GSM: Kila bao atakalolifunga Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns nitalinunia kwa Tsh. 100M

Kwahiyo zile hela wanazotoa CAF kumbe anapokea yeye !
 
Niseme tu hii sio rahisi kama ambavyo watu wanajinadi, kama tulishindwa kuwafunga Mamelod hapa hongo basi tusitegemee ushindi kule kwao
 
Kwa ujinga huu hatutakaa tuendelee kisoka huwezi sikia Manchester city au liverpool wanaahidiwa upuuzi huo maana ni sehemu yao ya kazi politics everywhere.
 
Kwa ujinga huu hatutakaa tuendelee kisoka huwezi sikia Manchester city au liverpool wanaahidiwa upuuzi huo maana ni sehemu yao ya kazi politics everywhere.
Soka letu

Kivyetuvyetu
 
Ahaaaaa

Kwa mabao hayo tunakuwa tumefuzu kwa magoli mengi ya ugenini

Tukifungwa 2-1

Tunaenda penati

Na hela tunapata

4-3
Tunaendam kwakuwa tumefunga magoli mengi ya ugenini
Jifunze zaidi kuhusu sheria ya goli la ugenini.Hayo yote uliyoyasema sio ya kwelI.Ni tabia ya kupenda kuelekeza jambo bila kuwa na uelewa nalo.

Kama kitu hujui uwe unasema hujui.Ukijibu kama unajua uwe unajua kwa uhakika unaotokana na kujielimisha sio kwa kubumba au kwa hisia zako tu.....
 
GSM anajua hakuna goli atakalofunga yanga Kwa hiyo Hana Cha kupoteza hata akiweka dau kubwa!! angeweza kuweka hata bilioni bila stress!!
 
Ebu fafanua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…