GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

KAJIFUNZE KWANZA KISWAHILI”hakika shughuri zake nini”
HATI HUJUI DRAMA HIO
“Sabbatical njema” manake nini[emoji3]
Halaf ati unajifanya unajuuuuuua!!!kuongea KISWANGLISH
punguza KIHEDEMSWEDE NA KIMBELEMBELE pambana na Hali yako
Umbea noooomaaa[emoji3]
Nenda jukwaa la lugha wewe.
 
Team ushuzi, simpendi Magufuli ndio sembuse huyu changu dowa?

Ni wapi katiba ya Tanzania inalazimisha mtu kumpenda Zari? Baki na ujinga wako.

Boycott Danube.
wapi katiba ya Tanzania inawalazimisha GSM kuwaweka kina Gigy.
 
Baba paroko umeshalewa divai asubuhi asubuhi, yani duka lifunguliwe Mlimani City kutarget wateja wa Uganda? Are u serious?
Hotel inajengwa Tanzania target market sio watanzania uko wapi wewe. Biashara si hivyo unavyoichukulia!
 
Tunajua wewe ni team hamisa ila unajifanya sijui mzalendo Mara nani sijui bhana eeeh we kama hutaki kwenda kununua bidhaa zao piga kimya tuliza mshono Kwanzaa hela yenyewe huna [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Hahaaaaaaa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Kwanza kabisa napenda niwatakie Sabbatical njema, pili leo ni Nyerere day, nitamuenzi baba wa Taifa kwa njia hii.

Kwanza naomba nikiri huyu Zari mimi namsikia jina tu sijawahi kujuwa hasa kwa hakika shughuri zake ni nini zaidi ya kujuwa ni hawara wa msanii Diamond that's it. Huwa sina muda wa kudiscuss drama za watu wa aina hii lakini kwakuwa hili la zari lipo in economics grounds naomba nitowe maoni yangu.

Kwa maoni yangu ni dharau kwa Watanzania GSM kumleta Zari kuzinduwa hilo duka lao la Danube nadhani kwa maoni yangu mtu sahihi walipaswa wamuite Diamonds kufanya uzinduzi huo

Kwakuwa Watanzania sasa hivi ni mashabiki ushuzi wa Team ushuzi hawawezi kunielewa wala kukubali kitendo hiki ni dharau kubwa imefanywa na GSM dhidi ya models wetu, kumleta mganda halafu utegemee wateja Watanzania huu ni ufala uliopitiliza.

Binafsi yangu natangaza rasmi boycott bidhaa za duka hilo la Danube kwa kitendo hiki cha kutowapa support models wetu kufanya jukumu hilo.
Tunao kina Mbwana Samatta, Flavian Matata, yupo Joti yupo Masanja, yupo mzee Majuto why Zari? Zari ni Celeb wa nini jameni naomba kujuzwa.
Ulikuwa unataka tukujazie uzi wako. Haya tutajirekebisha kuna duka tunafungua mwakani tutamchukua Rihanna maana waafrika mnanongwa
 
Hotel inajengwa Tanzania target ya wateja sio watanzania uko wapi wewe. Biashara si hivyo unavyoichukulia!
Hotel na duka ni industry tofauti acha kujitowa akili.

Hotel ni demand ya kila msafiri na siyo duka la nguo.
 
Mimi Niko Tanzania nanunua nguo China inasafirishwa Safi Kabisa bila shida , tatizo Wabongo wa shamba na wewe ni kielelezo Tosha.
 
Me cdhan kama kuna shida bt kwa vile wat tunatofautiana bac hayo ni maoni yako tu
 
Kwanza kabisa napenda niwatakie Sabbatical njema, pili leo ni Nyerere day, nitamuenzi baba wa Taifa kwa njia hii.

Kwanza naomba nikiri huyu Zari mimi namsikia jina tu sijawahi kujuwa hasa kwa hakika shughuri zake ni nini zaidi ya kujuwa ni hawara wa msanii Diamond that's it. Huwa sina muda wa kudiscuss drama za watu wa aina hii lakini kwakuwa hili la zari lipo in economics grounds naomba nitowe maoni yangu.

Kwa maoni yangu ni dharau kwa Watanzania GSM kumleta Zari kuzinduwa hilo duka lao la Danube nadhani kwa maoni yangu mtu sahihi walipaswa wamuite Diamonds kufanya uzinduzi huo

Kwakuwa Watanzania sasa hivi ni mashabiki ushuzi wa Team ushuzi hawawezi kunielewa wala kukubali kitendo hiki ni dharau kubwa imefanywa na GSM dhidi ya models wetu, kumleta mganda halafu utegemee wateja Watanzania huu ni ufala uliopitiliza.

Binafsi yangu natangaza rasmi boycott bidhaa za duka hilo la Danube kwa kitendo hiki cha kutowapa support models wetu kufanya jukumu hilo.
Tunao kina Mbwana Samatta, Flavian Matata, yupo Joti yupo Masanja, yupo mzee Majuto why Zari? Zari ni Celeb wa nini jameni naomba kujuzwa.
Diamond na Zari wote wana mkataba na Danube pamoja na watoto wao. Shida Uko wapi MTU akirnda kutimiza kile anachostahili kufanya kama Balozi?
 
Kwanza kabisa napenda niwatakie Sabbatical njema, pili leo ni Nyerere day, nitamuenzi baba wa Taifa kwa njia hii.

Kwanza naomba nikiri huyu Zari mimi namsikia jina tu sijawahi kujuwa hasa kwa hakika shughuri zake ni nini zaidi ya kujuwa ni hawara wa msanii Diamond that's it. Huwa sina muda wa kudiscuss drama za watu wa aina hii lakini kwakuwa hili la zari lipo in economics grounds naomba nitowe maoni yangu.

Kwa maoni yangu ni dharau kwa Watanzania GSM kumleta Zari kuzinduwa hilo duka lao la Danube nadhani kwa maoni yangu mtu sahihi walipaswa wamuite Diamonds kufanya uzinduzi huo

Kwakuwa Watanzania sasa hivi ni mashabiki ushuzi wa Team ushuzi hawawezi kunielewa wala kukubali kitendo hiki ni dharau kubwa imefanywa na GSM dhidi ya models wetu, kumleta mganda halafu utegemee wateja Watanzania huu ni ufala uliopitiliza.

Binafsi yangu natangaza rasmi boycott bidhaa za duka hilo la Danube kwa kitendo hiki cha kutowapa support models wetu kufanya jukumu hilo.
Tunao kina Mbwana Samatta, Flavian Matata, yupo Joti yupo Masanja, yupo mzee Majuto why Zari? Zari ni Celeb wa nini jameni naomba kujuzwa.
UNGEKUWA HUMJUI ZARI HATA THREAD USINGEIANDIKA
 
Tunajua wewe ni team hamisa ila unajifanya sijui mzalendo Mara nani sijui bhana eeeh we kama hutaki kwenda kununua bidhaa zao piga kimya tuliza mshono Kwanzaa hela yenyewe huna [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Uwiii kumbe mna mateam yenu kabisa?

Na wewe ni team gani sasa?
 
Mimi Niko Tanzania nanunua nguo China inasafirishwa Safi Kabisa bila shida , tatizo Wabongo wa shamba na wewe ni kielelezo Tosha.
Mshamba ni wewe usiyejuwa hakuna mchina anayeweza kuagiza nguo bongo, labda pembe za ndovu. Wewe jamaa uko chini ya kiwango sana napoteza muda kudabate
 
Back
Top Bottom