GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

Kwanza kabisa napenda niwatakie Sabbatical njema, pili leo ni Nyerere day, nitamuenzi baba wa Taifa kwa njia hii.

Kwanza naomba nikiri huyu Zari mimi namsikia jina tu sijawahi kujuwa hasa kwa hakika shughuri zake ni nini zaidi ya kujuwa ni hawara wa msanii Diamond that's it. Huwa sina muda wa kudiscuss drama za watu wa aina hii lakini kwakuwa hili la zari lipo in economics grounds naomba nitowe maoni yangu.

Kwa maoni yangu ni dharau kwa Watanzania GSM kumleta Zari kuzinduwa hilo duka lao la Danube nadhani kwa maoni yangu mtu sahihi walipaswa wamuite Diamonds kufanya uzinduzi huo

Kwakuwa Watanzania sasa hivi ni mashabiki ushuzi wa Team ushuzi hawawezi kunielewa wala kukubali kitendo hiki ni dharau kubwa imefanywa na GSM dhidi ya models wetu, kumleta mganda halafu utegemee wateja Watanzania huu ni ufala uliopitiliza.

Binafsi yangu natangaza rasmi boycott bidhaa za duka hilo la Danube kwa kitendo hiki cha kutowapa support models wetu kufanya jukumu hilo.
Tunao kina Mbwana Samatta, Flavian Matata, yupo Joti yupo Masanja, yupo mzee Majuto why Zari? Zari ni Celeb wa nini jameni naomba kujuzwa.

Fungua duka lako n ww mrete mobeto [emoji8]sawa!!eti sitanunua bizaa zao kwa kipato gani ww kwenda shopping DANUBE?
 
Nakuona unapambana na mabepari JF...pambana na hali yako..
 
kwanza juzi tu kajichoresha kupost video ya zari ya Danube kuwa anafata hereni, yani kupitia bifu za kugombania dudu ndo anataka apewe deal, Zari anastahili hizo deal
huyo hamisa hafai kabisa kuwa mke na mbaya kumbe zaidi ni mama yake.HALAFU NA YEYE NI USED HUYU MTOTO NI WA PILI
 
Alitegemea akizaana dai mtoto wake atapata ubalozi wa danube,jana pia kajichoresha vibaya kawaita shilawadu na kusema alikua na mahusiano na chibu kwa miaka 9 hapo ni kama anataka kushindana na zari. Zari angekua mmama wa kibongo baada ya cheating angevunja mikataba ya akina tiffa akizan anamkomoa baba mtu
kwanza juzi tu kajichoresha kupost video ya zari ya Danube kuwa anafata hereni, yani kupitia bifu za kugombania dudu ndo anataka apewe deal, Zari anastahili hizo deal
 
Kwanza kabisa napenda niwatakie Sabbatical njema, pili leo ni Nyerere day, nitamuenzi baba wa Taifa kwa njia hii.

Kwanza naomba nikiri huyu Zari mimi namsikia jina tu sijawahi kujuwa hasa kwa hakika shughuri zake ni nini zaidi ya kujuwa ni hawara wa msanii Diamond that's it. Huwa sina muda wa kudiscuss drama za watu wa aina hii lakini kwakuwa hili la zari lipo in economics grounds naomba nitowe maoni yangu.

Kwa maoni yangu ni dharau kwa Watanzania GSM kumleta Zari kuzinduwa hilo duka lao la Danube nadhani kwa maoni yangu mtu sahihi walipaswa wamuite Diamonds kufanya uzinduzi huo

Kwakuwa Watanzania sasa hivi ni mashabiki ushuzi wa Team ushuzi hawawezi kunielewa wala kukubali kitendo hiki ni dharau kubwa imefanywa na GSM dhidi ya models wetu, kumleta mganda halafu utegemee wateja Watanzania huu ni ufala uliopitiliza.

Binafsi yangu natangaza rasmi boycott bidhaa za duka hilo la Danube kwa kitendo hiki cha kutowapa support models wetu kufanya jukumu hilo.
Tunao kina Mbwana Samatta, Flavian Matata, yupo Joti yupo Masanja, yupo mzee Majuto why Zari? Zari ni Celeb wa nini jameni naomba kujuzwa.
Zari ni mwanamke wa kiganda, mke wa Diamond Platinum na mwanamke mwenye akili ya maisha.
 
Alitegemea akizaana dai mtoto wake atapata ubalozi wa danube,jana pia kajichoresha vibaya kawaita shilawadu na kusema alikua na mahusiano na chibu kwa miaka 9 hapo ni kama anataka kushindana na zari. Zari angekua mmama wa kibongo baada ya cheating angevunja mikataba ya akina tiffa akizan anamkomoa baba mtu
Ha ha ha yani kanazidi kujiharibia tu, kanashindana kwenye hamna, amepost picha anaenda Nairobi sasa ni msanii kwamba anaenda kwenye show???
Amepewa ushauri tu akumbuke condom bado ananyonyesha ha ha ha
 
Umeona eeh! Acha wakose kazi.

Models wa kitanzania wakilalwa tu na staa picha hizo zinamwagwa mtandaoni,mimba wanajitegesha kesi juu wanafungua wakitaka matunzo ya milion kwa mwezi.

Danube wameshasemwa vya kutosha sasa wakichukua model wa kitanzania mwisho wa mkataba huyo model atasingizia walimtaka kimapenzi akawakataa. Itakua ni skendo juu ya skendo
 
Zari Mwenyezi Mungu kamjalia uzuri na akili pia. Mwache tu awe juu. Hawa celebrities wetu badala ya kumshambulia ili wamshushe wajitahidi kujifunza toka kwake ili waweze kufikia level yake au kuikaribia..

kwanza juzi tu kajichoresha kupost video ya zari ya Danube kuwa anafata hereni, yani kupitia bifu za kugombania dudu ndo anataka apewe deal, Zari anastahili hizo deal
 
watu wanaangalia brand ndugu...na haya matangazo ya cocacola ambayo wanaeka wasanii wa nigeria utasemwa yasipigwe kwny tv???
 
kil
Na nyumba anayoishi kodi analipa majizo,zile hela za sherehe na keki mbili za kuiga kwa zari si angefanyia biashara tu
kila kitu anachofanya huyu dada anazidi kutuaibisha sisi wabongo na anampa sababu ya Diamond kuzidi kudharau dada zetu.ushamba mzigo na mama yake naye sijui ni mama wa taarabu kumbe lidada lenyewe ni used.ZARI NI MASHINE KUBWA NA BIASHARA ZAKE ANAWEZA AKAMTUNZA HAMISA NA MTOTO WAKE NA MAMA YAKE MPAKA WAZEEKE
 
Zari Mwenyezi Mungu kamjalia uzuri na akili pia. Mwache tu awe juu. Hawa celebrities wetu badala ya kumshambulia ili wamshushe wajitahidi kujifunza toka kwake ili waweze kufikia level yake au kuikaribia..
ZARI ANAWAZIDI AKILI, HELA NA UZURI.HUYU HAMISA NA MAMA YAKE ZARI ANAWEZA AKAWALISHA MPAKA WAFE.YUPO ANATINGISHA MATAKO YAKE NA RAV 4 YA CHENJI ZA ZARI WAKATI ZARI ANA BENTLEY NA BENZI ZA MAMILIONI ZIMEPAKI
 
Sidhan kama ananyonyesha yule kila siku kiguu na njia nahisi mtoto keshaanzishiwa maziwa ya kopo ndo maana akadai pesa ndefu za matunzo. Huko nairobi kaalikwa na yule shosti ake aliyemtumia kuvujisha picha akiwa na dai kitandani
Ha ha ha yani kanazidi kujiharibia tu, kanashindana kwenye hamna, amepost picha anaenda Nairobi sasa ni msanii kwamba anaenda kwenye show???
Amepewa ushauri tu akumbuke condom bado ananyonyesha ha ha ha
 
Hivi a
Sidhan kama ananyonyesha yule kila siku kiguu na njia nahisi mtoto keshaanzishiwa maziwa ya kopo ndo maana akadai pesa ndefu za matunzo. Huko nairobi kaalikwa na yule shosti ake aliyemtumia kuvujisha picha akiwa na dai kitandani
atakaye mshauri huyu dada ni nani kama mama naye ndio yule
 
Back
Top Bottom