha mtu kumpenda Zari? Baki na ujinga wako.
Boycott Danube.
utakula uzalendoKwa kweli uzalendo ni mhimu
Hotel inajengwa Tanzania target market sio watanzania uko wapi wewe. Biashara si hivyo unavyoichukulia!Baba paroko umeshalewa divai asubuhi asubuhi, yani duka lifunguliwe Mlimani City kutarget wateja wa Uganda? Are u serious?
Msanii wa kampa PAPA![emoji23] [emoji23]Huyu Gigy money huwa ni msanii wa nini?
Hahaaaaaaa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Tunajua wewe ni team hamisa ila unajifanya sijui mzalendo Mara nani sijui bhana eeeh we kama hutaki kwenda kununua bidhaa zao piga kimya tuliza mshono Kwanzaa hela yenyewe huna [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji1] [emoji1] [emoji12]kampuni ni yao
wanamchagua mtu wao
anzisha duka lako afungue Ebitoke
Tunapromote vya nyumbani, sasa hivi mimi ni mteja nguli wa karanga za Diamond, ni tamu sana ambao hawajazionja wafanye hivyo sasa.Hivi ile dili ya T-shirt za Kiba iliishia wapi??
Ulikuwa unataka tukujazie uzi wako. Haya tutajirekebisha kuna duka tunafungua mwakani tutamchukua Rihanna maana waafrika mnanongwaKwanza kabisa napenda niwatakie Sabbatical njema, pili leo ni Nyerere day, nitamuenzi baba wa Taifa kwa njia hii.
Kwanza naomba nikiri huyu Zari mimi namsikia jina tu sijawahi kujuwa hasa kwa hakika shughuri zake ni nini zaidi ya kujuwa ni hawara wa msanii Diamond that's it. Huwa sina muda wa kudiscuss drama za watu wa aina hii lakini kwakuwa hili la zari lipo in economics grounds naomba nitowe maoni yangu.
Kwa maoni yangu ni dharau kwa Watanzania GSM kumleta Zari kuzinduwa hilo duka lao la Danube nadhani kwa maoni yangu mtu sahihi walipaswa wamuite Diamonds kufanya uzinduzi huo
Kwakuwa Watanzania sasa hivi ni mashabiki ushuzi wa Team ushuzi hawawezi kunielewa wala kukubali kitendo hiki ni dharau kubwa imefanywa na GSM dhidi ya models wetu, kumleta mganda halafu utegemee wateja Watanzania huu ni ufala uliopitiliza.
Binafsi yangu natangaza rasmi boycott bidhaa za duka hilo la Danube kwa kitendo hiki cha kutowapa support models wetu kufanya jukumu hilo.
Tunao kina Mbwana Samatta, Flavian Matata, yupo Joti yupo Masanja, yupo mzee Majuto why Zari? Zari ni Celeb wa nini jameni naomba kujuzwa.
mkali wa kutoa papa[emoji2] !!OK sasa tumekusikia. Tutamtoa zari na kumweka gigi money
wa papa!!Huyu Gigy money huwa ni msanii wa nini?
Hotel na duka ni industry tofauti acha kujitowa akili.Hotel inajengwa Tanzania target ya wateja sio watanzania uko wapi wewe. Biashara si hivyo unavyoichukulia!
Mimi Niko Tanzania nanunua nguo China inasafirishwa Safi Kabisa bila shida , tatizo Wabongo wa shamba na wewe ni kielelezo Tosha.Hotel na duka ni industry tofauti acha kujitowa akili.
Hotel ni demand ya kila msafiri na siyo duka la nguo.
Diamond na Zari wote wana mkataba na Danube pamoja na watoto wao. Shida Uko wapi MTU akirnda kutimiza kile anachostahili kufanya kama Balozi?Kwanza kabisa napenda niwatakie Sabbatical njema, pili leo ni Nyerere day, nitamuenzi baba wa Taifa kwa njia hii.
Kwanza naomba nikiri huyu Zari mimi namsikia jina tu sijawahi kujuwa hasa kwa hakika shughuri zake ni nini zaidi ya kujuwa ni hawara wa msanii Diamond that's it. Huwa sina muda wa kudiscuss drama za watu wa aina hii lakini kwakuwa hili la zari lipo in economics grounds naomba nitowe maoni yangu.
Kwa maoni yangu ni dharau kwa Watanzania GSM kumleta Zari kuzinduwa hilo duka lao la Danube nadhani kwa maoni yangu mtu sahihi walipaswa wamuite Diamonds kufanya uzinduzi huo
Kwakuwa Watanzania sasa hivi ni mashabiki ushuzi wa Team ushuzi hawawezi kunielewa wala kukubali kitendo hiki ni dharau kubwa imefanywa na GSM dhidi ya models wetu, kumleta mganda halafu utegemee wateja Watanzania huu ni ufala uliopitiliza.
Binafsi yangu natangaza rasmi boycott bidhaa za duka hilo la Danube kwa kitendo hiki cha kutowapa support models wetu kufanya jukumu hilo.
Tunao kina Mbwana Samatta, Flavian Matata, yupo Joti yupo Masanja, yupo mzee Majuto why Zari? Zari ni Celeb wa nini jameni naomba kujuzwa.
UNGEKUWA HUMJUI ZARI HATA THREAD USINGEIANDIKAKwanza kabisa napenda niwatakie Sabbatical njema, pili leo ni Nyerere day, nitamuenzi baba wa Taifa kwa njia hii.
Kwanza naomba nikiri huyu Zari mimi namsikia jina tu sijawahi kujuwa hasa kwa hakika shughuri zake ni nini zaidi ya kujuwa ni hawara wa msanii Diamond that's it. Huwa sina muda wa kudiscuss drama za watu wa aina hii lakini kwakuwa hili la zari lipo in economics grounds naomba nitowe maoni yangu.
Kwa maoni yangu ni dharau kwa Watanzania GSM kumleta Zari kuzinduwa hilo duka lao la Danube nadhani kwa maoni yangu mtu sahihi walipaswa wamuite Diamonds kufanya uzinduzi huo
Kwakuwa Watanzania sasa hivi ni mashabiki ushuzi wa Team ushuzi hawawezi kunielewa wala kukubali kitendo hiki ni dharau kubwa imefanywa na GSM dhidi ya models wetu, kumleta mganda halafu utegemee wateja Watanzania huu ni ufala uliopitiliza.
Binafsi yangu natangaza rasmi boycott bidhaa za duka hilo la Danube kwa kitendo hiki cha kutowapa support models wetu kufanya jukumu hilo.
Tunao kina Mbwana Samatta, Flavian Matata, yupo Joti yupo Masanja, yupo mzee Majuto why Zari? Zari ni Celeb wa nini jameni naomba kujuzwa.
Ha ha haaaa hivi ile 40 bado au tayari!Povu la nini Mobeto?
Uwiii kumbe mna mateam yenu kabisa?Tunajua wewe ni team hamisa ila unajifanya sijui mzalendo Mara nani sijui bhana eeeh we kama hutaki kwenda kununua bidhaa zao piga kimya tuliza mshono Kwanzaa hela yenyewe huna [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Mshamba ni wewe usiyejuwa hakuna mchina anayeweza kuagiza nguo bongo, labda pembe za ndovu. Wewe jamaa uko chini ya kiwango sana napoteza muda kudabateMimi Niko Tanzania nanunua nguo China inasafirishwa Safi Kabisa bila shida , tatizo Wabongo wa shamba na wewe ni kielelezo Tosha.