MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
- #21
TFF nendeni Mahakamani mkawashtaki hawa GSM na mkiweza ombeni Msaada kwa wale Wanasheria Nguli wa Simba SC waliowatoa Jasho Wanasheria wa hovyo hovyo wa Yanga SC na GSM huko CAS wakati wa Kesi ya Mchezaji Bernard Morrison ili wawasaidie mpate Haki yenu.
GSM wamekurupuka ile jana Kujitoa Udhamini Mwenza wa Ligi Kuu ya NBC kwani kuna maeneo kadhaa (tena ya Msingi kabisa) Wamekosea na Wamejichanganya wenyewe bila kujua hivyo baadhi ya Wanasheria Magwiji wamesema kama TFF ikiamua kwenda Mahakamani upo uwezekano GSM wakapigwa Faini zaidi ya Shilingi Bilioni 2 na Milioni 100 waliyoahidi kuiweka kama Mdhamini Mwenza.
TFF msikubali na msiwe Wanyonge Watanzania tuko nyuma yenu na tupo tayari kutoa Msaada wowote ule Kwenu (hasa wa Kiushauri na Kimawazo) ili muwashtaki GSM na mjipatie Mabilioni zaidi kutokana na Janja Janja yao ya Kibiashara ambayo waliianza tokea wakiwa Home Shopping Center (HSC)